Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna anayekushinda wewe mke wangu mzuri,mwenye matako mazuri,makubwa na laini kama sufi.
Hongera sana mama wawili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna anayekushinda wewe mke wangu mzuri,mwenye matako mazuri,makubwa na laini kama sufi.
Hongera sana mama wawili.
Kwanini tunajamba? kwanini "ushuzi" unanuka? Kujamba inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu,lakini inaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendo la kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda. Kila mtu anajamba,hata Sky Eclat nae hujamba.
1. Kujamba ni nini hasa?
Kujamba kunasababishwa na kubanwa kwa hewa,ambayo inaweza kutoka mwilini kwa njia nyingi. Baadhi ni hewa tuliyoimeza wakati wa kula au kunywa. Hewa ingine husababishwa na gesi kuingia kwenye utumbo wetu kutoka kwenye damu, na baadhi ya gesi huzalishwa na kemikali katika utumbo au bakteria.Kwa kawaida "ushuzi" unakua na asilimia 59 ya gesi ya nitrogen, asilimia 21 ni hydrogen, asilimia 9 ni carbon dioxide, asilimia 7 methane na asilimia 4 ni oygen.
Asilimia moja tu ya "ushuzi" inaweza kuwa hydrogen sulfide na mercaptans,ambayo ndio ina sulfur ndani yake,sulfur ndo hufanya "ushuzi" utoe harufu mbaya Kujamba huambatana na sauti,hii ni kutokana na "vibration" katika njia ya haja kubwa.Ukubwa wa mlio wa kujamba hutegemea "presha" inayosukuma gesi itoke nje na pia ugumu wa misuli ya njia ya haja kubwa.
2. Kwa nini Ushuzi hutoa Harufu mbaya?
Harufu mbaya ya ushuzi hutegemea na ulaji wa mtu, vyakula vyenye sulfur kwa wingi ndio husababisha hili. Vyakula vyenye sulfur kwa wingi ni kama maharage, kabichi, soda na mayai.
View attachment 1498819
3. Watu hujamba hadi mara 14 kwa siku
Mtu wa kawaida hutoa hata nusu lita ya ushuzi kwa siku 😂😂. Inasemekana mtu akijamba mfululizo kwa kipindi cha miaka 6,anaweza kuzalisha nishati ya kutosha kutengeneza bomu la atomiki.😎
4. Ushuzi husafiri kwa mwendo wa futi 10 kwa sekunde
Harufu ya ushuzi huanza kusikika sekunde 10-15 baada ya mtu kujamba,hiyo ni kwa sababu inachukua muda mrefu kwa harufu kufikia pua. (Kwa mtu mnene kama Kiduku Lilo inaweza chukua hata nusu saa😂😂)
5. Kujizuia Kujamba Inaweza Kuhatarisha Afya Yako
Madaktari hawajakubaliana moja kwa moja kama kujizuia kujamba ni hatari kiafya.Baadhi ya wataalam wanafikiri kujamba ni sehemu muhimu katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula,hivyo kujizuia kujamba haitakuletea madhara.Wengine wanadhani kwamba kujizuia kujamba kunaweza kusababisha tumbo kujaa gesi, na pia inaweza sababisha kikundu(hemorrhoids).
View attachment 1498820
6. Kwa Baadhi ya Tamaduni, Kujamba Sio Ishu
Wakati tamaduni nyingi zikichukulia tendo la kujamba lifanywe kistaarabu, kuna baadhi ya tamaduni hawaoni haya kujamba hadharani, na pia hufurahia tendo hilo. Mfano kabila la Yanomami huko America ya Kusini,kwao husalimiana kwa kujamba,na China unaweza kupata kazi ya kunusa ushuzi! Katika Roma ya zamani, Mfalme Claudius akihofia kwamba kujizuia kujamba inaweza kuwa hatari kiafya, alipitisha sheria kwamba ni ruhusa kujamba kwenye "banquets".
Swali kwako.
Je, ulishawahi kujamba sehemu ambayo ukahisi hukustahil kufanya hivyo iwe kwa bahati mbaya au kukusudia?
Aggghhh! Check your facts first, my dear dombo!
Yaani usiache. Kunusa harufu ya mnyampo wako kunaimarisha afya yako kitaalam. Utafiti unaonesha kwamba gas inayotokana na kujamba husaidia kukarabati seli aina ya mitochondria na mwisho wake kupunguza athari kama za stroke, pressure na magonjwa mengine. Endelea tu kunusa kwa afya yako.Napenda sana kunusa harufu ya ushuzi wangu.
Na nikijamba kisipokuwa na harufu yoyote nachukia sana. Sijui kwanini ila napenda[emoji3]
Eeeeh kwaheriAngalie usijekua una fichwa na vitu vingine.
Hamna aisee. Sio kwamba hapigi vitu anapiga sema mara chache sana sio km mm. Nadhani ni maumbile piaMwambie mke asiwe msiri mkiwa wote
Watakua watani zangu wahaya [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna baadhi ya makabila hapa tz yapo kama matatu hv sitataja kuepusha vurumai....
mtu mzima akijamba wadogo mnatakiwa kuitikia 'asante'
What i saw on your comment is wrong on every level my dear dombo!
HahaaaMama alijambaga wakati tupo kwenye kikao cha familia. Kimya kikapita kama dakika 3 maongezi yakaendelea
HahaaaNiliendaga kijijini BK huko nipo mdogoo. Wakati wa kula sasa kiherehere changu kikanipeleka kula kwa wakubwa badala ya kula na watoto wenzangu.Wakati wa kula mtu mzima akajamba kofi nikapewa mimi dah! Halafu na kufokewa juu.Baada ya msosi mama akanifuata kunibembeleza. Nikamwambia siwezi kukaa huku tuondoke.Ndani ya siku mbili tu tukarudi Mwanza.
Yaani wakubwa starehe yenu halafu makofi mtupige sie! Tamaduni za ajabu sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wote waliolike hapa inapaswa wafanyiwe upembuzi yakinifu.Raha ya kujamba uwe pekee yako, ubinue kalio moja, ushuzi utoke taratibu, usikilizie harufu yake(mjambaji harufu hata ikiwa mbaya atahisi nzuri)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wote waliolike hapa inapaswa wafanyiwe upembuzi yakinifu.