Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

[FONT=verdana, helvetica, sans-serif]Hiyo plant inayotumika huko inaitwa Carissa edulis Family: Apocynaceae ,It has been there since ancient time and C. edulis is found in Arabia and reaches through tropical Africa to the Transvaal, Botswana and north and northeast Namibia, in warm bushveld and scrub.


[FONT=verdana, helvetica, sans-serif]Geographic distribution[/FONT]
[FONT=verdana, helvetica, sans-serif]Native : Botswana, Cambodia, Cameroon, Eritrea, Ethiopia, Ghana, Guinea, Japan, Kenya, Myanmar, Namibia, Nigeria, Saudi Arabia,Senegal, South Africa, Sudan, Tanzania, Thailand, Uganda, Vietnam, Yemen[/FONT]


[FONT=verdana, helvetica, sans-serif]Products[/FONT]
[FONT=verdana, helvetica, sans-serif]Food: Fruits are sweet and pleasant to eat; in Ghana, they are normally added to the food of invalids as an appetizer. Vinegar can be made from them by fermentation; in Sudan and Kenya, they are made into a jam. The roots are put into water gourds to impart an agreeable taste and are added to soups and stews for the same reason. Fodder: Goats and camels in the dry parts of Sudan browse on C. edulis. Fuel: The species is a source of excellent firewood. Poison: In Kenya, a piece of the root is fixed into a hut roof as a snake repellent. Medicine: Roots contain an active ingredient, carissin, that may prove useful in the treatment of cancer. The twigs contain quebrachytol and cardioglycosides that are useful as an anthelmintic against tapeworm. In Guinea, the boiled leaves are applied as poultice to relieve toothache. Root bark is mixed with spices and used as an enema for lumbago and other painsin Ghana; root scrapings are used for glandular inflammation; ground-up roots are used as a remedy for venereal diseases, to restore virility, to treat gastric ulcers, cause abortion, and as an expectorant. An infusion of roots along with other medicinal plants is used for treating chest pains, and a root decoction is also used for treating malaria.It has also Antiviral effect very successful in treating Herpes simplex virus and other several viral infections.[/FONT]



[/FONT]
 
Mtaani kwetu kuna shida ya maji sana.
Mara kwa mara maji yanapokatika huwa tunaenda kuchota maji msikitini na hakuna anayeulizwa "wewe ni dini gani" bali wote tunachota tuu.
 
Pale viongozi wa dini zote walipoweka utaratibu wa kutohoji mahubiri wala mafunzo wanayotoa, walikuwa na akili sana. Unalishwa hata usichokitaka na lazima ukimeze... Unajua nini... Naamini kabisa kuna suprise nyingi sana siku ya hukumu amba[po dini nyingi zimeweka kama deliverable (matokeo) ya kuwa member wa dini husika.

Msingi wa dini zote za sasa ni amani kwa mtu mwenyewe katika nafsi yake na maelewano kati ya mtu na mtu na kati ya kundi na kundi na kati ya jamii na jamii (reconsiliation with own being and existence). Na hili ndilo jambo kubwa binadamu wengi huwaweka karibu na dini husika. Shida ni pale interest nyingine zinapoingia, na hizi husababishwa na personality na instinct za kiongozi mhusika, aidha kwa interest zake binafsi au kwa kuhofia nafasi yake katika kundi analioliongoza. Jambo hili limesababisha dini nyingine kugeuka kuwa mashirika na pia imepelekea kuibuka kwa dini mpya zinazojaribu kuhalalisha kile wasichokubaliana nacho kule walikokuwa.

Hali hii ndivyo ilivyo sasa ambapo kwa wale wote wanaomwamini Mungu, viongozi wa dini zinazomuamini Mungu zinahangaika sana zinapoona kuna binadamu mwingine ameibuka na kuwa na ushawishi mkubwa juu ya uhusiano wake na Mungu. Viongozi wengi hupenda kujiweka katika nafasi ya kuwa wao tu ndio wa pekee na wengine sio wa pekee, hii ni njia muafaka ya kuhakikisha waumini hawaendi huko na huko. Basi, Babu wa Loliondo anapoibuka na huyu wa Tarakea, bahati mbaya wote wako katika imani ya dini moja ingawa misingi tofauti, wale waliokuwa tayari wamejikusanyia umaarufu huingiwa na hofu kuu maana wanaona kabisa binadamu wanaoowaongoza wanashawishika wenda kule ambako kuantumaini kuu.

Kitu kikubwa viongozi hawa wanachosahau, ni kuwa wao ni wawakilishi tu, hukumu ni ya Mungu. Wafanye juhudi kuhubiri yale wanayopasa, juu ya nani ni nabii na nani si nabii na kuanza kulaani au kuhukumu, nina mashaka kama itawaacha salama katika hukumu ijayo kama wanavyodai. Si hivyo tu, tayari binadamu wanahoji hofu walionayo viongozi hawa, na sidhani kama wameweza kuwashawishi uhalali au kutokuwepo kwa uhalali wa hao wengine wanaoibuka na kuonyesha uwezo wa "Ki-Mungu".

