GE2025 Mambo ya kurekebisha baada ya Samia Suluhu kuchaguliwa rasmi Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Tukiangazia mwenendo wa kampeni na muelekeo wa wapiga kura wengi ni wazi kuwa Rais Samia atapigiwa kura na kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kama wanazuoni na wanasiasa na wenye nchi tunao wajibu wa kumwambia mgombea mwenye uelekeo wa kushinda ni maeneo gani haswa hayapo vizuri,ama yana uhitaji wa haraka kuyafanyia kazi.

Hii ni njia muhimu sana na ya kidemokrasia ya kumfanya Rais mteule kujua kwa kina ni mambo au kero gani wadau wanataka yafanyiwe kazi .

Karibuni kwa mjadala
 
Atapigiwa kura na nani?sema atajishindisha uraisi,na hapo atakuwa sio raisi wa wananchi kwahio hakuna cha kumshauri,labda arudi mkoani kwake Zanzibar ndio ushauri
 
Atupunguzie utawala wa mkono wa chuma halafu turudi kwenye meza ya mazungum!o ili kuliponya taifa hili lililogawanyika.
 
Tukiangazia mwenendo wa kampeni na muelekeo wa wapiga kura wengi ni wazi kuwa Rais Samia atapigiwa kura na kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama wanazuoni na wanasiasa na wenye nchi tunao wajibu wa kumwambia mgombea mwenye uelekeo wa kushinda ni maeneo gani haswa hayapo vizuri,ama yana uhitaji wa haraka kuyafanyia kazi.
hii ni njia muhimu sana na ya kidemokrasia ya kumfanya Rais mteule kujua kwa kina ni mambo au kero gani wadau wanataka yafanyiwe kazi .
karibuni kwa mjadala
Yeye mwenyewe hayupo vizuri atuachie kitu chetu aende zake
 
Shenzi kabisa, pumbavu,
Tukiangazia mwenendo wa kampeni na muelekeo wa wapiga kura wengi ni wazi kuwa Rais Samia atapigiwa kura na kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kama wanazuoni na wanasiasa na wenye nchi tunao wajibu wa kumwambia mgombea mwenye uelekeo wa kushinda ni maeneo gani haswa hayapo vizuri,ama yana uhitaji wa haraka kuyafanyia kazi.

Hii ni njia muhimu sana na ya kidemokrasia ya kumfanya Rais mteule kujua kwa kina ni mambo au kero gani wadau wanataka yafanyiwe kazi .

Karibuni kwa mjadala

Akili za Werevu Huwa hazitumiwi na watu wajinga wajinga hao walokutuma.

Mambo ya kushughulikiwa ,angeyafanga Sasa.
 
Hivi vitisho vya maaskari na magari yao unategemea watu waende vituoni kweli,
 
Kama mpaka sasa hajui tunachotaka anasubiri kuambiwa, basi hiyo nafasi haimfai.
 
Tukiangazia mwenendo wa kampeni na muelekeo wa wapiga kura wengi ni wazi kuwa Rais Samia atapigiwa kura na kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kama wanazuoni na wanasiasa na wenye nchi tunao wajibu wa kumwambia mgombea mwenye uelekeo wa kushinda ni maeneo gani haswa hayapo vizuri,ama yana uhitaji wa haraka kuyafanyia kazi.

Hii ni njia muhimu sana na ya kidemokrasia ya kumfanya Rais mteule kujua kwa kina ni mambo au kero gani wadau wanataka yafanyiwe kazi .

Karibuni kwa mjadala
Uchaguzi urudiwe 2026 baada ya Lissu kutoka gerezani.
 
Tukiangazia mwenendo wa kampeni na muelekeo wa wapiga kura wengi ni wazi kuwa Rais Samia atapigiwa kura na kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kama wanazuoni na wanasiasa na wenye nchi tunao wajibu wa kumwambia mgombea mwenye uelekeo wa kushinda ni maeneo gani haswa hayapo vizuri,ama yana uhitaji wa haraka kuyafanyia kazi.

Hii ni njia muhimu sana na ya kidemokrasia ya kumfanya Rais mteule kujua kwa kina ni mambo au kero gani wadau wanataka yafanyiwe kazi .

Karibuni kwa mjadala
Mpuuzi wewe. Waliokutuma kawaambie wajipange
 
Ngoja na mimi niandae list ya mambo 10 ya kufanya nikifika Mbinguni.
 
Shenzi kabisa, pumbavu,

Akili za Werevu Huwa hazitumiwi na watu wajinga wajinga hao walokutuma.

Mambo ya kushughulikiwa ,angeyafanga Sasa.
Matusi ya nini you are so weak unashindwa kujenga hoja
 
Hivi vitisho vya maaskari na magari yao unategemea watu waende vituoni kweli,
Atakayetishika ni mualifu tu raia mpenda amani anafurahi kuona ulinzi na usalama ni imara
 
Hivi huwa na roho mtakatifu nyoyoni mwenu? Mnajua kesho ni mbali sana ? Mungu sio mchengerwa

Back
Top Bottom