Mambo ya kuzingatia wakati wa Kula chakula mkiwa jumuiya!

Ahsante kwa miongozo, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Aseee nmejifunza mengi kupitia andiko hili.
 
Hata ukiwa umetolewa Out na kijana Mpya?
Kwenye swala la kula kwakweli sijuagi kuigiza....enzi zile nikiwa kabinti nikatolewa out na boyfriend penzi likiwa bado jipya kabisa lipo kwenye karatasi (ambae ndio mume sasa), akanipeleka chako ni chako akaagiza kuku....nilikula hadi zipu ya gauni ikagoma kufunga ilikua zipu ya pembeni usiku ule nilirudi geto mbavu ziko nje sijui ingekua mchana ingekuaje.....
Glenn nitoe out nikushangaze 🀣🀣🀣
 
Kuku wawili unawaweza?
 
Hayo huko kwenu..huku kwetu ni hivi
 
Attachments

  • 079a80d7fa884eaea321a1cfc0147c86.mp4
    979 KB

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ulitisha Sana.
Mimi sipendagi Watu wanaovunga na kuleta tamthilia.
 
Kuna mtu anaagiza msosi wa 30k halafu anaonja tu na kuacha...sio poa kabisa
Sipendi hayo mambo, sipendi hata kupelekwa mahali pa kula kula na uma, eti kuku namla kwa uma sa mfupa nitavunjaje.....napenda kuku au samaki nikila mifupa ibaki kama amepata ajali yani hata usijue kichwa kiko wapi kiuno kiko wapi
 
Mama wa kisukuma harembagi kabisaπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…