Jambo ni moja , aseme bei mkazagamuane ! Kama anatoza kwa idadi ya mabao sawa ! Kama anatoza kwa muda mfano one night stand aseme price yake !!
Hii naona ya kuanza kunywa pamoja , sijui mcheze mziki naona ni upotevu wa muda halafu ni kumfurahisha yeye ! Yaan ni kama niende mgahawani kula nikifika tu nianze kufuta meza nitakayolia chakula , kama kuna vyombo alibakisha mteja nivitoe ! Nimsaidie mama ntilie kuweka maji ya kunywa kwenye jagi , kama sabuni ya kunawia imeisha nimsaidie kufata 🤣🤣
Nadhani maana ya biashara ieleweke tusitie huruma yeye kaona uvivu kulima au kutengeneza juice kama wengine kaingia biashara hiyo ! We kula sema unayotaka kufanyiwa uenjoy lipa hela za watu tembea ! Kama utataka kumpa tip ni wewe !!