Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
9 na 10 badoTiyari naisi
Wanachukua masaa unayolala mwandamu, Hua ni nane universal sleeping time kisha wanachukua na idadi ya siku uliyoishi duniani. Kila siku moja wanatoa masaa nane, so pia wanachukulia kwamba Lifespan ya wanadamu ni miaka 70 so wanacalculate siku zilizopo katika miaka sabibini kisha wanatoa masaa 8 kisha hayo masaa waliyotoa wanayabadili katika siku mpaka miaka, it's simple mathematics (70x365)Fafanua hiyo namba 15.
Pia asali ndo chakula pekee kisichoharibika...ilikutwa asali huko misri yenye miaka zaidi ya 20006. Asali ndio chakula pekee duniani kisicho jaribu mwili wa binadamu
😂😂😂😂 kisicho jaribu au haribu?? yan kuna mambo alikua na haraka nayo kama anatoa kichwa vile
Ahsante pia,ooh asante kwa kunielewesha na kuniongezea maarifa
Hilo sasa umeona wewe mkuu, ila hiyo ni morphological appearence tuMbona kama kavaa koti alafu mbele kafungiwa camera?
Bado unazidi kutudanganya, itakua hujawahi kula strawberry. Mara ya kwanza kula zilinishinda kwakua mhegu zipo juu juu kabisa ya tunda sasa unaponiambia zipo kwenye mizizi sielewi.Ndio boss yani mbegu yake iko kwenye miziz
Acha hizo chief ohoo! [emoji28]The type of skin on your lips is called MUCOSA, the same skin you can find at your Anus.
Because the lips and the anus are the two ends of the pipe called the alimentary canal.
Najua wengi Leo mtaenda kuhakikisha.
We jamaa uko sharp minded mno lazima home wako proudly na wewe sanaWanachukua masaa unayolala mwandamu, Hua ni nane universal sleeping time kisha wanachukua na idadi ya siku uliyoishi duniani. Kila siku moja wanatoa masaa nane, so pia wanachukulia kwamba Lifespan ya wanadamu ni miaka 70 so wanacalculate siku zilizopo katika miaka sabibini kisha wanatoa masaa 8 kisha hayo masaa waliyotoa wanayabadili katika siku mpaka miaka, it's simple mathematics (70x365)
Unazungumziaje kuhusu nanasiHapo kwenye strawberries umedanganya, mbegu za strawberry zinakaa vipi ardhini au ulimaanisha mizizi. Ujweli ni kua strawberry ndio tunda pekee ambalo mbegu huka nje ya tunda sio ndani ya tunda kaa embe,parachiichi,ndizi,Chunga nk nk
duuuh pole sanaMkuu hi simu kumbe ilikua inafanya auto correction
Mbegu ya nanasi hua inakaa juu kwenye majaniUnazungumziaje kuhusu nanasi