fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
Ukizikwa na figo na maini mazima yana msaada ganiunywaji wa pombe sio mzuri nendeni muhimbili kitengo cha figo na moyo muone vijana wenye nguvu wanayoaga dunia kisa ulevi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukizikwa na figo na maini mazima yana msaada ganiunywaji wa pombe sio mzuri nendeni muhimbili kitengo cha figo na moyo muone vijana wenye nguvu wanayoaga dunia kisa ulevi
Acha tu ndugu yangu wanaosema usiache bia au glas ya pombe mezani ukienda msalani wako sahihiKudadeki, Malaya wengi wezi, hasa unaowakuta bar wamekaa hawana mishe
Ila mama J tumke hapaswi kua mnywa pombe
Ni kweli, narudi kwetu hakuna mambo ya kulima Wala kulewa pombe na wajasiriamwili.Uvivu wa kulima tu 😂
Umepatwa shida gani hiyo?Umemjibu vizuri sana mkuu.
Mimi sinywi pombe na waka siyo mtu wa starehe,
lakini nimepata tatizo la kiafya ambalo siyo la kuambukizwa na wala halina tiba.
Kwahiyo kama uwezo wa kufanya starehe unao, kula bata tu, maisha yenyewe mafupi haya.
Ni kweli, narudi kwetu hakuna mambo ya kulima Wala kulewa pombe na wajasiriamwili.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Malaya Ni mwanamke anaefanya biashara ya ngono. Biashara ya Ngono ndio biashara kongwe kuliko zote duniani. Kwaiyo hili sio suala la kubeza
[emoji16][emoji16][emoji16]Hamna raha Kama kumtoumber Malaya mwenye pombe kichwani, zinawafanya wanajua natural zaidi