Napenda pia kusemea jambo moja, viongozi wengi wa dini hawasomi historia ya dini zao kiundani, wanatumia hisia zao, interest zao na yale wanayodhania. Jambo hili ni upotoshaji mkubwa. Ninachopenda kumalizia ni kwamba hakuna sababu ya kuhofia kuwepo kwa binadamu mwingine anaaeonekana kuwa na uwezo unaoonyesha wazi kutatua matatizo hasa haya sugu yanayowakabilib binadamu. Bianadamu wanahangaika na wanachotaka ni majibu ya mahangaiko yao. Basi kama yanapatikana mahali, kwanini useme ni upotoshaji? Fanya sehemu yako kama wajibu wako, yale yanayowasaidia binadamu ni sawa na ni vema, hicho ndio kipimo kwako. Hawa wengine si juu yako, kama unamwamini Mungu, basi yeye ndiye atakaehukumu.
 
Tutabanana hivyohivyo hadi wote tunywe kombe
 
Hii ishu naona mkuu inauelekeo wa kutaka kujua watasema nn lkn naona pengine kama angeoteshwa bila shaka angefuata maelekezo ktk kutoa dozi, isipokuwa wenziwe wangetumia kama ndio msingi wa kushawishi wengine ndivyo sivyo.
 
Duh yangu macho anyway Mzee wetu jana alipumzishwa salama ingawa maneno yalikuwa mengi.
 
Hata kama magari yatakuwa 1000 lazima niende kupata kikombe cha Babu.
 
sioni kama kichwa cha habari na habari yenyewe vinaendana. better to go back and finish your homework
 
Mtu kama wewe ndo unaeleta udini.....haya ya kama angekuwa muislam ingekuaje?Acha hizo
 
Nimekusoma Ngongo...Ni habari ya kweli hii.Nadhan alizikwa jana
 
Afya za viongozi wetu wengi na baadhi ya vigogo selikarini si njema kwa kiasi kikubwa na ndo maana unakuta magari ya kifahari na hata helikopta zinatua kijijini samunge loliondo kwa mchungaji ambilikile kupata tiba ya magonjwa sugu yanayo wasumbua kwa muda mrefu jana waziri mkuu mmoja mstaafu naye alikwenda kupata kikombe kwa babu kwa ajili ya tiba na wengine wengi. Tumshukuru mungu kwa tiba hii ya hakika.
 
Jamani wana jamii mie huku kwetu nimeshuhudia watu wengi walioenda loliondo kwa babu kufuata tiba ya magonjwa sugu yaliyokuwa tanawasumbua wakisema baada ya kunywa dawa kwa mchungaji ambilikile wamepata nafuu kubwa sana katika magonjwa yaliyokuwa yanawasumbua. Sasa iweje mwingila aseme babu anatumia nguvu za giza kuponyesha watu ni la kweli hili naomba msaada wa mawazo yenu watanzania wenzangu
 
wakuu hii mada ni nzito.

kama alivyosema mmoja wa thinkers hapo juu, cha Mungu hulindwa na Mungu Mwenyewe. labda kama wataibuka watakaotaka kuhujumu, Mungu atawaibisha ili kulinda heshima Yake.

Nimesikia kwamba serikali ilimwambia babu kuwa wamwekee ulinzi ila akasema Mungu atamlinda but all the same, kuna jeshi la polisi wanamlinda.
 
Unaweza kuwa na hoja ya msingi lakini naona kama hapa si mahala pake. Hili ni Jukwaa la Siasa!
 
we junk ni mdini kwel kwel kuna visima, hospital, tunaharikana harucn hitima tunauziana viwnja, mifugo , tunashare shule hospital. heb kalale kule mafi yako
 
hao walalamikiao sadaka ya 500 ni wachoyo mioyoni mwao...hata makanisani kuna sadaka na wengine hutoza kitu kiitwacho fungu la kumi.dawa inachimbwa,inabebwa,kuni pia zinatafutwa na kubebwa na watu wanashinda wanachemsha watamudu vp bila kuwezeshwa chochote?
 
mkuu wote ni walewale tu. dawa gani hiyo ukipewa na mtu mwingine huponi mpaka upewe na yeye? Ni ushirikina uleule kama waakina kakobe na wenzake. huyo ni mwenzao pia na ndo maana wameanza kupigana madongo. kwa kuna maslahi hapo. Tutaona na kusikia mengi, yetu macho na masikio. kwa vyovyote vile iwavyo.
 


Mpita njia akiangalia bango lililoegeshwa karibu na stendi ndogo ya daladala Morogoro mjini, likihamasisha wananchi wenye magonjwa mbalimbali wanaohitaji kwenda kupata 'kikombe' kwa Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ambilikile Mwaisapile 'Babu' katika Kijiji cha Samunge, Loliondo, mkoani Arusha. (Picha na John Nditi).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…