Mambo ya kustaajabisha kuhusu viumbe hawa

Ni kweli, hua tunawaita wanyama kwasababu wote hao wanaangukia kwenye kundi la Kingdom Animalia. Tutapokuja kuwatofautisha ni kwenye phylum huko. So technically huyo mdudu ni mnyama sio mmea wala fungi
Haya nmekuelewa Vin
 
wonderfull
 
Hapo kwenye strawberries umedanganya, mbegu za strawberry zinakaa vipi ardhini au ulimaanisha mizizi. Ujweli ni kua strawberry ndio tunda pekee ambalo mbegu huka nje ya tunda sio ndani ya tunda kaa embe,parachiichi,ndizi,Chunga nk nk
Na wewe umedanganya pia
Strawberry Sio tunda pekee ambalo mbegu hukaa nje ya tunda.

bibo pia mbegu (korosho) hukaa nje ya tunda (tunda ndio bibo na mbegu ndio ile korosho)
 
Kweli ukisema "tango" lazima uwastaajabishe wabongo
 
hata ng'ombe kuangalia just hawezi.tembo kuruka anaweza akiwa anakimbia japo kwa kina kifupi
 
Namba 10. Uongo mtupu mbona Manara wetu wa Simba........?
 
Upo vizuri upstairs .. MaashaAllah!

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…