Mambo ya kufanya ukifumaniwa

Ukiona m2 anakimbia kwenye matukio kama hayo ujue huyo ana act filamu sio tukio la ukweli hilo, mkuu kufumaniwa si mchezo yaani kama ndo mara yako ya kwanza kufumaniwa lazima jasho la meno likutoke.
vipi umewahi kufumaniwa nini?
 
Una2pa nondo
 
Yaan unasema niende kwa Ngwaji boy...yule si ilivuja akipiga UNOOO🤣🤣🤣
 
kuna bodaboda mmoja maeneo fulani ivi mkoan alifumaniwa akiwa na kitoto cha shule gesti,wakafungia nje kwa kufuri ili wafate polisi,huwezi amini jamaa alitokea kwenye dali/paa kakimbia mpka leo hatujui alipo,baada ya polisi kufika wakakuta majivu [emoji3]
 
UKIMWI mtupu huo
 
Huu uzi utakuja kunisaidia baadae au mnasemaje nyie dhehebu mliosababisha nipigwe ban
 

[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23] kama wanajimudu na wana nia watie mafuta waendelee kukufuata ukielekea Iringa ukitokea mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…