Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,952
- 4,416
Mdahalo ndio utakata mzizi wa fitina.Kwani unaumia?
Huyu kama hawezi hata kusoma hotuba iliyoandikwa anaweza kuelezea mambo yanayo hitaji matumizi ya ufahamu?Magufuli akubali mdahalo
Nchi zote walizopigana wa kwa wao yaani civil war ndio wana huo mfumo kuanzia hapo Kenya marekani India Afrika ya kusini Nigeria nk wote hao walitwangana civil war wakaamua kugawana nchi kwa majimbo .Kenya tu hapo utawala wa majimbo ulianza baada ya wakikuyu na wajaluo kutwangana barabara Kikwete akaenda kuwasaidiaLeo nimemskia Rais Magufuli akijibu hoja ya Lissu kuhusu CHADEMA kutengeneza majimbo wakipata madaraka.
Mh Magufuli ameeleza kwamba mfumo wa majimbo utakua mwanzo wa mfarakano, japo sielewi mfarakano utatokana na nini maana sioni mifarakano USA, Nigeria, India na nchi zingine.
Muulize Mwenyekiti wako akiwa kama Mkatoliki ambalo linajiongoza kwa Majimbo,je limeleta mtafaruku?Nchi zote walizopigana wa kwa wao yaani civil war ndio wana huo mfumo kuanzia hapo Kenya marekani India Afrika ya kusini Nigeria nk wote hao walitwangana civil war wakaamua kugawana nchi kwa majimbo .Kenya tu hapo utawala wa majimbo ulianza baada ya wakikuyu na wajaluo kutwangana barabara Kikwete akaenda kuwasaidia
Ndio majimbo yakaibuka baada ya kutembezeana marungu na mapanga wao kwa wao
You are congenital liarNchi zote walizopigana wa kwa wao yaani civil war ndio wana huo mfumo kuanzia hapo Kenya marekani India Afrika ya kusini Nigeria nk wote hao walitwangana civil war wakaamua kugawana nchi kwa majimbo .Kenya tu hapo utawala wa majimbo ulianza baada ya wakikuyu na wajaluo kutwangana barabara Kikwete akaenda kuwasaidia
Ndio majimbo yakaibuka baada ya kutembezeana marungu na mapanga wao kwa wao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2297][emoji2297][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Baada ya mdahalo utegemee uchaguzi kuahirishwa kwa miezi mitatu.
Kwenye discussion kubwa kama hizi uwe serious basi, kila kitu utani ndiyo mwisho wa siku hamjui nani amekuwa mtumwa wenu pale ikuluKwani unaumia?
Wanasiasa wenyewe wa Tanzania hawako serious na siasa zao Mimi niwe serious nipate faida gani?Kwenye discussion kubwa kama hizi uwe serious basi, kila kitu utani ndiyo mwisho wa siku hamjui nani amekuwa mtumwa wenu pale ikulu
Kwa niaba yangu nakuomba ukiona uzi unakuvutia kuchangia positive comment pita tu mwanangu, maana nchi inatakiwa kupata tiba ndani ya miezi hii miwili.Wanasiasa wenyewe wa Tanzania hawako serious na siasa zao Mimi niwe serious nipate faida gani?