Mambo ya kuepuka kama wewe ni dereva wa Automatic Transmission Car

Isije ikawa ka copy sehemu kaja kapaste humu halafu ukute hajui hata kinachomaanishwa!
Ni vizur tukawa watu wa kuheshimu mawazo ya wengine coz watu hutegemeana na hutofautiana ufahamu na ujuzi. Acha dharau!!!!!
 
Naomba na mimi kuongezea swali kwenye magari ya Auto kuna kitufe kinaitwa Shift lock, huwa sjui kaz yake wadau anaejua plz
 
Naomba na mimi kuongezea swali kwenye magari ya Auto kuna kitufe kinaitwa Shift lock, huwa sjui kaz yake wadau anaejua plz
Kazi yake ni kiforce gear kuingia, mfano ukikanyaga breki kubadili gear ikakataa unabofya hicho usikiachie kisha unaweka gia uitakayo, ukiona bado haiingii kuna haja ya kumuona fundi. Au mfano gari haiwaki na unataka kuisukuma basi unabofya hicho na kuieka neutral ili iweze kutembea
 
Ahsante mkuu
 
Kwa kifupi naweza kusema maelekezo yako hayajitoshelezi na yanachanganya...heading inahusu "auto" lakini wewe ndani unaelezea "manual"!!
 
G.25 Umenichekesha saaana Kaka
 
usikariri wewe dunia ina badilika na technologia in abadilika pia ,je umewahi kutumia smartphone au bado upo na simens ya mkonga ?
Umeongea point mkuu kukariri kubaya sana hajui hizo gari za auto hata vandame anaendesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…