Jifunze kuwa lugha zenye staha Mkuu na kuwa na heshima kwa watu usiowajua humu ndani.Namshangaa huyo muuza mafriji hajui umuhimu wa nilichosema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jifunze kuwa lugha zenye staha Mkuu na kuwa na heshima kwa watu usiowajua humu ndani.Namshangaa huyo muuza mafriji hajui umuhimu wa nilichosema.
Sasa baada ya dakika ngap iwe kipimo cha kutoa ubaridi..mana umesema liwake kwa dak 10..kisha lizimwe..then baada ya dakika 5 mbele liwashwe kuona kama litatoa barid..sasa litoe bard kwa dakik zipi kama kipimo?Iwe inatoa baridi kwa maana ya coolling ili uijue kama iko vizuri zaidi mwambie muuzaji akuwashie griji kisha subiri dkk kumi lizime kisha baada ya dkk tano liwashe na usubiri kuangalia kama litaweka baridi ndani lisipofanya ivyo huo utakuwa ni mkeka achana nao utakuchanikia ndani
Almost likisha kolea baridi kabisa lipe lisaa linatosha kabisa kukupa guarantee ya iyo compressor kwa kupitia iyo proses linatakiwa litoe baridi ya nguvu kabisa yani kama ni frost basi ligangandishe kabisa ndani uhakikishe mabarafu yamejaa na kama nofrost basi hakikisha kwa ndani ukiweka mkono wako huwezi kuuvumilia ubaridi kwa muda wa dakika tano ama ukiweka maji yapate baridi ndani ya nusu saaSasa baada ya dakika ngap iwe kipimo cha kutoa ubaridi..mana umesema liwake kwa dak 10..kisha lizimwe..then baada ya dakika 5 mbele liwashwe kuona kama litatoa barid..sasa litoe bard kwa dakik zipi kama kipimo?
Wewe vipi? Lugha gani isio na staha nimetumia hapo? Kuuza friji sio kazi? Mbona wauza mafriji wengi tu wako vizuri. Acha mawazo hasi.Jifunze kuwa lugha zenye staha Mkuu na kuwa na heshima kwa watu usiowajua humu ndani.
Thanks kiongoz hapo nmekupataAlmost likisha kolea baridi kabisa lipe lisaa linatosha kabisa kukupa guarantee ya iyo compressor kwa kupitia iyo proses linatakiwa litoe baridi ya nguvu kabisa yani kama ni frost basi ligangandishe kabisa ndani uhakikishe mabarafu yamejaa na kama nofrost basi hakikisha kwa ndani ukiweka mkono wako huwezi kuuvumilia ubaridi kwa muda wa dakika tano ama ukiweka maji yapate baridi ndani ya nusu saa
Kuna vipimo vya kitaalamu ili kuijua compressor mbovu lkn sasa ivyo ni lazima uwe na ams meter mfano kuna rate tunazoziconsider kwa no fulan za pressure lkn in general sisi wataalam tunatumia njia iyo kuipima compressor lkn ukitaka iyo ya kitaalamu basi mchukue fundi uende nae
Alafu dogo una dharau za kipuuzi sana asee aya bhana prondo hongera
Sawa muuza mafriji wa zamani(kama mimi). Hivi sasa hivi kuna friji ambayo sio frost free?Mkuu sijajua unaongelea quality gani mimi si muuza mafriji tafadhali sana nafanya kazi nyingine lkn nina uzoefu na iyo kazi pia nishawahi kuifanya na naijua vizuri sana nje ndani ivyo.
Unapoongelea frost na no frost fridge iyo ni mifumo imetengenezwa kutokana na matakwa ya watu kwamba kuna watu wanapenda mafridge ya kugandisha mabarufu kwa ndani (frost fridge) na ndo wanaona kuwa linafanya kazi pia kuna wanaopenda (nofrost fridge) lisilo gandisha mabarafu kwa ndani ila vitu vikiwekwa vinaganda.
Ivyo iyo ni mifumo tu kama manual na automatic lkni cha msingi ni engine ambayo ni compressor
[emoji818][emoji818][emoji818]Hakikisha ni Frost Free...haligandi mabarafu kwenye kuta, kutoa chakula mpaka upasue barafu
Hilo jamaa kama janamke huwa hivyo usishangae hayo mashauzi yakeJifunze kuwa lugha zenye staha Mkuu na kuwa na heshima kwa watu usiowajua humu ndani.
Mkuu prondo umeshinda tusamehe mkuu..Wewe vipi? Lugha gani isio na staha nimetumia hapo? Kuuza friji sio kazi? Mbona wauza mafriji wengi tu wako vizuri. Acha mawazo hasi.
Uko vizuri kaka ili nililisahau mzee hongera kwa kunikumbusha mzeeKinachoharibika kwenye "Compressor" ni "Relay" dumu la compressor kama halijatoboka linaweza kukaa hata miaka mia moja 100yrs,kwahiyo hamna kuzeeka kwenye compressor.Relay ni kitu kiko juu ya compressor ambacho unaweza kukitoa na kukibadilisha,ubora wa Relay inatokanana nchi gani imetengenezwa..
Comressor bora kuliko zote ni Danfos..
Usihofu, hamkunielewa. Sasa tumeelewana.Mkuu prondo umeshinda tusamehe mkuu..
Nilinunua friji nikiwa chuo asee ni balaa,hata machungwa ukiweka kule chini ukija kesho yamekua jiwe,nikaliuzia mbali dadeki.Hakikisha ni Frost Free...haligandi mabarafu kwenye kuta, kutoa chakula mpaka upasue barafu
Uko vizuri kaka ili nililisahau mzee hongera kwa kunikumbusha mzeeKinachoharibika kwenye "Compressor" ni "Relay" dumu la compressor kama halijatoboka linaweza kukaa hata miaka mia moja 100yrs,kwahiyo hamna kuzeeka kwenye compressor.Relay ni kitu kiko juu ya compressor ambacho unaweza kukitoa na kukibadilisha,ubora wa Relay inatokanana nchi gani imetengenezwa..
Comressor bora kuliko zote ni Danfos..
Vema nini sasa kinamata?Apana iyo haijalishi mkuu frost na defrost izo mifumo tu ya utengenezaj ni sawa na manual an auto ivyo iyo haimat kabisa
Aaah asee duuh umetisha sana yani lilivyofanya kazi vizuri wewe ukaona uliuze si mbaya pia maana ulirudisha pesa zakoNilinunua friji nikiwa chuo asee ni balaa,hata machungwa ukiweka kule chini ukija kesho yamekua jiwe,nikaliuzia mbali dadeki.