Mambo ya kisheria unayotakiwa kuyajua kabla haujaamua kumuoa Single Mother

Tatizo mkishika pesa za vikoba mnaona mnaweza kuendesha familia
Maandiko yanakutaka until na kumnyenyekea mmeo alafu leo hii linasimama genge la maslayqueen wakisema mwanamke apunguze kumnyenyekea mtu alomtolea mahari na kumpa hifadhi
Pesa za vicoba kutoka wapi?
 
Doooh! Hivi mbona ni vitisho sasa. Hizi Sheria zimeandikwa wapi Mkuu? Zipo kwenye Sheria ya ndoa? Haki za watoto? Katiba ya Jamhuri? ... Anyways hili ni katazo la kuoa ama kua na mahusiano na single mothers. Hawa watu mtawaua sasa maana kila kona wanaandamwa aiseeh 🤔
 
Kwani we ni ME au KE?
 
Kama hajamtolea mahali mke na wakatengana je baba anabaki na haki kwa hao watoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…