Mambo ya kuzingatia unaponunua tairi za gari

Fafanua usahihi ni upi ?

tires mileage zinatofautiana kutokana na aina na barabara. binafsi natumia kwa wastani wa km kati ya 40000 na 60000. tairi nnazotumia ni Yokohama geolander I/T-S. nadhan mdau alitaka kusema km 70,000 kwani tires kwa zile brand za maana kama bf Goodrich ndo average mileage zake
 
shukrani
 
Je, ni kweli kuwa tairi size kubwa huokoa fuel consumption than size ndogo ?
ie under the same rim size.
 
Nafikiri ukiwa unasukuma tairi kubwa utatumia nguvu nyingi zaidi ya dogo. Nadhani the same apply kwa gari..... Ukifunga marimu makubwa utatumia mafuta mengi zaidi kwa umbali ule ule.....
 
P185/65R15.. Waweza badilisha 185 kwa the same vipimo vingine? Mfano waweza ifanya ikawa P205/65R15.....
 
kuna hatari ya kugusa ndani[wheel arch] ukikata kona kali mfano ukiwa unapiga u-turn kwenye tight space......
 
You can use the 2nd gear while going down a steep downgrade to save your brakes from overheating. I would not use 1st gear downhill unless you must drive very slowly (< 25 mph.)

Going downhill in a low gear lets you use the engine as a brake itself. The engine is throttled back to idle, fuel flow to the engine is cut back, and the car's momentum applies power to the wheels, transmission and crankshaft, letting the pistons work like air pumps to compress air and slow the entire car with occasional use of wheel brakes. It's a good technique to learn how to use.

Imekuwaje tena unachange lugha???? somo zuri sasa unaanza kutibua tena! turudi uswahilini pliz
 
Kwa kawaida inatakiwa tairi liwe na ujazo wa PSI ngapi wakuu kwa mfano tairi saizi 205/70/16
 
Inategemea na ushauri wa mtengenezaji (Manufacturer's recomendations) wa tairi husika pamoja na ushauri wa mtengeneza gari. Sio vizuri kujaza tairi 50 PSI wakati tairi limeandikwa maximum tire pressure ni 45 PSI. Aidha, sio vizuri ukajaza tire pressure 40 PSI wakati manufacturer wa gari anashauri ujaze maximum 38 PSI. So you must strike the two recommendations.

Lakini changamoto tunayopata tunaonunua gari used kutoka Japan ni kwamba Gari nyingi haziji na vehicle user manual so inakuwa ngumu kujua maximum recomended tire pressure as per vehicle manufacturer. Kwa upande wa Maximum tire pressure mara nyingi inaandikwa kwenye tairi.
 
Nafikiri ukiwa unasukuma tairi kubwa utatumia nguvu nyingi zaidi ya dogo. Nadhani the same apply kwa gari..... Ukifunga marimu makubwa utatumia mafuta mengi zaidi kwa umbali ule ule.....
Ni hivi.
Kwa umbali ule ule, tairi ndogo inaweza kusoma km 115 na tairi kubwa ikasoma km 100.
Na speedometer mwenye tairi ndogo inaweza kusoma 140 km/h wakati tairi kubwa ikasoma 120 km/h.
Hivyo basi, ukiunganisha factors za mechanical advantage, distance covered, na rpm mwisho wa siku tairi yenye diameter kubwa ina save fuel kuliko yenye diameter ndogo.
 
sawa kwamba overdrive ni gear ya nne ya juu kabisa....na gari zote zina accelerator cable....sio kila mtu yuko kama wewe kukubali tu kisa mtu anaongea maneno mengi na kusema yeye ni mtaalamu....tuna wataalam wengi na sometimes wanakuwa wrong....

mbona maelezo ya chacha kisiri yapo wazi sana.. Na hamaanishi unayoyasema.. Nadhani ni kati ya walimu wazuri sana
 
Ni hivi.
Kwa umbali ule ule, tairi ndogo inaweza kusoma km 115 na tairi kubwa ikasoma km 100.
Na speedometer mwenye tairi ndogo inaweza kusoma 140 km/h wakati tairi kubwa ikasoma 120 km/h.
Hivyo basi, ukiunganisha factors za mechanical advantage, distance covered, na rpm mwisho wa siku tairi yenye diameter kubwa ina save fuel kuliko yenye diameter ndogo.
Good explanation ie kwa umbali ule ule tairi ndogo itazunguka mara nyingi kuliko tairi kubwa.
 
Inategemea na ushauri wa mtengenezaji (Manufacturer's recomendations) wa tairi husika pamoja na ushauri wa mtengeneza gari. Sio vizuri kujaza tairi 50 PSI wakati tairi limeandikwa maximum tire pressure ni 45 PSI. Aidha, sio vizuri ukajaza tire pressure 40 PSI wakati manufacturer wa gari anashauri ujaze maximum 38 PSI. So you must strike the two recommendations.

Lakini changamoto tunayopata tunaonunua gari used kutoka Japan ni kwamba Gari nyingi haziji na vehicle user manual so inakuwa ngumu kujua maximum recomended tire pressure as per vehicle manufacturer. Kwa upande wa Maximum tire pressure mara nyingi inaandikwa kwenye tairi.

Thanks mkuu !
 
Mkuu ahsante kwa somo

Nna shida moja natka kujua sometime kwenye dashboard inatokea msg CHECK ENGINE naomba kujua ina maanisha nini na nini nifanye?
 
Back
Top Bottom