Mambo ya kufanya ukifumaniwa

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,190
Reaction score
3,039
1. Tafuta upenyo, utoke nduki (hata kama u mtupu) ndo pona yako.
2. Usifikirie mali zako ulizoacha eneo la tukio (nguo, simu, begi)
3.Hakikisha umekimbilia sehemu ya siri sana, mfano; Mafia, Bagamoyo (upotee kwa muda).
4. Nenda kwa kiongozi wa dini (Sheikh, Askofu, Padiri, Nabii Gwajizo) ukatubu dhambi ya uzinzi.
5. Usipanik, wewe sio wa kwanza kufumaniwa.
 
Ukiona m2 anakimbia kwenye matukio kama hayo ujue huyo ana act filamu sio tukio la ukweli hilo, mkuu kufumaniwa si mchezo yaani kama ndo mara yako ya kwanza kufumaniwa lazima jasho la meno likutoke.
 
Ndo.maana mm naishia kwa wale watoa huduma pale MORI na MEEDA au kwa WAHAYA Tandika sokoni, Temeke sudan., kwa sokota, buguruni sokoni au mwananyamala karibu na hospitali au kigamboni uwanjani bagdadi.
***Bei chee (Tsh 3,000/= @ mshindo ikijumuisha chumba, kondomu+maji ya kuoga pamoja na kodi.
 
Ukifumaniwa achia ushuzi huo kama eksozi ya magari ya mashindano, jamaa atakimbia ndiyo Salama yako
 
Hivi ile safisha safisha ya Bashite bado wahaya wa tandika na watoa huduma wengine wapo!!
 
3000 kata kodi ya guest, ondoa condom ya jero, kata pesa ya maji kuoga, kata VAT......maku inaweza kuwa inauzwa kati ya 800-1200.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…