binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
LALA!Ama nene?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LALA!Ama nene?
Mkuu mbona kawaida, mfano mi sija wahi kunywa bia Wala kuvuta sigaraUliwezaje
Pombe niliamua tu. Malaya si style yangu.Uliwezaje
Duniani hakuna uzuri au ubaya, bali tafsiri.Maisha yangekuwa mazuri sana kama kusinge kuwa na ngono!
Hii kitu imeharibu sana mantiki ya maisha,ni vile hamna njia nyingine ya uzazi ila nakchukia sana toka ndani ya moyo wangu.
Imagine mwanamke ambae ni dada mama bibi shangazi anaitwa malaya na anaonekana ni zaidi ya mtu mbaya kuliko hata ubaya wenyewe kisa ngono!
Sidhani, kwakua kuna pande mbili kwa kila kitu, mf kushoto+kulia , juu-chini, kike - kiume, kifo - uhai nk ndivyo oia uzuri na ubaya .Duniani hakuna uzuri au ubaya, bali tafsiri.
Sure?You are a true son of your father, a philosopher indeed!
Zote ni tafsiri mkuu, kwako paweza kuwa kushoto kwangu pakawa kulia,.....Sidhani, kwakua kuna pande mbili kwa kila kitu, mf kushoto+kulia , juu-chini, kike - kiume, kifo - uhai nk ndivyo oia uzuri na ubaya .
Kwa hio si jina la matukano?Malaya Ni mwanamke anaefanya biashara ya ngono. Biashara ya Ngono ndio biashara kongwe kuliko zote duniani. Kwaiyo hili sio suala la kubeza
Naam, ila haitaondoa ukweli ya kwamba upo upende wa kushoto na kulia isipo kuwa umesimama wapi.Zote ni tafsiri mkuu, kwako paweza kuwa kushoto kwangu pakawa kulia,.....
Ukiwa na malaya bar usiruhusu malaya kuazima simu yako anaenda kuongelea kule mbali; anaweza kukulengesha kwa magenge ya uhalifu.Endapo Umeamua kwenda kulewa pombe pamoja na Malaya uliemchagua , jitahidi Sana:-
1. Usiende kulewa na Malaya maeneo ambayo Ni jirani na kwako au sehemu unakofahamika Sana.
2. Hakikisha umekula umeshiba na unywe maziwa fresh ya kutosha kabla ujaenda kulewa na malaya. Inasaidia kupunguza Kasi ya ulevi, pia Hata akikuchanganyia dawa, zitachukua MDA Sana kufanya Kazi mwilini mwako
3. Ukijihisi pombe zinakuelemea Sana na uko na Malaya mezani mnalewa, jitahidi unywe maji mengi katikati ya ulevi, ukishakojoa inasaidia Sana kupunguza Kasi ya ulevi.
4. Usiende peke yako kulewa na Malaya kwenye kiwanja ambacho Malaya ndo amekichagua yeye mwenyewe.
5. Kua makini sana, unapoona Malaya wako anamchangamkia Sana mhudumu wenu anaewahudumia hapo mlipoamua kunywea pombe.
6. Kamwe usitumie glass ya bar kunywea pombe, tumia njia ya kunywea pombe kwenye chupa direct (kupiga tarumbeta).
7. Usiache chupa yenye pombe nusu, unapoamua kwenda msalani au nje kupokea simu. Nenda nayo au Malizia chupa Yako, ukirudi unafungua chupa mpya.
8. Usitafute sifa bar Kwa Malaya ulieamua kulewa nae , epuka kujiingiza gharama kubwa sana kumfurahisha Malaya mezani kabla ujapewa huduma stahiki.
9. Kua makini na invoice bills zinzoletwa mezani kwako. Malaya wengi ufanya deal na wahudumu kuongeza Bei ya Kila kinywaji kitachoagizwa pale mezani kwako. Bia ya elfu 2 utauziwa elfu 5, buku 3 Kwa Kila bia mliyokunywa wote, Malaya ataipitia kesho asbh hapo bar.
10. Jiepushe kulewa na Malaya wanaoshinda pale pale bar, hawana mishe zozote, au wanaotembea Kwa MAKUNDI, Hawa Mara nyingi Ni wezi.
11. Kua makini na Malaya anaekwenda msalani Mara Kwa Mara akiwa na simu yake. Hawa Mara nyingi Huwa na mipango ya uovu.
12. Malaya anapotoka kwenda msalani, jitahd upekue kijanja kilicho ndani ya mkoba wake aliouacha mezani. Malaya wengi Vibaka ubeba silaha, Kama kuna silaha au kitu kisicho cha kawaida, itakusaidia kujipanga kisaikolojia.
