Mambo ya kuzingatia unaponunua tairi za gari

Modern cars zina i-system ambayo ina engage gear kulingana na unavyopress accelerator,ukitaka zichelewe kuingia,ziwahi,wewe tu unavyokanyaga...kick-back effect.....tuachane na magia turudi kwenye mada matairi....i prefer low profile 18" rear na 17" front....

Mkuu TCleverly,
Tutaachaje magia wakati hatujawekana sawa! Throttle position (Pressing of accelerator)siyo moja tu ya njia ya determination of gear engagement in Automatic transaction. Wheel speed na magnitude ya vacuum kwenye intake manifold ni baadhi tu ya vitu ambayo pia vinachangia kwenye gear shift in automatic gearbox. Ukisema tu kwamba throttle position ndiyo ina-send signal ya ku-change gia utakuwa unakosea kwa sababu assume gari inapanda Mlima Kitonga alafu dereva amekanyaga accelerator pedal mpaka mwisho je unataka kusema gari itabadili gia hadi gia namba nne au sitta (kama inayo) wakati pale huwezi hata kupanda na spidi 70?

Ukweli ni kwamba gari haitaengage into higher gear wakati speed yenyewe ya gari hajaijawa resonable ku-support hiyo gia. So there are other issues apart from pressing accelerator cable vinavyoamua gear shifting kama nilivyoeleza hapo juu.

CC: Ritz, Matola na wengine
 
Last edited by a moderator:
mkuu gari yangu inafika 3 rph ikiwa na spidi 50-60 je ni tatizo maana nasikia si sawa ikiwa hv ,ni nini tatizo lake ni gx 100

Kuna mambo kadhaa ya kuangalia baadhi ni
1. Size ya matairi. Matairi madogo husababisha injini kuzunguka zaidi.
2. Uendeshaji. Ukikanyaga sana xrator hupelekea rpm kuwa juu na ulaji mkubwa wa mafuta.
3. Air cleaner iliyochakaa
4. Umri wa gari nk
 
Attachments

  • tire_size_speed_error.jpeg
    tire_size_speed_error.jpeg
    32.2 KB · Views: 1,159
Mkuu mbona hujasema kuhusu umri wa tairi na umuhimu wake? Na tunaangalia wapi?
 
Mkuu TCleverly,
Tutaachaje magia wakati hatujawekana sawa! Throttle position (Pressing of accelerator)siyo moja tu ya njia ya determination of gear engagement in Automatic transaction. Wheel speed na magnitude ya vacuum kwenye intake manifold ni baadhi tu ya vitu ambayo pia vinachangia kwenye gear shift in automatic gearbox. Ukisema tu kwamba throttle position ndiyo ina-send signal ya ku-change gia utakuwa unakosea kwa sababu assume gari inapanda Mlima Kitonga alafu dereva amekanyaga accelerator cable mpaka mwisho je unataka kusema gari itabadili gia hadi gia namba nne au sitta (kama inayo) wakati pale huwezi hata kupanda na spidi 70?

Ukweli ni kwamba gari haitaengage into higher gear wakati speed yenyewe ya gari hajaijawa resonable ku-support hiyo gia. So there are other issues apart from pressing accelerator cable vinavyoamua gear shifting kama nilivyoeleza hapo juu.

CC: Ritz, Matola na wengine

hayo uyasemayo yote i-system ya gearbox inaregulate....wewe kanyaga tu sensor zinaamua,hakuna overdrive or whatever....BTW nani kakwambia kila gari ina ACCELERATOR CABLE??
 
Mkuu mbona hujasema kuhusu umri wa tairi na umuhimu wake? Na tunaangalia wapi?

Hapa topic ilikuwa ni vipimo.
Kuna mambo mengi kuhusu tairi ikiwamo vipimo, umri, uwezo wa mzigo, uwezo kuhimili spidi, psi, nk
Kuhusu Exp date huwa inakuwa stamped kwa tarakimu nne.
Tarakimu 2 za mwanzo ni week of manufacture na tarakimu 2 nyingine ni year of manufacture.
Tairi ina expire baada ya miaka 4.
Mfano hapo chini tairi imetengenezwa wiki ya 7 ya mwaka 2007.
 
Attachments

  • 1753519_f260.jpeg
    1753519_f260.jpeg
    5.1 KB · Views: 501
  • how_to_read_a_tire.jpeg
    how_to_read_a_tire.jpeg
    55.5 KB · Views: 574
Hayo uyasemayo yote i-system ya gearbox inaregulate. Wewe kanyaga tu sensor zinaamua,hakuna overdrive or whatever. BTW nani kakwambia kila gari ina ACCELERATOR CABLE??

