Mambo ya kufanya ukifumaniwa

Mambo ya kufanya ukifumaniwa

Ndo.maana mm naishia kwa wale watoa huduma pale MORI na MEEDA au kwa WAHAYA Tandika sokoni, Temeke sudan., kwa sokota, buguruni sokoni au mwananyamala karibu na hospitali au kigamboni uwanjani bagdadi.
***Bei chee (Tsh 3,000/= @ mshindo ikijumuisha chumba, kondomu+maji ya kuoga pamoja na kodi.
Hahahaaa uko vizur sana kijana, yani Kona zote za kutoa huduma unazijua...
 
Hakuna kitu kama hicho cha kusema kwamba viongoz wa dini ndo wanaondoa dhambi, haswa wakristo wanaamini hichi kitu, uongo kabisa huo , dhambi inafutwa kwa wewe mwenyewe kujutia kwa dhambi uloifanya, kuazimia kutoirejea hiyo dhambi na kujitenga nayo , finished.
 
Muombe uliyenae vimafuta upake sehemu zako za nyuma sbb kufumaniwa ni mpango lzm wawe wamepanga na adhabu
 
Hivi kuna watu wenye uzoefu na kufumaniwa Huku unguja ukifumaniwa kuna vikosi maalum wala havihitaji malipo wanajitolea bureee kabisa
 
1. Tafuta upenyo, utoke nduki (hata kama u mtupu) ndo pona yako.
2. Usifikirie mali zako ulizoacha eneo la tukio (nguo, simu, begi)
3.Hakikisha umekimbilia sehemu ya siri sana, mfano; Mafia, Bagamoyo (upotee kwa muda).
4. Nenda kwa kiongozi wa dini (Sheikh, Askofu, Padiri, Nabii Gwajizo) ukatubu dhambi ya uzinzi

Mfano bila picha haunogi
 
1. Kwanza lazima umjue Mume wa mwanamke unaeenda kumgonga.
2. Demu asijue kabisa ni wapi mnaenda kutombana. Akingangania kujua mwambie sehemu tofauti kabisa.
3. Kama anatumia smart phone, mkikutana tu, jaribu kwa namna Yoyote kumshawishi simu zenu zizimwe kwa muda wote mtakapokuwa pamoja.
4. Kutana nae mahali kisha mwelekee sehemu ya tukio.
5. Mkitoka na gari lako, msiende moja kwa moja eneo la tukio, kwanza mnekwenda eneo A manashuka kwa gari mnaingia kwa vinywaji faster, kisha mnatoka mnaingia kwa taxi ambayo ulishamwandaa dereva unaemjua.
6. Mkifika eneo la tukio taxi isipaki mkabala. ipaki mbele kidogo kisha mnateremka muelekea kwa miguu.
7. Kulikobaki ni rahisi unaweza malizia mwenyewe.
Hahah prosess ndefu mkuuu
 
Mke Wa Mtu Sumu. Ila Izo Precautions Zote Na Measures Mlizosema Mmesahau Na Ya Kujizindika Kwa Mganga. Kuna Jamaa Kaenda Bagamoyo Kuzini Na Mke Wa Mtu Mashine Ilivyosimama Ikagoma Kulala Mpaka Akaanza Kujitangaza Alichofanya.
 
Usimpeleke mke wa MTU gesti malizaneni kwenye gari ama ghetto
 
Kuna aliyefumaniwa akatoka nduki,ilikuwa usiku kama saa sita hivi.
mwenye mali alipoona kazidiwa mbio akapiga kelele za mwizi
watu tukatoka kila mtu na silaha yake.
Yule aliyefumaniwa alipoona atauawa akaanza kupiga
kelele akisema "jamani mimi sio mwizi nimefumaniwa"
akaongeza sauti kila aliyefika eneo latukio anaishia
kucheka tu,na mfumaniaji akasema ni kweli nimemfumania.
Basi wakaambiwa wakae pembeni yakayamalize,hapo mi nikaondoka zangu.
 
Back
Top Bottom