13. Jitahidi kutokuongea Sana mambo yako binafsi unapoamua kulewa na Malaya. Jitahidi uwe msikilizaji zaidi, malaya wengi Ni waongeaji Sana,hasa wakishalewa. Itakusaidia kumjua zaidi kiundani.
14. Kamwe Usitumie stick ya kuchokonolea meno uliyopewa na malaya ulieamua kulewa nae.
15. Jiepushe kunywa kichwani chochote ulicholetewa na Malaya mwenyewe kutokea kaunta Moja.
Karibuni Sana,
Wadau Wengine mnaweza kuongezea nondo muhimu.
Mada ijayo itakua:
"Namna ya kumchangua Malaya anaemwaga maji (squirt)"🙏
Ukiwa bar unakunywa na malaya na rafiki zake, warekodi halafu uifiche simu hapo mezani ujifanye unaenda chooni kwa muda kama wa dakika 10 hivi halafu urudi uje kusikiliza walivyokuwa wanakuteta na kukuita buzi.Endapo Umeamua kwenda kulewa pombe pamoja na Malaya uliemchagua , jitahidi Sana:-
1. Usiende kulewa na Malaya maeneo ambayo Ni jirani na kwako au sehemu unakofahamika Sana.
2. Hakikisha umekula umeshiba na unywe maziwa fresh ya kutosha kabla ujaenda kulewa na malaya. Inasaidia kupunguza Kasi ya ulevi, pia Hata akikuchanganyia dawa, zitachukua MDA Sana kufanya Kazi mwilini mwako
3. Ukijihisi pombe zinakuelemea Sana na uko na Malaya mezani mnalewa, jitahidi unywe maji mengi katikati ya ulevi, ukishakojoa inasaidia Sana kupunguza Kasi ya ulevi.
4. Usiende peke yako kulewa na Malaya kwenye kiwanja ambacho Malaya ndo amekichagua yeye mwenyewe.
5. Kua makini sana, unapoona Malaya wako anamchangamkia Sana mhudumu wenu anaewahudumia hapo mlipoamua kunywea pombe.
6. Kamwe usitumie glass ya bar kunywea pombe, tumia njia ya kunywea pombe kwenye chupa direct (kupiga tarumbeta).
7. Usiache chupa yenye pombe nusu, unapoamua kwenda msalani au nje kupokea simu. Nenda nayo au Malizia chupa Yako, ukirudi unafungua chupa mpya.
8. Usitafute sifa bar Kwa Malaya ulieamua kulewa nae , epuka kujiingiza gharama kubwa sana kumfurahisha Malaya mezani kabla ujapewa huduma stahiki.
9. Kua makini na invoice bills zinzoletwa mezani kwako. Malaya wengi ufanya deal na wahudumu kuongeza Bei ya Kila kinywaji kitachoagizwa pale mezani kwako. Bia ya elfu 2 utauziwa elfu 5, buku 3 Kwa Kila bia mliyokunywa wote, Malaya ataipitia kesho asbh hapo bar.
10. Jiepushe kulewa na Malaya wanaoshinda pale pale bar, hawana mishe zozote, au wanaotembea Kwa MAKUNDI, Hawa Mara nyingi Ni wezi.
11. Kua makini na Malaya anaekwenda msalani Mara Kwa Mara akiwa na simu yake. Hawa Mara nyingi Huwa na mipango ya uovu.
12. Malaya anapotoka kwenda msalani, jitahd upekue kijanja kilicho ndani ya mkoba wake aliouacha mezani. Malaya wengi Vibaka ubeba silaha, Kama kuna silaha au kitu kisicho cha kawaida, itakusaidia kujipanga kisaikolojia.
13. Jitahidi kutokuongea Sana mambo yako binafsi unapoamua kulewa na Malaya. Jitahidi uwe msikilizaji zaidi, malaya wengi Ni waongeaji Sana,hasa wakishalewa. Itakusaidia kumjua zaidi kiundani.
14. Kamwe Usitumie stick ya kuchokonolea meno uliyopewa na malaya ulieamua kulewa nae.
15. Jiepushe kunywa kichwani chochote ulicholetewa na Malaya mwenyewe kutokea kaunta Moja.
Karibuni Sana,
Wadau Wengine mnaweza kuongezea nondo muhimu.
Mada ijayo itakua:
"Namna ya kumchangua Malaya anaemwaga maji (squirt)"🙏
yeah!Sure?
Na hii mvua kweli watu wasinywe pombe na wajasiriamali? Hitilafu itokee tu.LALA!
Uvivu wa kulima tu 😂Na hii mvua kweli watu wasinywe pombe na wajasiriamali? Hitilafu itokee tu.