Bro sijui kama unatambua na kuelewa hata kile wewe mwenyewe unachokiandika. Unasema "nani kakwambia kila gari ina accelerator cable?" Kuwa na accelerator cable is just a mechanical means of sending a signal to the throttle body on what extent you want throttle plate to open. So kwa technolojia ya sasa unaweza ukawa na electronic accelerator pedal kwa kuweka variable resistance element kwenye accelerator pedal as an alternative to accelerator cable. Lakini kutokuwepo kwa accelerator cable haina maana throttle position sensor ni irrelevant in determination of gear shifting in automatic gearbox. Throttle position sensor itaendelea kuwepo even if you are using electronic accelerator pedal au mechanical accelerator pedal.

Aidha, Manifold Absolute Pressure (MAP) sensor nayo itaendelea kuwepo na Wheel Sensors zitaendelea kuwepo. Sensor zote hizi kwa pamoja ndizo zinaamua gari iingiea gia ipi na kwa wakati gani.

By the way, Mimi ni specialist wa magari, hiyo i-system unayoitaja ndiyo naiskia toka kwako unless labda kama utakuwa ume misspelling. Nimerejea kwenye vitabu vyangu vya shule labda huenda nimeisahau hiyo system na nimewapiga simu watalaamu wa magari na hadi walimu wangu wa automobile engineering pale NIT hakuna anaeifahamu hiyo unayoiita i-system. Nimejaribu hata ku-google but no such system in automobile technology so far.

Nakukumbusha tena, siyo kila gari ina Overdrive button. Na niliyoyaeleza hapo awali ndiyo matumizi sahihi ya hiyo button kwenye magari yenye nayo. So usiseme tu hakuna cha overdrive or whatever kwa sababu tu mtengenezaji wa gari lako hakuweka hiyo option kwenye gari lako.
 
Utakuwa mzito tu !
Anamaanisha P ni kwa matumizi ya abiria au binafsi.
Kwani kuna tairi inayotumika kwenye matumizi mengine ukiacha abiria na binafsi??

Namaanisha isipoandikwa P, itakua imeandikwa nini instead??
 
Itakuwa C maanake Commercial. Aahahahahah na mimi nimeotea hapa walau nichangie. Ila jibu la kweli bro!
 
Asante kwa kutujuza na ushauri,
Ubarikiwe sana.
Kama una kaujuzi ka magari naomba unipe matumizi sahihi ya gears kwenye magari ya automatic gear box, wengi tumezoea ku engage kwenye D ikiwa na maana ya Drive basi, lakini ziko nyingine hazitumiki kabisa.
hii topic imo humu Jf, hebu search hapo juu utakutana nayo na utajifunza mengi
 
Bro sijui kama unatambua na kuelewa hata kile wewe mwenyewe unachokiandika. Unasema "nani kakwambia kila gari ina accelerator cable?" Kuwa na accelerator cable is just a mechanical means of sending a signal to the throttle body on what extent you want throttle plate to open. So kwa technolojia ya sasa unaweza ukawa na electronic accelerator pedal kwa kuweka variable resistance element kwenye accelerator pedal as an alternative to accelerator cable. Lakini kutokuwepo kwa accelerator cable haina maana throttle position sensor ni irrelevant in determination of gear shifting in automatic gearbox. Throttle position sensor itaendelea kuwepo even if you are using electronic accelerator pedal au mechanical accelerator pedal.

Aidha, Manifold Absolute Pressure (MAP) sensor nayo itaendelea kuwepo na Wheel Sensors zitaendelea kuwepo. Sensor zote hizi kwa pamoja ndizo zinaamua gari iingiea gia ipi na kwa wakati gani.

By the way, Mimi ni specialist wa magari, hiyo i-system unayoitaja ndiyo naiskia toka kwako unless labda kama utakuwa ume misspelling. Nimerejea kwenye vitabu vyangu vya shule labda huenda nimeisahau hiyo system na nimewapiga simu watalaamu wa magari na hadi walimu wangu wa automobile engineering pale NIT hakuna anaeifahamu hiyo unayoiita i-system. Nimejaribu hata ku-google but no such system in automobile technology so far.

Nakukumbusha tena, siyo kila gari ina Overdrive button. Na niliyoyaeleza hapo awali ndiyo matumizi sahihi ya hiyo button kwenye magari yenye nayo. So usiseme tu hakuna cha overdrive or whatever kwa sababu tu mtengenezaji wa gari lako hakuweka hiyo option kwenye gari lako.

i-intelligent...ya kisasa/automated as in vvti.....sio specific system kwa gari....ndio maana nikakwambia unazumguka tu....vyovyote utakavyokanyaga gari yenyewe inaregulate kupitia hizo sensor unazotaja hapo...so kama kuna muinuko/mteremko chochote kila itajirekebisha....gari nyingine hazina OVERDRIVE...na wewe kusema OVERDRIVE ni gear ya juu ya nne ndio nimesikia kwako ndio maana nikakwambia ninajua gari zina gear sita bila overdrive sasa hio yako ya overdrive ndio gear kubwa nilikuwa sijui.....kuhusu accelerator cable wewe ndio uliitaja na mimi nikakwamia sio kila gari ina accelerator cable na its true.....mimi sio mtaalam wa magari ila najua vichache vya juujuu coz napenda sana magari....
 
