Mambo ya kustaajabisha kuhusu viumbe hawa

Mambo ya kustaajabisha kuhusu viumbe hawa

Hapo kwenye tembo ndio mamalia pekee asieweza kuruka sio kweli kabisa..peter msechu hawezi kuruka
 
1. Konokono (snail) anao uwezo wakulala miaka mitatu

2. Polar bears wote duniani wanatumia mkono wa kushoto

View attachment 1603075

3. Physical ni vigumu kwa nguruwe kuweza angalia angani

View attachment 1603077

4. Hydra. Awa ndo viumbe pekee vya makini ambayo huwa avipotezi uhai. Uwa wana replace Seli zilizo kufa kwa kujitengenezea seli mpya

View attachment 1603081

5. Tembo ndio mamalia pekee duniani asiye weza kuruka

View attachment 1603083

6. Asali ndio chakula pekee duniani kisicho haribu mwili wa binadamu
View attachment 1603084

7 strawberry ndio Tunda pekee duniani lenye mbegu ardhini ila sio kwenye tunda
View attachment 1603086

8. Majina common duniani ni Mohamed

9. Bullet proof yakwanza vumbuliwa duniani ilivumbuliwa na muuza cheese mare kaniambia ambae alidunguliwa mara mbili naku poa akaanza a tengenezee bullet proof yake

10. Kwa Kiingereza manara yote duniani yameishia alfabeti iliyo anzIA

11. Mao wa China hajawai kubrash meno yake kipindi cha maisha yake
..naisi ata mate ajawai pewa na walimbwende wa China

12. Msuli imara mwilini ni wa ulimi

13. Kamwe binadamu huwezi jiuwa kwa kujiziba pumzi..

14. Kama ilivyo kwa fingerprint. Vivyo hivo ilivyo kwa ulimi. Kila binadamu anayo unique print yake kwenye ulimi.

15. Kikawaida, binadamu wa kawaida hulala miaka 24

16. Kobe ndio mnyama pekee ambae akichoka pumua kwa mdomo anapumulia mkundu

Karibu tujuze unachokijua ambacho kimefanyiwa research

NO research no right to talk
17. Nguruwe ndiye mnyama anayeliwa zaidi duniani
 
Back
Top Bottom