Mambo ya kuzingatia unapokunywa pombe na Malaya mwaka 2025

Huwezi amini sijawahi kuopoa mrupo ! Na siwazi kama itatokea ninunue manzià 🤣 maana kwa kweli access ya kupata utelezi ni rahisi sana kwangu kwa sababu nimeoa ni logic tu mtu unatumia sasa mtu kashweka wazi ni biashara yaan tena mimi ndo nihangaike kumshawishi aniuzie 🤣
Do inaonekana mzoefu kamanda
Riziki
 
Huwezi amini sijawahi kuopoa mrupo ! Na siwazi kama itatokea ninunue manzià 🤣 maana kwa kweli access ya kupata utelezi ni rahisi sana kwangu kwa sababu nimeoa ni logic tu mtu unatumia sasa mtu kashweka wazi ni biashara yaan tena mimi ndo nihangaike kumshawishi aniuzie 🤣
Waliooa ndo wateja wakubwa Sana WA Malaya wanaojiuza, mi mwnyw mmojawapo
 
nachpenda ni kwamba kwa Tanzania ile generation cha pombe ndo inaelekea uzeen kizazi cha walevi ni millennials wa 1989 rudi nyuma

vijana wa 1990+ wengi wapo smart no pombe no ulevi
Nenda Juliana, K/Cheupe, Kidimbwi, Tips, Samaki, Kuku, Bambalaga, Rainbow, Kokoriko, Mbeya Pazuri, Oxygen nk walevi waliopo humo na wanaoshinda huko ni vijana tena GenZ majority. Hakuna watu walevi kama hawa vijana wa siku hizi, wakitoboa 50 wababe na wanakunywa midude migumu sijui jaga nini sijui nk. Milennials wengi wanawaiga baba zao wanakunywa kwa afya tuSafari tutatu kwa wiki wanaenda kulala, hawa madogo wanachangia pakubwa sana pato kupitia ulevi
 
Vijana wanabwia mataputapu na visungura
 
Kwanini usinywe na washkaji kuepuka haya yote?

Ndio maana mimi huwa nasema watu wengi bar ni malaya na si walevi. Malaya wa kiume na kike.

Walevi hawahitaji kuzungukwa na wanawake ili kuenjoy pombe. Kama ilivyo kwa baadhi ya wanawake kwenda bar sio lazima wanaaume wawe around (kwenye hili kundi ndio wanapatikana walevi wa kweli na wapenda muziki )
Ama nene?
 
Back
Top Bottom