Mambo ya kushangaza kuhusu kujamba

Hii ilitokea juzi kmmmk dah nilicheka sana maana kuna mwamba aliamua kulalamika baada ya kupita vishuzi vitatu vya gas kali[emoji28]!
Yupo kuna mtu anapumua yani anajamba hapa hapa tunae yani ila anashindwa kuvumilia af hewa nzito yani[emoji28]
Tigo imetoboka kwa mamiti
 
Kuna siku nilipanda hiace, wakati nashuka niliachia ushuzi unanuka hatari... Wakati nikiwa nje huko naona vioo vinafunguliwa kwa kasi, nilicheka sana.

Kumbe mnafanya makusudi 🀣🀣🀣
 
Kuna baadhi ya wanaume wanajamba kwa sauti mbele ya wanaume wenzao .. haipendezi ukijihisi kujamba kama una nafasi ya kutoka toka kajambie pembeni.. mnazinguaga kweli

Sasa akishajamba pembeni akirudi si atarudi na shombo ya ushuzi. Huoni kama bado tatizo halijatatuliwa 🀣🀣
 
Siku moja library nilijiachia vibaya kumbe kuna matron kajiinamia kwenye desktop anafanya kazi zake sijamuona
 
Ukitaka utoe ushuzi watu wakukimbie we kula tu karanga mbichi afu ule na ugali dagaa na maharage asee uwo mchanganyiko ni hatar zaid ya bomu la nyukria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tushapoteza mabaharia kwenye huu uzi
 
Sikujua, sasa nimejua. Asante kwa maelezo yako mazuri Sana.
 
We wakati unaogelea kwenye dimbwi si ndio ulijambaga vyura wote wakahama dimbwi wakaenda kwingine
Haaa haaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa walikimbia kama wale samaki wanavuliwaga kwa sumu [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka miaka ya 2016 nasafiri naenda Kilosa pembeni nilikuwa nimekaa na mzee nakumbuka alikuwa kama ana miaka 60 gari inaanza safari pale ubungo yule mzee kanunua biscut anakula kufika kibaha maili moja kanunua korosho tukafika mlandizi kanunua mayai yaan nilivyoona tu ananuua mayai daa yaan nilishiwa nguvu we tumefika Ruvu hali balaa tulivyofika vijiji vya chalinze nafikiri ni mdaula wee mzee kaanza kujamba ule ushuzi wa yusuph aisee unanuka sijawahi kuona alikuwa anajamba kila dk 10 mpk kufika msamvu abiria wote hali mbaya kila mtu fungueni madirisha mtatuuwa ila mimi ndio nilikuwa nipo kiti nae nilipata shida mpk nikaugua mafua aisee siwezi kumsau yule mzee sio kwa kujamba kule hadi mafua maana mimi nina alleegy na vumbi lkn ule ushuzi sio wa nchi hii nina hakika yule mzee ukimfungia chumba na mtoto mchnga na akaanza kujamba mtoto mchanga atakufa tu ndiio maana nikiona mtu anakula ovyo katika gari nachukia hasa mayai
 
Kwa America hiyo ni sifa ila kwa hapa bongo hiyo ni kashfa ingawa hakuna mtu asiyejamba. Vipi kikao kilimalizika kwa Usalama hapo fukweni?
...hata Wahindi hawana kujinabana bana wapojamba! Huutoa tu Ushuzi kwa raha zao na Mjambaji hupewa Pole na Hata Kupongezwa!
 
Hapa nilipo nimeubana, sina ujasiri kabisa wa kuuachia, niko na watu ofcn...ushauri tafadhali
...Toa kitu Yusufuuu huku ukijifanya kusoma gazeti! [emoji23][emoji23]
 
Huku mtaani kwetu Kuna mzee wa kama 65 yrs,yaani ni comedy hatarii!
Sasa huyu mzee akipita,ukamwambia nikopeshe buku 5,basi hapo hapo anaachia ushuzi mfululizo mara 5!Ulimwambia nikopeshe ten,basi ushuzi mara 10 unaachiwa!Yaani muda wote Yuko standby!🀣
Mzee anazingua sana!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…