bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Ile ilikua friza asee,na mimi nilitaka frijiAaah asee duuh umetisha sana yani lilivyofanya kazi vizuri wewe ukaona uliuze si mbaya pia maana ulirudisha pesa zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile ilikua friza asee,na mimi nilitaka frijiAaah asee duuh umetisha sana yani lilivyofanya kazi vizuri wewe ukaona uliuze si mbaya pia maana ulirudisha pesa zako
Aaah asee duuh umetisha sana yani lilivyofanya kazi vizuri wewe ukaona uliuze si mbaya pia maana ulirudisha pesa zakoNilinunua friji nikiwa chuo asee ni balaa,hata machungwa ukiweka kule chini ukija kesho yamekua jiwe,nikaliuzia mbali dadeki.
Wewe unauliza nini mkuu pitia comment utaelewa yametolewa maelezo yakutosha umu so pitia commentVema nini sasa kinamata?
Ukipinga kitu toa alternative wewe uliyepinga ili ku support hoja yako....Wewe unauliza nini mkuu pitia comment utaelewa yametolewa maelezo yakutosha umu so pitia comment
MKUU unajua hizo friji za NOFROST zinavyotengenezwa EVAPORATOR yake inavyofanya kazi kuleta baridi au unaongea tu kama wale watu wa magomeni na agray ili wauze oldschool zaoApana iyo haijalishi mkuu frost na defrost izo mifumo tu ya utengenezaj ni sawa na manual an auto ivyo iyo haimat kabisa
Friji gani ni nzuri, inayogandisha bila kuweka barafu na ina dumu muda mrefu?Alafu dogo una dharau za kipuuzi sana asee aya bhana prondo hongera
kwanza COMPRESA ina Guarantee ya maisha jua hicho kwanza umeme wetu usokuwana msawazo ndo unaua compresa cfuata ushauri wa ankai, cha kuongezea tu
raisi aghali: kuna vitu vya kununua kama 'used' sio friji! hujui iyo 'kompresa' ina 'age' gani, imezeeka kiasi gani, iandalie units 3 za umeme kwa siku kama ni friji izi za 50Watts
Tafuta samsung yenye kisha kagua compressor kama itakuwa imetengeneza na kampuni inaitwa danfalseilo ndo friji bora zaidi na lenye uwdzo wa kugandisha kwa haraka sana kwa upande wa nofrost fiji brand samsung compressor brand danfalseFriji gani ni nzuri, inayogandisha bila kuweka barafu na ina dumu muda mrefu?
Na pia inagandisha kitu kinakuwa km jiwe.

Mkuu ukipata umeipata na ukikosa umeikosa.Ndio maana sipendi vitu used
Mi napenda kununua kitu kipyaaaMkuu ukipata umeipata na ukikosa umeikosa.
Well said mkuu used ni bora zaidi kuliko mpya hasa huu upande wa mafriji used ni best kikubwa ujue kulikagua friji lako kabla hujalinunua na uviprove vitu vilivyojadiliwa umu ndaniMkuu ukipata umeipata na ukikosa umeikosa.
Mkuu ulikuwa unajaribu kumaanisha nini kwa kuniuliza ili swali daah wee jamaa umenishangazaMKUU unajua hizo friji za NOFROST zinavyotengenezwa EVAPORATOR yake inavyofanya kazi kuleta baridi au unaongea tu kama wale watu wa magomeni na agray ili wauze oldschool zao
NO FROST au FROST free ndo friji bora ndo mana mzungu kaachana teknojia ya kizamani
mkuu ukienda kununua waambie unataka NO FROST wakikwambia hizo ni kwa nchi za baridi waambie ndio unaenda nayo Njombe
kwanza COMPRESA ina Guarantee ya maisha jua hicho kwanza umeme wetu usokuwana msawazo ndo unaua compresa c
katika friji elf 1000 tunazonunua USED 10 tu ndo zinakufa upande wa MECHANICAL katika compresa nyingi tunaziua upande wa ELECTRICAL
then fliji ya 50watts inahitaji masaa 20 ya kuwaka mfululuzo bila kuzimwa ndo inaondoka unit 1 hapo themostart ukiwa umeiweka full speed
Nilinunua fridge mwanzo ikawa inakula umeme sana hata unit 5 kwa masaa 24.Nikaona hili jini nikatamani niiuze.Nikaona isiwe tatizo ngoja nimpigie mmakunduchi aliyeniuzia.Kumbe nilikua nakosea tokana na ulaji wa umeme usiku nalizima naliwasha asubuh nikujua na save umeme kumbe ndo naharibu.saiv nimeliwasha non stop atleast linakula unit mbili sio mbaya.kwanza COMPRESA ina Guarantee ya maisha jua hicho kwanza umeme wetu usokuwana msawazo ndo unaua compresa c
katika friji elf 1000 tunazonunua USED 10 tu ndo zinakufa upande wa MECHANICAL katika compresa nyingi tunaziua upande wa ELECTRICAL
then fliji ya 50watts inahitaji masaa 20 ya kuwaka mfululuzo bila kuzimwa ndo inaondoka unit 1 hapo themostart ukiwa umeiweka full speed
Mabarafu yanaganda sana kutokana na temperature ndogo. Kwa hiyo unaongeza temperature na hili tatizo linapungua. Temp zinarange kutoka 0-5 degrees below 0. Kwa hiyo kutegemea na hali ya hewa unapunguza na kuongeza.Hakikisha ni Frost Free...haligandi mabarafu kwenye kuta, kutoa chakula mpaka upasue barafu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Frost free uswahilini wapi na wapi mkuu sisi huku likitengeneza mabarafu ndio linafanya kazi sana,hiyo tabia ya kugonga freezer kupata barafu ni kawaida sana na kama zile line za gas zikitoboka tunafanya winding na zile copper tubes ! [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Afadhali mnisaidie kumuelewesha huyu mtu. Eti haoni umuhimu wa Frost Free Fridge Freezer.....MKUU unajua hizo friji za NOFROST zinavyotengenezwa EVAPORATOR yake inavyofanya kazi kuleta baridi au unaongea tu kama wale watu wa magomeni na agray ili wauze oldschool zao