Mambo ya kustaajabisha kuhusu viumbe hawa

fungi06

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2020
Posts
738
Reaction score
1,017
1. Konokono (snail) anao uwezo wakulala miaka mitatu

2. Polar bears wote duniani wanatumia mkono wa kushoto



3. Physical ni vigumu kwa nguruwe kuweza angalia angani



4. Hydra. Awa ndo viumbe pekee vya makini ambayo huwa avipotezi uhai. Uwa wana replace Seli zilizo kufa kwa kujitengenezea seli mpya



5. Tembo ndio mamalia pekee duniani asiye weza kuruka



6. Asali ndio chakula pekee duniani kisicho haribu mwili wa binadamu


7 strawberry ndio Tunda pekee duniani lenye mbegu ardhini ila sio kwenye tunda


8. Majina common duniani ni Mohamed

9. Bullet proof yakwanza vumbuliwa duniani ilivumbuliwa na muuza cheese mare kaniambia ambae alidunguliwa mara mbili naku poa akaanza a tengenezee bullet proof yake

10. Kwa Kiingereza manara yote duniani yameishia alfabeti iliyo anzIA

11. Mao wa China hajawai kubrash meno yake kipindi cha maisha yake
..naisi ata mate ajawai pewa na walimbwende wa China

12. Msuli imara mwilini ni wa ulimi

13. Kamwe binadamu huwezi jiuwa kwa kujiziba pumzi..

14. Kama ilivyo kwa fingerprint. Vivyo hivo ilivyo kwa ulimi. Kila binadamu anayo unique print yake kwenye ulimi.

15. Kikawaida, binadamu wa kawaida hulala miaka 24

16. Kobe ndio mnyama pekee ambae akichoka pumua kwa mdomo anapumulia mkundu

Karibu tujuze unachokijua ambacho kimefanyiwa research

NO research no right to talk
 
Picha nzuri
 
hao namba nne ni jamii ya jellyfish??
Ndio, Jellyfish ndio kiumbe imortal hua hafi bila kuuawa. Lakini yupo pia kiumbe mwingine wengi hatumfahamu. Anapatikana kwenye Quantum realm, yani ni mdogo mdogo sana sana ainaitwa Tardigrade au Water bear. Huyu kiumbe nae hafi, yupo kila mahali unapopafaamu. Kwenye volcan,kwenye gas, kwenye moto,kwenye maji, kwenye matope angani nk nk. Yupo kila mahali na ndio kiumbe pekee anayeshikilia rekodinya kuweza kuhimili na kuishi maisha yoyote yale hatalishi.
 
Hapo kwenye strawberries umedanganya, mbegu za strawberry zinakaa vipi ardhini au ulimaanisha mizizi. Ujweli ni kua strawberry ndio tunda pekee ambalo mbegu huka nje ya tunda sio ndani ya tunda kaa embe,parachiichi,ndizi,Chunga nk nk
 
Hata uume pia ni sawa na fingernorint au ulimi vile vi mistari ni unia
 
ooh asante kwa kunielewesha na kuniongezea maarifa
 
Mbona kama kavaa koti alafu mbele kafungiwa camera?
 
Tulia urekebishe ieleweke, hebu soma namba 9 utoe ufafanuzi!!
6. Asali ndio chakula pekee duniani kisicho jaribu mwili wa binadamu

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kisicho jaribu au haribu?? yan kuna mambo alikua na haraka nayo kama anatoa kichwa vile
 
Hapo kwenye strawberries umedanganya, mbegu za strawberry zinakaa vipi ardhini au ulimaanisha mizizi. Ujweli ni kua strawberry ndio tunda pekee ambalo mbegu huka nje ya tunda sio ndani ya tunda kaa embe,parachiichi,ndizi,Chunga nk nk
Ndio boss yani mbegu yake iko kwenye miziz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…