Bro sijui kama unatambua na kuelewa hata kile wewe mwenyewe unachokiandika. Unasema "nani kakwambia kila gari ina accelerator cable?" Kuwa na accelerator cable is just a mechanical means of sending a signal to the throttle body on what extent you want throttle plate to open. So kwa technolojia ya sasa unaweza ukawa na electronic accelerator pedal kwa kuweka variable resistance element kwenye accelerator pedal as an alternative to accelerator cable. Lakini kutokuwepo kwa accelerator cable haina maana throttle position sensor ni irrelevant in determination of gear shifting in automatic gearbox. Throttle position sensor itaendelea kuwepo even if you are using electronic accelerator pedal au mechanical accelerator pedal.

Aidha, Manifold Absolute Pressure (MAP) sensor nayo itaendelea kuwepo na Wheel Sensors zitaendelea kuwepo. Sensor zote hizi kwa pamoja ndizo zinaamua gari iingiea gia ipi na kwa wakati gani.

By the way, Mimi ni specialist wa magari, hiyo i-system unayoitaja ndiyo naiskia toka kwako unless labda kama utakuwa ume misspelling. Nimerejea kwenye vitabu vyangu vya shule labda huenda nimeisahau hiyo system na nimewapiga simu watalaamu wa magari na hadi walimu wangu wa automobile engineering pale NIT hakuna anaeifahamu hiyo unayoiita i-system. Nimejaribu hata ku-google but no such system in automobile technology so far.

Nakukumbusha tena, siyo kila gari ina Overdrive button. Na niliyoyaeleza hapo awali ndiyo matumizi sahihi ya hiyo button kwenye magari yenye nayo. So usiseme tu hakuna cha overdrive or whatever kwa sababu tu mtengenezaji wa gari lako hakuweka hiyo option kwenye gari lako.
Ubarikiwe mkuu,maelezo yako ni bayana kabisa hata kwangu ambaye sio mtaalam wa magari
lakini nina ujuzi wa mashine/mitambo mbalimbali
Nadhani hapa cha kufahamu ni kwamba mashine ikiwa manual inategemea mtu ndo aanzishe kitendo
na ikiwa automatic vitendo huanzishwa na sensors kutegemea zimesense nini.
Mimi nimejifunza mengi kutokana na ufafanuzi wako,pia nampongeza aliyeanzisha thread hii.asante sana.
 
Kwani kuna tairi inayotumika kwenye matumizi mengine ukiacha abiria na binafsi??

Namaanisha isipoandikwa P, itakua imeandikwa nini instead??

Kuna LT = Light Truck , HT = Heavy Truck, T = Temporary ie tyres za ndege nk
 
Ahsante Mkuu,

Waweza kusahihisha, P= Ply na siyo passenger?

"P" on the sidewall stands for "passenger car."
This refers to the U.S. (P-metric) method of tire sizing.
"LT" stands for Light Truck.
"ST" is for "Special Trailer." And
"T" stands for "Temporary," which is primarily used for small spare tires. If a tire does not have a "P" or another letter in front of the numbers, it is considered a "Euro-metric" tire. A Euro Metric tire conforms to the European tire specifications, and often carries a different load index than a comparably sized P-metric tire.
 
Attachments

  • howto_110_500.jpeg
    howto_110_500.jpeg
    27.3 KB · Views: 361
Kwani kuna tairi inayotumika kwenye matumizi mengine ukiacha abiria na binafsi??

Namaanisha isipoandikwa P, itakua imeandikwa nini instead??

kuna ya mitambo.Ila lazima ni kiri hayo matairi ya binafsi ndio naanza kuyasikia kwako.
 
"P" on the sidewall stands for "passenger car."
This refers to the U.S. (P-metric) method of tire sizing.
"LT" stands for Light Truck.
"ST" is for "Special Trailer." And
"T" stands for "Temporary," which is primarily used for small spare tires. If a tire does not have a "P" or another letter in front of the numbers, it is considered a "Euro-metric" tire. A Euro Metric tire conforms to the European tire specifications, and often carries a different load index than a comparably sized P-metric tire.

Clear and understood !
 
Back
Top Bottom