Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
6. Kwa Baadhi ya Tamaduni, Kujamba Sio Ishu
Wakati tamaduni nyingi zikichukulia tendo la kujamba lifanywe kistaarabu, kuna baadhi ya tamaduni hawaoni haya kujamba hadharani, na pia hufurahia tendo hilo.
Kuna baadhi ya makabila hutoa pongezi kwa anayejamba