Mambo ya kuzingatia wakati wa Kula chakula mkiwa jumuiya!

Kesho kaeni stand by nitakuja na mada mambo ya kuzingatia mwanamke unaponyeshewa na mvua ukiwa umevaa kanga kimasiara barabarani.
 
Kuna siku moja nilialikwa kwenye mnuso na tukawa na Issa Michuzi, yule wa Michuzi Blog. Aisee nilicheka kishenzi huku nikishangaa. Michuzi alikuwa mbele yangu nami nyuma yake wakati tunapakuwa chakula. Jamaa alikuwa anajisifia kuwa leo lazima nizikomoe hizi nyama, yaani alijaza sahani yake as if watu wanaokuja nyuma yake hawataki kula. Yaani alijaza sahani kiasi kwamba hata sehemu ya kushikia alikuwa hana.
 
Cha ajabu watu wa hizo tabia humu jamvini hawapo, Kila mtu utamsikia anasema kweli wanakera as if hao wahusika Wana kaulimwengu kao tu
 
Lingine
1) kila mtu/mwanafamilia baada ya kula akaoshe sahani yake na kuiweka sehemu husika ikiwa kavu!

2).Ukishiba usiondoke mezani ghafla! subirini kidogo!

3) Usisifie sifie kuwa chakula kitamu mbele ya mwenye mke! wkt unameza! ila hili lifanyike baadaye!

4).concetrate kwenye sahani yako siyo unaangalia sahani ya jirani yako!

5) ji saveie chakula utakacho maliza..siyo unajaza sahani una shindwa kumaliza!

6) Maliza chakula chako chote usiache hata chembe ya wali kwenye sahani!..wengine anachomachoma tu sahani ya wali anaiacha ivoivo! imejaa km mwanzo wkt kaji saviour!

7) Acha Wakubwa waongee mezani mgenni kaa kimya usiwe na kiherehere cha maongezi!

8) Usibweteke kwa ajili ya maisha mazuri ya watu/ wenyeji walio kukaribisha!

9) Usi wakodolee Mimacho!! watoto wa kike wawapo Mezani mbele ya Baba yao. au kuongea saaana na hao watoto wa kike! kujichekesha chekesha tuuu! km zuzu!
 
Hizi sheria zote umetuwekea sisi mbwiga?

Njoo uone watu (wanachakua) tafuna kama mbuzi uku wanaongea na kucheka mpaka vingine vinawaponyoka kutoka kwenye vinywa na kuruka mbali..
 
Somo zuri japo hilo la baba kula sawa na watoto kwangu halitakuwepo.

Kunywa maji dk 30-45 kabla au baada ya kula nalo ni changamoto sana aisee( nakumbuka mzee alikua analiweza hili).
 
Unapokunywa Juisii kwenye Bilauri au kikombe iweke kwenye uvungu WA mdomo WA chini, Apo nmekuelewa taikon sasa hebu tuangalie upande Wa chai au uji
 
Mwanamke asipike akiwa kwenye desturi yake,unamtoa out uko tena unaenda kula na Mwanamke mwingine akiwa kwenye desturi yake.
 
Haya mambo wanaelezwa watoto sio watu wazima kama sisi.
 
Kwa nini we jamaa usipewe kitengo maana uwezo wako wa kupambanua mambo ni mkubwa sana [emoji848]
 
Hii tabia ya kufundishana mpaka kula sasa daah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…