Mambo ya kufanya ukifumaniwa

Mambo ya kufanya ukifumaniwa

Ukiona m2 anakimbia kwenye matukio kama hayo ujue huyo ana act filamu sio tukio la ukweli hilo, mkuu kufumaniwa si mchezo yaani kama ndo mara yako ya kwanza kufumaniwa lazima jasho la meno likutoke.
vipi umewahi kufumaniwa nini?
 
1. Tafuta upenyo, utoke nduki (hata kama u mtupu) ndo pona yako.
2. Usifikirie mali zako ulizoacha eneo la tukio (nguo, simu, begi)
3.Hakikisha umekimbilia sehemu ya siri sana, mfano; Mafia, Bagamoyo (upotee kwa muda).
4. Nenda kwa kiongozi wa dini (Sheikh, Askofu, Padiri, Nabii Gwajizo) ukatubu dhambi ya uzinzi.
5. Usipanik, wewe sio wa kwanza kufumaniwa.
Una2pa nondo
 
Yaan unasema niende kwa Ngwaji boy...yule si ilivuja akipiga UNOOO🤣🤣🤣
 
kuna bodaboda mmoja maeneo fulani ivi mkoan alifumaniwa akiwa na kitoto cha shule gesti,wakafungia nje kwa kufuri ili wafate polisi,huwezi amini jamaa alitokea kwenye dali/paa kakimbia mpka leo hatujui alipo,baada ya polisi kufika wakakuta majivu [emoji3]
 
Ndo.maana mm naishia kwa wale watoa huduma pale MORI na MEEDA au kwa WAHAYA Tandika sokoni, Temeke sudan., kwa sokota, buguruni sokoni au mwananyamala karibu na hospitali au kigamboni uwanjani bagdadi.
***Bei chee (Tsh 3,000/= @ mshindo ikijumuisha chumba, kondomu+maji ya kuoga pamoja na kodi.
UKIMWI mtupu huo
 
Mimi sina imani na Guest wala Geto kwangu nikiwa nakula Mke wa mtu, Yani the best option kwangu nikumtia ndani ya Gari afu naenda nje ya mji sehemu tulivu halafu ndio namchakata kwenye Gari, Niliwahi kufatiliwa bila machale kundesa Hakika ningepoteza Marinda siku hiyo tangu hapo Siwezi kugegeda mke wa mtu Ndani ya chumba au nyumba yoyote ndani ya wilaya anayoishi nikitaka bata sana Namsafirisha nje ya mkoa, The rest now Natumia tu gari kumaliza shughuli, Wake za watu watamu jamani

[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23] kama wanajimudu na wana nia watie mafuta waendelee kukufuata ukielekea Iringa ukitokea mbeya
 
Back
Top Bottom