Mambo ya kufanya ukifumaniwa

sintosahau yule mke wa mtu alivyonilengesha ili tufumaniwe lodge ..kumbe ilikuwa deal ili tuyamalize kwa kutoa hela ili wagawane yeye na mumewe... wakati ndiye alikuwa mchepuko wangu wa siku nyingi akanigeuka....kuna wanawake washenzi sana
Ilikuwaje
 
ilikuwa ndo mara ya kwanza au ilikuwa una piga
 
Polisi walisema mwenye jukumu la kufumania ni mwenye mwenza tu Yaani mke au mume na sio Wambeya au wapambe wowote.

Hili jambo linapaswa kufahamika na jamii yote.
 
Wafanyakazi wa lodge/hotel/quest houses wajue hawako pale ku-facilitate fumanizi.

Wamiliki wawape mafunzo kila mara wafanyakazi wao.
 
Wewe umeshawahi kufumaniwa?
 
Uki fumaniwa hakikisha ufirimbwi kwa namna yoyote ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…