Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

Subiri kabisa niwawekee: Verse 23: "Walakini uyakatae maswali ya upumbavu yasiyo na elimu, ukijua ya kuwa huzaa MAGONVI"
 
Swali moja tu kwa jamii ya waaminio wasio amini nawa exclude kwasababu language nitakayo ongea hawajajifunza bado...ila kwa wale wanao amini....Atakuja mpinga kristo na kuonyesha ishara na maajabu kwani atapata anointing ile ya high class kutoka kwa Mungu wa ulimwengu huu; Je kama ndivyo utachagua lipi ufe na ugonjwa usiopona au upate uponyaji wa Mungu wa ulimwengu huu ambaye mhuri wake utabaki milele kwenye roho yako maana hiyo dhambi hutakaa uitubu kwani umesha justify kuwa hutendi kosa....

Maana watu wanadai wana mwamini Mungu it can be true Je holly spirit aweza kaa na ugonjwa sehemu moja na bado ukaendelea kubaki? Ndiyo maana ya zile heri tisa...moja wapo inasema heri wanyenyekevu na wapole maana hao watairith nchi...nchi ipi? Ibrahimu anajibu nautafuta mji ambao misingi yake imejengwa na bwana na aliutafuta kote asiweze kuuona mpaka alipouona kwa macho ya imani...mji huo sio mwingine ni Yerusalem mpya. Jibu la huo mji unatimia siku Yesu amefungua gombo la chuo na kusema...Roho ya Mungu ijuu yangu amenipaka mafuta .....neno hili leo limetimia. Niajabu sana mifano yote mnayoitoa juu ya kutumia mate, etc hamjiulizi ilifanywa wakati gani? Kabla au baada ya resurrection? Basi na ijulikane ya kuwa christianity is not the fruit of crusifiction but of redemption na the only power that worketh is holly spirit which before resurection was not on earth...ndiyo maana Yesu akasema imebidi mimi niende ili aje msaidizi...Hakuna mtu hata mmoja baada ya resurection amepona kwa miti, udongo, maji..etc ila kwa jina la Yesu au kwa jinsi nyingine NENO LA MUNGU...someni matendo ya mitume! Ndiyo maana Yesu akasema jinsi nilivyo ndivyo nanyi mtakuwa baada ya kuzaliwa mara ya pili katika ubatizo wa moto/roho mtakatifu in other words a christian is a word of God in flesh! Sasa cha kujihoji ni kuwa r u resembling resurected Jesus who is the first born in the kingdom of God? If yes have you ever heard of Jesus falling sick, lacking or even wanting anything though he was tired like us, walking like us, sleeping and praying if not we are better than him for He lived before sin was destroyed!

The word of God is either you are with it or against with no neutral grounds....ila ayajua madhaifu yetu na anatuchukulia patiently until we come into full knowledge of Christ and His power in us....Ye shall know the truth and the truth will set you free!
 
Tanzania Bila Ushirikina Inawezekana?
 

acha kutufanya sisi ni vihiyo hapa, wewe ungekuwa na ukimwi sijui kama ungekuwa hapa JF sa hivi. Sem ukweli wako mpendwa
 







We unatakiwa upate kisukari hata cha kubeep tu utaelewa maana ya kusaka tiba unapoelezwa panatibu. Nini kinakufanya uwaze huyo babu ni mganga? Wazee wetu zamani walitumia mitishamba kujitibu, anatumia nn huyo mzee km sio mitishamba? Wanaoenda ni wenye utajiri wao wa halali tayari and fyi, ni tiba inafatwa sio utajiri!
People are desperately in need of tiba na sio hadithi hadithi ulizoandika. Watu kama nyie ndo mnatakiwa mpate hayo magonjwa then tuone kama ukiambiwa habari hizi kama utaganda kwako ufe!
 
kumbuka mfalme naamani alinawishwa tope ..akapona..kulikuwa na majai angewezaomba anawe lakini kwa nini aambiwe tope,,same to mti babu kaonyeshwa mti..

