Chacha Kisiri
Senior Member
- Nov 1, 2008
- 156
- 161
Modern cars zina i-system ambayo ina engage gear kulingana na unavyopress accelerator,ukitaka zichelewe kuingia,ziwahi,wewe tu unavyokanyaga...kick-back effect.....tuachane na magia turudi kwenye mada matairi....i prefer low profile 18" rear na 17" front....
Mkuu TCleverly,
Tutaachaje magia wakati hatujawekana sawa! Throttle position (Pressing of accelerator)siyo moja tu ya njia ya determination of gear engagement in Automatic transaction. Wheel speed na magnitude ya vacuum kwenye intake manifold ni baadhi tu ya vitu ambayo pia vinachangia kwenye gear shift in automatic gearbox. Ukisema tu kwamba throttle position ndiyo ina-send signal ya ku-change gia utakuwa unakosea kwa sababu assume gari inapanda Mlima Kitonga alafu dereva amekanyaga accelerator pedal mpaka mwisho je unataka kusema gari itabadili gia hadi gia namba nne au sitta (kama inayo) wakati pale huwezi hata kupanda na spidi 70?
Ukweli ni kwamba gari haitaengage into higher gear wakati speed yenyewe ya gari hajaijawa resonable ku-support hiyo gia. So there are other issues apart from pressing accelerator cable vinavyoamua gear shifting kama nilivyoeleza hapo juu.
CC: Ritz, Matola na wengine
Last edited by a moderator: