IS this a breaking news?
KWAMBA NI KUTOKA KWA MUNGU AU KWA SHETANI SIJUI, NINACHOJUA MIMI NI KWAMBA NILIKUWA MGONJWA NA SASA NIMEPONA
Umesema sawani babu anaponya siyo kutumia utume wa Mungu! Tunajua pote ni Mungu anayeponya hata hospitali au wapi! Ila babu atumie jina lake!hahahah kakutuma kakobe nini? mwambie babu anaponya aende akanywe dawa na yeye
Habari Za wandugu wa JF,
Nimeamini kuwa kilichosemwa na BIBLIA hakitabadilika hata kama ni kwanini.
1.WATU HAWA WANAMACHO LAKINI HAWAONI, WANAMASIKIO LAKINI HAWASIKII.
2. WENGI WATAKUJA KWA JINA LA MUNGU.
Tusibabaishwe na mganga wa Loliondo ukweli hakuna Mungu wa namna hiyo yeye angetumia tu jina la Mganga wa kienyeji sio Mungu unajua ni kwanini?
a. Dawa ya Mungu hainaga masharti, hata ukipewa sio masharti kama ya Loliondo eti hakuna mtu mwingine kukupa dawa hiyo ukanywa zaidi ya yeye peke yake swali: Watumishi wa Mungu Loliondo ni yeye peke yake? kama wengine wapo kwanini wasisaidiane? si kumpa tu mtu maji anakunywa??
b. Kwanini mti huo kama umefunuliwa na Mungu ukitumiwa na wengine usiponye?? Maana yake Mungu ameanza lini kutufundisha ubinafsi na uchoyo?
Nikomee hapa nitarudi! View attachment 24640
Habari Za wandugu wa JF,
Nimeamini kuwa kilichosemwa na BIBLIA hakitabadilika hata kama ni kwanini.
1.WATU HAWA WANAMACHO LAKINI HAWAONI, WANAMASIKIO LAKINI HAWASIKII.
2. WENGI WATAKUJA KWA JINA LA MUNGU.
Tusibabaishwe na mganga wa Loliondo ukweli hakuna Mungu wa namna hiyo yeye angetumia tu jina la Mganga wa kienyeji sio Mungu unajua ni kwanini?
a. Dawa ya Mungu hainaga masharti, hata ukipewa sio masharti kama ya Loliondo eti hakuna mtu mwingine kukupa dawa hiyo ukanywa zaidi ya yeye peke yake swali: Watumishi wa Mungu Loliondo ni yeye peke yake? kama wengine wapo kwanini wasisaidiane? si kumpa tu mtu maji anakunywa??
b. Kwanini mti huo kama umefunuliwa na Mungu ukitumiwa na wengine usiponye?? Maana yake Mungu ameanza lini kutufundisha ubinafsi na uchoyo?
Nikomee hapa nitarudi! View attachment 24640
nani aliekuambia miujiza ya mungu haina masharti.
kama ni msomaji mzuri wa biblia nakukumbushia mifano hii
1.kipindi cha musa,wana wa izraeli walion'gatwa na nyoka musa aliwatengenezea nyoka wa shaba na kila aliekuwa mgonjwa akimuangalia yule nyoka anapona.
2.kipindi cha joshua katika kuuteka mji wa yeriko,waliambiwa wauzunguke mji ule mara saba na utakua himaya yao,kwa mawazo ya kawaida wasingeamini ila walifanya hivyo na kweli ngome zikaanguka.
3.kipindi cha naamani mkuu wa jeshi la shamu alikua na ukoma,aliamuriwa akaoge mto yordan mara saba ndipo apate kupona na kwa kufanya hivyo alipona.
4.kipindi cha ibrahimu,mkewe sara alikua hana mtoto na alipata wageni waliokua malaika nyumbani kwake akawaandalia chakula.kwa ule ukarimu tu walimtabilia kipindi kama mwaka unaofata atakumbatia mtoto.
5.kipindi cha petro,walipokua na petro na yohana wakienda kusali walikutana na kiwete mlangoni tena ni ombaomba akawapigia kelele akisema mnisaidie,petro akamuuliza nikusaidie nini akasema nipate kutembea,petro akamjibu simama na uondoke sasa,na kweli kwa maneno wakatembea.
6.kipindi cha yesu,kulikua na mama alikua akitokwa damu miaka mingi lakini alivyogusa pindo la yesu tu zikakoma palepale.
7.kipindi cha paulo,walifungwa gerezani paulo na silla walifanya kuimba na kuabudu mpaka milango ya gereza ikafunguka.
8.kipindi cha nuhu,maasi yalizidi mji huo mungu akaamua kuteketeza kwa gharika na kuamuru kila kiumbe kitakachotaka kupona kiingie ndani ya safina,lakini wapo ambao hawakuamini na walikufa.walipona walioingia tu.
mifano ni mingi tu,sasa huyu babu wa loliondo ndio kipindi chake hichi kwa wote wenye magonjwa sugu.IMANI YAKO TU.
IS this a breaking news?
KWAMBA NI KUTOKA KWA MUNGU AU KWA SHETANI SIJUI, NINACHOJUA MIMI NI KWAMBA NILIKUWA MGONJWA NA SASA NIMEPONA
Kweli Kamanda Naamani alipewa masharti ya kujitosa mara saba kweye mto Jordan??? naye alihoji kama anavyfanya huyu mtoa mada, i.e. Mbona nabii hajatoka kuonana na mimi, mbona kwetu kuna mito mizuri kuliko huu etc. nadhani Mawazo ya Mungu yako juu sana ya mawazo yetu wanadamu na njia zake si rahisi kuzitafakari kwa akili zetu , cha msing tudumuni katika Maombi na Mungu atatufunulia ukweliuHebu ngoja tuone, hivi kumbe Mfalme Naamani yeye hakupewa masharti? Sijui bana haya mambo mie, kikubwa matendo yangu tu, the rest are details
Panuka kiroho na kiakili! Fimbo ya Musa iliyopiga mwamba maji yakatoka walikunywa wangapi?? Walipelea au walitosheleza?? kwa muda gani?? Loliondo wagonjwa wote wametibiwa haraka?? wangapi wamekufa??/ wangapi wamsubiri na hali zao mbaya?/ Think twice before!Hivi nyie mbna uwezo wa yesu au mtume muhamad walipewa wao tu kwanini mungu hakugawa kwa wote,....musa alipiga fimbo kwenye mwamba maji yakatoka kwanini asingewapa waizrael wote huo uwezo ili wafaidi. Anaangalia mtu na mtu. Mfano anajua kabisa angekupa wewe huo uwezo mbna mjini wangekukoma..kwanza ungetoza milioni kwa kikombe. Tena babu wa wa2 wala hataki kuanzisha kanisa kama kakobe,lwakatare na hao wezi wengne ili awaibie fungu la kumi, hamwambii m2 abadili dini yake na ukipona anakwambia nenda kwenye nyumba yako ya ibada kama msiktn au kanisani utoe dhaka huo wala usimletee chochote.
Soma replay iko kwa bluee rangi hapo juu then kaa kimya kama huwezi kusema mifano au maswali ya msingi!Kweli Kamanda Naamani alipewa masharti ya kujitosa mara saba kweye mto Jordan??? naye alihoji kama anavyfanya huyu mtoa mada, i.e. Mbona nabii hajatoka kuonana na mimi, mbona kwetu kuna mito mizuri kuliko huu etc. nadhani Mawazo ya Mungu yako juu sana ya mawazo yetu wanadamu na njia zake si rahisi kuzitafakari kwa akili zetu , cha msing tudumuni katika Maombi na Mungu atatufunulia ukweliu
Kapona Yesi then asubiri kiachofuata!Hahahahaaaahahaa! hongera
Hizi ni siku za mwisho na watu wanatakiwa kuwa makini sana kwani wengi watakuja kwa jina lake kume wala sio wake.
Yesu hakuwa anatumia mitishamba bali kwa neno na ishara watu walipona.
N aalipotuacha alisema tutamwomba lolote kwa jina lake na yeye atafanya.
Nijuavyo mimi binafsi na ktk imani yangu, Mungu alipotaka kufanya jambo lolote duniani liwe ni kwa ajili ya kuwakomboa wanadamu au kushusha adhabu kwa wale waliomkosea huwa alimwangalia MTU na sio WATU.Alipotaka kuwatoa wamisri toka utumwani alimpa tuu musa maagizo,alipotaka kushusha garika pia alimpa Nuhu maagizo ya kutegeneza safina.wapo waliomkebehi na kumwona chizi anajenga safina ingali kuna jua kali lkn at the end walijajua ukweli.
Kwa hio tusiwe wepesi wa kuwakatisha watu tamaa wale wanaotaka kwenda kupata dawa kwa mchungaji kwa kutumia aidha maandiko vibaya.watu wanashuhudia kua wamepona kabisaaaa!
He! Kumbe hii nayo ni BN!!!!!!! Manabii wa Mungu walipewa dawa na masharti yake na moja ya masharti ilikuwa ni kuangalia nyoka wa shaba, Upo
Panuka kiroho na kiakili! Fimbo ya Musa iliyopiga mwamba maji yakatoka walikunywa wangapi?? Walipelea au walitosheleza?? kwa muda gani?? Loliondo wagonjwa wote wametibiwa haraka?? wangapi wamekufa??/ wangapi wamsubiri na hali zao mbaya?/ Think twice before!