Umeitoa wapi hii? Aliambiwa akajichovye mto Yordani mara sana na nabii Eliya
 
Mbona taarfa znachanganya uksoma gazeti raia mwema la leo kuna taarifa kna wt hawajapona ss kipi n kipi?]
 
 
Mtu kama wewe sijui unaelewa maana ya mifano??/ Hiyo mifano yote uliyotoa ndo unataka ulinganishe na ya wagonjwa?? Tofautisha VITA, ADHABU, MAGONJWA ndio urudi! Umechoka sana wewe!

kwa kua nilijua ungebisha ndio maana nimekutolea mifano tofauti,
karibu mingi yote nimekuonyesha aina tofauti ya uponyaji iliyokua ikitolewa na kwa vipindi tofauti.
 

Kaka, bado tu hujasikia kuwa unatakiwa kuinywa hiyo dawa in his presence, na kwamba ukichukua halafu akaenda kunywea pembeni haifanyi kazi? Then you must be deaf. Watu wangechukuliana kwa vile wengine hawawezi vitandani. Open your eyes and see. Kuponya kwangu si tatizo, I am on the faith part. Je, hayo mafunuo ni ya Mungu nimwabuduye MIMI? Mungu wangu huleta miujiza mingi tu beyond ufahamu wetu. Lakini miujiza yake hudhihirishwa ili imtukuze yeye, iwavute watu kumwabudu yeye tu. Haya sasa linganisha na huo muujiza wa babu wa Loliondo. Je, baada ya kunywa na "kupona" umeondoka ukimtukuza nani?

ISAIAH 42 : 8
I [am] the LORD: that [is] my name: and my glory will I not give to another, neither my praise to graven images
.
 
Inamaanisha hao wote waliopo kwenye hio foleni wameathirika na VVU? Duuh tutapona kweli?

Manake nasikia moja ya sharti ya dawa zake lazima uende physicaly, hakuna kumchukulia au kumbebea mtu kwa niaba.

Angeruhusu C/O si tungeuziwa millioni huku? Babuaalioteshwa yote haya kuwa ukiruhusu wachukuliane watu watachakachua. Acha na kudilute, then ingepoteza umaana.
 
Nyinyi mnaompinga babu wala c wagonjwa mngekuwa wagonjwa mngekuwa wa kwanza kunywa dawa ya babu,dadangu dena upoooo!

Furahini katika Bwana siku zote nasema tena furahini (Ahoosana aba jeeda Ng'uttamiida galagasean; ak geabiikti day, Ahoosana). - Filipi 4:4
 

mkuu una jina zuri :wink2: hahahaa Nyenyere. Uliwaza nini aisee?
 

Sasa hebu nenda mbele kidogo kwenye huo mlango. Utaona jinsi Naamani alivyogeuka ghafla na kumrudia MUNGU wa kweli. Hakubakia na ukuu wa jina la nabii Elisha, 2 Kings 5:17. Mie nachozungumzia ni jinsi gani huo muujiza ulioupokea Loliondo umekubadili maisha yako na kutambua ukuu wa Mungu? Je, baada ya kunywa hicho "kikombe cha maajabu" na kupona kinywa chako sasa chaweza kukiri ukuu wa MUNGU kama alivyokiri Naamani? Au ndio utatangaza ukuu wa babu kama ilivyo hivi sasa?
Hebu angalia nabii Elia baada ya kumponya mtoto, mama yake alitoa ushuhuda gani, 1 Kings 17:24
Kinyume na hapo, there might be some strange power behind all this.
 
hahahahahaha ahahahaha ahahah. yaani ni noma, wabongo wengi ni wagonjwa, najua wengi hawasemi, ila asilimia kubwa walioenda huko kwa babu ni ngoma, hahahahahahaaaaaaaaaaaa, nandiomaana husikii waliopona wakijitokeza hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…