Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,067
- 10,393
Dah...hiyo Quality..labda usubiri Stigla joji ianze kuzalisha..[emoji23][emoji23][emoji23]Kwako wewe haijalishi. Ila tunaojua Quality tunajali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah...hiyo Quality..labda usubiri Stigla joji ianze kuzalisha..[emoji23][emoji23][emoji23]Kwako wewe haijalishi. Ila tunaojua Quality tunajali.
Ivi mkuu compressor mpya shngap ninafriji apa limezngua compressorsasa mkuu hiyo frij ilishatengenezwa hapa BONGO ishatiwa gesi na inawezekana ishapigwa paipu
mafundi wa kibongo wakitia gesi hawaaweki katika vipimo sahihi vya pressure ambacho ni 1 bar au 14.7psi ili kuzui high amps katika katika compressor inapelekea. compressor kufanya kazi kuliko uwezo wake overload inakata
au kufa piston za ndani za compressor nk na hawawezi kufrash system vizuri kuondoa unwanted things kama oil ya zamani iliyoko kwenye systeam vumbi nk
kbla kuweka gesi inabidi utoe hewa isiyohitajika katika mfumo kwa VACUUM pump sijawahi ona fundi frij akiwa na vacuum pump wachache wanajiongeza kwa kutumi kwa kutumia suction line ya compressor ya ziada kutoa hewa isiyohitajika ndo mafundi fliji akitengeneza leo mwenzi auishi anapigiwa simu fliji imejamba tena chok kibao hawajiongezi hata kutumia clamp meter kupima current zipo saws
hayo kwa uchche upelekea friji itumie umeme mwingi
lakin frij used ambYo haijaguswa ukinunua mtumbani ikiandikwa 50 watts inafanya kazi hvyohvo kutokana na kwamba gesi imewekwa katika vipimo sahihi inapelekea current kuwa sawa
jumba au piping diagram kuanzia condenser mpk evaporator vipo sawa kulingana na uwezo wa compressor
Nijulishe kuhusu compressor mkuu mana nackia kuna compressor mpya nazamtumba ..Friji yangu imezingua compressorMkuu hujui maana ya FROST FREE....Ni hivi linagandisha CHAKULA TU kuta za freezer hazigandi. Ukiweka nyama kwenye freezer unakuta nyama tu imeganda, ukifungua friji unaitoa kirahisi badala ya mafriji ya kizamani ambapo unaanza kupambana na mabarafu.
Hata section ya friji unakuts maji,juice za baridi bila kutengeneza maji kwa condensation. Kama unanunua juice za pakti kwa maduka ya mitaani utaona kule chini box limeloa kama limeoza ndio matokeo ya mafriji ya zamani lakini frost free pakti ya juice huwrzi kukuta chini imeharibiwa na maji.
Friji nzuri ni FROST FREE sehemu nyingine awanunui au kuuza friji ambayo sio FROST FREE
Hapa nahisi friza langu ndio linanifanya mbaya coz linakula sana umeme. Hivi naweza kufanya nn ili lisile sana umemeni kweli 50W inalamba 1 unit ndani ya 20 masaa, hapa ikiwa mpyaa kiongozi
ikiwa kuukuu (used) inalamba unit mpaka 3 ndani ya siku moko! izo calculation za units = watts in kW x time in hours, hazi apply tena!
Vipi kwa frezer mkuu. Nayo haitakiwi kuzimwa zimwa? Je nayo ina thermostat?Kama nilivyosema hapo mwanzo,bei ya relay inatokana na wapi umenunua,nchi gani inatoka nk,kwasasa siwezi kukwambia kwa uhakika bei ya relay,lakini nafikiri kuanzia 10000 kwenda juu,Kuna kitu chengine nataka kuongezea katika utumiaji wa Frigi,Kwakweli frigi unapoliwasha halitakiwi lizimwe..
