Mambo ya kufanya ukifumaniwa

Mambo ya kufanya ukifumaniwa

Uwe na heshima na dini za watu wacha kejeli,mjinga mkubwa wewe,wewe mbona unaabudu sanamu kitu kisichosema wala kisicho na msaada wowote,na umekitengeneza kwa mikono yako mwenyewe? Eti una akili sana mwehu mkubwa,kejeli zako peleka kwa mkeo.
Nyie wote mlioingiza masuala ya dini wote ni wapumbavu tu. Huu uzi ni uzi mujaarabu unaotupa experience za matukio kadhaa na jinsi ya kujinasua kweny tego la watesi wetu halafu mnaingiza ujinga wenu humu. Nendeni jamii intelligence mkamalizane.
 
1. Kwanza lazima umjue Mume wa mwanamke unaeenda kumgonga.
2. Demu asijue kabisa ni wapi mnaenda kutombana. Akingangania kujua mwambie sehemu tofauti kabisa.
3. Kama anatumia smart phone, mkikutana tu, jaribu kwa namna Yoyote kumshawishi simu zenu zizimwe kwa muda wote mtakapokuwa pamoja.
4. Kutana nae mahali kisha mwelekee sehemu ya tukio.
5. Mkitoka na gari lako, msiende moja kwa moja eneo la tukio, kwanza mnekwenda eneo A manashuka kwa gari mnaingia kwa vinywaji faster, kisha mnatoka mnaingia kwa taxi ambayo ulishamwandaa dereva unaemjua.
6. Mkifika eneo la tukio taxi isipaki mkabala. ipaki mbele kidogo kisha mnateremka muelekea kwa miguu.
7. Kulikobaki ni rahisi unaweza malizia mwenyewe.
Mzee baba umefuzu... nakukubali sana..
 
Nduki utatokaje ndugu, na hapo hao wafumaniaji washakula mchongo na wenye gesti/mapokezi? bora usichepuke, kama tamaa imezidi sana oa, kama mmoja hatoshi bora kuhamia dini ya wavaa kobazi.
Pambana nao kiume..chapa makonde kama unaakili mbaya. Kumbuka sheria iko upande wako. Watu wengi hawajui hili; ukikodi chumba gesti, ile ni himaya yako kwa muda n Yeyote anayekuvamia eti kakufumania na mkewe kama unayo silaha hata moto muue! Usikubali kuadhirika kama coward.
 
1. Kwanza lazima umjue Mume wa mwanamke unaeenda kumgonga.
2. Demu asijue kabisa ni wapi mnaenda kutombana. Akingangania kujua mwambie sehemu tofauti kabisa.
3. Kama anatumia smart phone, mkikutana tu, jaribu kwa namna Yoyote kumshawishi simu zenu zizimwe kwa muda wote mtakapokuwa pamoja.
4. Kutana nae mahali kisha mwelekee sehemu ya tukio.
5. Mkitoka na gari lako, msiende moja kwa moja eneo la tukio, kwanza mnekwenda eneo A manashuka kwa gari mnaingia kwa vinywaji faster, kisha mnatoka mnaingia kwa taxi ambayo ulishamwandaa dereva unaemjua.
6. Mkifika eneo la tukio taxi isipaki mkabala. ipaki mbele kidogo kisha mnateremka muelekea kwa miguu.
7. Kulikobaki ni rahisi unaweza malizia mwenyewe.
1. Kwann usiende na gari lako.. 2. Kwann uzime simu
 
UKIPENDA UZINZI,,,TEMBEA NA KY KABISA, ILI MKOA WA AMBER ROOT USIPATE SHIDA
 
Hahaha eti ya wavaa kobazi
Nduki utatokaje ndugu, na hapo hao wafumaniaji washakula mchongo na wenye gesti/mapokezi? bora usichepuke, kama tamaa imezidi sana oa, kama mmoja hatoshi bora kuhamia dini ya wavaa kobazi.
 
Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu, za mwizi 40!
Siku zote risk taker ndio huwa wanapata mambo matamu. Ukifukiria sana kwamba za mwizi arobaini hutafanikiwa. Wengine wameandikiwa mpaka zifike 90. Zikifika 89 tu wanaacha haya mambo..
 
1. Kwann usiende na gari lako.. 2. Kwann uzime simu
Yote haya ni kuzuia mwenye mali kukutrack. Ukimrugusu awashe simu kama wanaongea na watu wake (amecheza dili) ili waje kujukamata atachata nao kwa sms na atawaeleza mlipo. Na pia kama kuna mtu ana track location atajua.. gari unaacha mbali coz wanaweza kua anayekufwatilia hakujua ila anajua namba za gar..
 
Uzi huu kina jamaa kautoa copy punde humu humu JF
 
Vyuma vilivyokaza bado watu wanawaza kuiba wake za watu
 
Ndio mchana kweupe maeneo ya kariakoo huo ushauri wako,Acha uzinzi Aisee
 
Ukifumaniwa usikubali mambo haya;
Kukatwa nyembe
Kufir.a
Kupigwa picha
Kuchezea kichapo
Kutembezwa uchi mtaani
Kuchukuliwa video

Nini ufanye ili kujinusuru;
Kunya jipake mavi mwilini hakuna atakaye kugusu
Kuwa mbabe rusha ngumi
Wewe uwe kama umefumania
Usipaniki
 
Safi sana kiongozi. Ushauri bomba sana [emoji23]
 
Tatizo wakija kufumania wanabeba vipande vya watu kama 4 hadi 6. Hapo lazima uchezee kichapo na yafuatayo
Ukifumaniwa usikubali mambo haya;
Kukatwa nyembe
Kufir.a
Kupigwa picha
Kuchezea kichapo
Kutembezwa uchi mtaani
Kuchukuliwa video

Nini ufanye ili kujinusuru;
Kunya jipake mavi mwilini hakuna atakaye kugusu
Kuwa mbabe rusha ngumi
Wewe uwe kama umefumania
Usipaniki
 
1. Tafuta upenyo, utoke nduki (hata kama u mtupu) ndo pona yako.
2. Usifikirie mali zako ulizoacha eneo la tukio (nguo, simu, begi)
3.Hakikisha umekimbilia sehemu ya siri sana, mfano; Mafia, Bagamoyo (upotee kwa muda).
4. Nenda kwa kiongozi wa dini (Sheikh, Askofu, Padiri, Nabii Gwajizo) ukatubu dhambi ya uzinzi
Ushauri wa mwisho ungeweka wazi kuwa mtu kama ana mashaka huenda akafumaniwa basi atembee walau na mafuta yake atleast akifumaniwa yatumike, maana wafumaniaji wengine huwa wanapiga kavu kavu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Back
Top Bottom