Mambo ya kustaajabisha kuhusu viumbe hawa

Mambo ya kustaajabisha kuhusu viumbe hawa

Duuh Kobe anadharau sana sasa ina maana akichoka kujambia mkuduni anageuzia mdomoni?
 
hii picha ndio kiumbe au nini
Ndio, Jellyfish ndio kiumbe imortal hua hafi bila kuuawa. Lakini yupo pia kiumbe mwingine wengi hatumfahamu. Anapatikana kwenye Quantum realm, yani ni mdogo mdogo sana sana ainaitwa Tardigrade au Water bear. Huyu kiumbe nae hafi, yupo kila mahali unapopafaamu. Kwenye volcan,kwenye gas, kwenye moto,kwenye maji, kwenye matope angani nk nk. Yupo kila mahali na ndio kiumbe pekee anayeshikilia rekodinya kuweza kuhimili na kuishi maisha yoyote yale hatalishi.
View attachment 1603112
 
sana najuta hata kukitazama
lakini kipo kama kitu kilichotengenezwa
ni kikubwa kubwa kama nini
Huyo yupo kwenye Quantum realm yaani ni mdogo zaidi kuliko hata mra elfu ya atom moja. Ni mdogo sana sana electrical microscope zenye uwezo mkubwa sana ndio wanatumia kumuona
 
Huyo yupo kwenye Quantum realm yaani ni mdogo zaidi kuliko hata mra elfu ya atom moja. Ni mdogo sana sana electrical microscope zenye uwezo mkubwa sana ndio wanatumia kumuona
sasa kwanini wanamwita mnyama
 
1. Konokono (snail) anao uwezo wakulala miaka mitatu

2. Polar bears wote duniani wanatumia mkono wa kushoto

View attachment 1603075

3. Physical ni vigumu kwa nguruwe kuweza angalia angani

View attachment 1603077

4. Hydra. Awa ndo viumbe pekee vya makini ambayo huwa avipotezi uhai. Uwa wana replace Seli zilizo kufa kwa kujitengenezea seli mpya

View attachment 1603081

5. Tembo ndio mamalia pekee duniani asiye weza kuruka

View attachment 1603083

6. Asali ndio chakula pekee duniani kisicho haribu mwili wa binadamu
View attachment 1603084

7 strawberry ndio Tunda pekee duniani lenye mbegu ardhini ila sio kwenye tunda
View attachment 1603086

8. Majina common duniani ni Mohamed

9. Bullet proof yakwanza vumbuliwa duniani ilivumbuliwa na muuza cheese mare kaniambia ambae alidunguliwa mara mbili naku poa akaanza a tengenezee bullet proof yake

10. Kwa Kiingereza manara yote duniani yameishia alfabeti iliyo anzIA

11. Mao wa China hajawai kubrash meno yake kipindi cha maisha yake
..naisi ata mate ajawai pewa na walimbwende wa China

12. Msuli imara mwilini ni wa ulimi

13. Kamwe binadamu huwezi jiuwa kwa kujiziba pumzi..

14. Kama ilivyo kwa fingerprint. Vivyo hivo ilivyo kwa ulimi. Kila binadamu anayo unique print yake kwenye ulimi.

15. Kikawaida, binadamu wa kawaida hulala miaka 24

16. Kobe ndio mnyama pekee ambae akichoka pumua kwa mdomo anapumulia mkundu

Karibu tujuze unachokijua ambacho kimefanyiwa research

NO research no right to talk
Hapo kwa kobe sijaelewa kabisa coz ata mammals wanapumulia mkundu
 
Wanachukua masaa unayolala mwandamu, Hua ni nane universal sleeping time kisha wanachukua na idadi ya siku uliyoishi duniani. Kila siku moja wanatoa masaa nane, so pia wanachukulia kwamba Lifespan ya wanadamu ni miaka 70 so wanacalculate siku zilizopo katika miaka sabibini kisha wanatoa masaa 8 kisha hayo masaa waliyotoa wanayabadili katika siku mpaka miaka, it's simple mathematics (70x365)
Okey good
 
hao wakubwa kubwa
Ni kweli, hua tunawaita wanyama kwasababu wote hao wanaangukia kwenye kundi la Kingdom Animalia. Tutapokuja kuwatofautisha ni kwenye phylum huko. So technically huyo mdudu ni mnyama sio mmea wala fungi
 
Ni kweli, hua tunawaita wanyama kwasababu wote hao wanaangukia kwenye kundi la Kingdom Animalia. Tutapokuja kuwatofautisha ni kwenye phylum huko. So technically huyo mdudu ni mnyama sio mmea wala fungi
Uko vizuri kwenye classification.
 
Back
Top Bottom