Katika frigi kuna kitu kinaitwa "thermostat" hichi kifaa nacho kinaharibika sana kwa wale wanaokuwa na mtindo wa kulizama frigi usiku kwasabababu wanataka kusevu Umeme,Ukizima frigi na kuliwasha tena hupunguzi matumizi ya umeme,ukweli wenyewe unakuwa unatumia umeme Zaidi..
"Thermostat" ni kiwaya ambacho kiko kwenye sehemu ya kuongeza na kupunguza ubaridi ndani ya frigi,hichi kifaa kazi yake ni kulizima frigi pale ambapo ubaridi unaotakiwa ndani ya frigi umefikia unapotakiwa,kwahiyo kila ukifika ubaridi unaotakiwa frigi linajizima,ukipungua linajiwasha tena, Kwahiyo kama mtu anazima na kuwasha frigi anafanya hichi kifaa kisifanye kazi inavyotakiwa matokeo yake kuharibu frigi,......
Ndio MkuuVipi kwa frezer mkuu. Nayo haitakiwi kuzimwa zimwa? Je nayo ina thermostat?
Mkuu hiyo kutu uliondoa vipi kwenye kifaa chako? Maana hata mimi huku nasumbuliwa na tatizo kama hiliHili nalo neno, nakumbuka wakati tunakuwa tulikuwa tunashuhudia fridges mpya zilizonunuliwa na wazazi mpk zina oza kwa kutu bado zinadunda,nakumbuka nilipoanza kujitegemea nilishawishika kununua fridge moja used ilikuwa inavutia kwa muonekano na bei ilikuwa reasonable, wallah nakwambia bado kdg niwe fundi fridge maana unatoka job unakuta limebuma, mara leo relay ,kesho compressor keshokutwa condessor ya nje inahitajika mtondogo external fan inahitajika nikaamua kumuuzia fundi mwenyewe anayenitengenezeaga, nikanunua brand new fridge sasa ni more than 10yrs sijaingia jikoni kukagua fridge eti haifanyi kazi nilichokiona kuna kutu kdg kwenye kona ya mlango, anyway hii lzm maana naishi karibu na bahari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu friji yangu nikiwasha inazima Tena inipiga short mpaka main switch inajizma hii huwa inakiwaga tatizo nini katika uzoefu wako?Kikubwa ni compressor tu kama ni nzima kwa maana ya kufanya kazi basi maana ivyo vingine ni vya kawaida kigharama na gharama zake ziaakisi maisha halisi ya mtanzania
Mkuu friji yangu nikiwasha inazima Tena inipiga short mpaka main switch inajizma hii huwa inakiwaga tatizo nini katika uzoefu wako?Relay kwa sasa inarange kuanzia 10000 na kuendelea ikitegemea aina ya relay au aina ya compressor inapoenda kuwekwa relay mfano danfalse ni bei kubwa kidogo ralay ni kitu ambacho kinatoa ulinzi kwa compressor na pia ndo kinawasha compressor ivyo ikiharibika manake compressor haitowaka na ikiwa mbovu inweza pelekea pia compressor kuharibika
Mkuu friji yangu nikiwasha inazima Tena inipiga short mpaka main switch inajizma hii huwa inakiwaga tatizo nini katika uzoefu wako?; na hakuna short yoyote nje kweny wayaMkuu trst me kwenye friji kinachomatter ni compressor haya mambo ya brand sijui samsung sijui boss sijui sharp hayana maana zaidi ya ufahari tu kwa washkaji na majirani wanaokuzunguka na kuja geto kwako lakini kinachomatter kwenye friji lolote lile ata iwe brand gani ni uhai wa compressor ni uzima wa compressor ni ukamilifu wa compressor
Je utaujuaje utimamu wa compressor ya friji unalotaka kulinunua fata au fanya huo mchakato nilio usema apo juu kwenye comment yangu ya mwanzo natumai nimeeleweka compressor ndo kila kitu kwenye friji izo brand ni ufahari kwa majirani zako na ndugu zako isu compressor iwe timamu