Mambo ya kufanya ukifumaniwa

Mambo ya kufanya ukifumaniwa

Binafsi naamini "victory loves preparation"
Kwa nini ufumaniwe af usijue cha kufanya?
Inatakiwa uwe ushajua kila possible scenario.
Ebo!
 
Nduki utatokaje ndugu, na hapo hao wafumaniaji washakula mchongo na wenye gesti/mapokezi? bora usichepuke, kama tamaa imezidi sana oa, kama mmoja hatoshi bora kuhamia dini ya wavaa kobazi.
Daah
 
Na VAT?
Ndo.maana mm naishia kwa wale watoa huduma pale MORI na MEEDA au kwa WAHAYA Tandika sokoni, Temeke sudan., kwa sokota, buguruni sokoni au mwananyamala karibu na hospitali au kigamboni uwanjani bagdadi.
***Bei chee (Tsh 3,000/= @ mshindo ikijumuisha chumba, kondomu+maji ya kuoga pamoja na kodi.
 
We ushawai fumaniwa nn
Kilichoniokoa nilitoka kufuata msosi na bia baa ya jirani nikapishana na jamaa na makamera kibao reception wanadai ndo huyu ndo huyu mi nikajidai naongea na simu huyooo nikafika mbele nikamtext bibie kuwa asifungue mlango hata iweje, baadae (palivyotulia) nikamtumia uber.
** guest usijiandikishe kwa jina halisi ikiwa umeiba mke wa mtu
 
Ndo.maana mm naishia kwa wale watoa huduma pale MORI na MEEDA au kwa WAHAYA Tandika sokoni, Temeke sudan., kwa sokota, buguruni sokoni au mwananyamala karibu na hospitali au kigamboni uwanjani bagdadi.
***Bei chee (Tsh 3,000/= @ mshindo ikijumuisha chumba, kondomu+maji ya kuoga pamoja na kodi.
Asante kwa tangazo.
 
1. Kwanza lazima umjue Mume wa mwanamke unaeenda kumgonga.
2. Demu asijue kabisa ni wapi mnaenda kutombana. Akingangania kujua mwambie sehemu tofauti kabisa.
3. Kama anatumia smart phone, mkikutana tu, jaribu kwa namna Yoyote kumshawishi simu zenu zizimwe kwa muda wote mtakapokuwa pamoja.
4. Kutana nae mahali kisha mwelekee sehemu ya tukio.
5. Mkitoka na gari lako, msiende moja kwa moja eneo la tukio, kwanza mnekwenda eneo A manashuka kwa gari mnaingia kwa vinywaji faster, kisha mnatoka mnaingia kwa taxi ambayo ulishamwandaa dereva unaemjua.
6. Mkifika eneo la tukio taxi isipaki mkabala. ipaki mbele kidogo kisha mnateremka muelekea kwa miguu.
7. Kulikobaki ni rahisi unaweza malizia mwenyewe.
Inaonekana umzoefu snaa na mission mkuu
 
1. Tafuta upenyo, utoke nduki (hata kama u mtupu) ndo pona yako.
2. Usifikirie mali zako ulizoacha eneo la tukio (nguo, simu, begi)
3.Hakikisha umekimbilia sehemu ya siri sana, mfano; Mafia, Bagamoyo (upotee kwa muda).
4. Nenda kwa kiongozi wa dini (Sheikh, Askofu, Padiri, Nabii Gwajizo) ukatubu dhambi ya uzinzi
Hatua za Kishushushu kama za wale jamaa wa Saudia lakini u
Zikafeli. Kumbuka na mwenye mke nae anajipanga vilivyo kama wewe mwizi wake.
 
Back
Top Bottom