funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Tukiangazia mwenendo wa kampeni na muelekeo wa wapiga kura wengi ni wazi kuwa Rais Samia atapigiwa kura na kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama wanazuoni na wanasiasa na wenye nchi tunao wajibu wa kumwambia mgombea mwenye uelekeo wa kushinda ni maeneo gani haswa hayapo vizuri,ama yana uhitaji wa haraka kuyafanyia kazi.
Hii ni njia muhimu sana na ya kidemokrasia ya kumfanya Rais mteule kujua kwa kina ni mambo au kero gani wadau wanataka yafanyiwe kazi .
Karibuni kwa mjadala