RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Mkuu hujui maana ya FROST FREE....Ni hivi linagandisha CHAKULA TU kuta za freezer hazigandi. Ukiweka nyama kwenye freezer unakuta nyama tu imeganda, ukifungua friji unaitoa kirahisi badala ya mafriji ya kizamani ambapo unaanza kupambana na mabarafu.Mabarafu yanaganda sana kutokana na temperature ndogo. Kwa hiyo unaongeza temperature na hili tatizo linapungua. Temp zinarange kutoka 0-5 degrees below 0. Kwa hiyo kutegemea na hali ya hewa unapunguza na kuongeza.
Hata section ya friji unakuts maji,juice za baridi bila kutengeneza maji kwa condensation. Kama unanunua juice za pakti kwa maduka ya mitaani utaona kule chini box limeloa kama limeoza ndio matokeo ya mafriji ya zamani lakini frost free pakti ya juice huwrzi kukuta chini imeharibiwa na maji.
Friji nzuri ni FROST FREE sehemu nyingine awanunui au kuuza friji ambayo sio FROST FREE