Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

babu alisema yeye si mganga wa kienyeji,nimemsikia mwenyewe sijaambiwa au kusoma mahali

mimi nashindwa kuwaelewa wenzangu ninyi, kwani babu akisema ndio nani hadi umuamini yeye? muamini Mungu pekee, na kila neno asemalo babu au Miss Judith hp jamvini au mwingine yoyote wapaswa kilichekecha kwanza kwenye ubongo wako ndugu na kulipima (kulitest) kwa kutumia neno la Mungu kama lina-fit for spiritual consumption na sio kuruka na automatic conclusion kuwa "kwa sababu babu alisema na nimemsikia mwenyewe"!!

aah jamni, kweli inasikitisha sana kuona watu wakikosa umakini kiasi hiki katika zama hizi za mwisho!

Mungu atuhurumie sana manake tunaangamia hivi hivi huku tunaona kwa macho yetu mawili!

Glory to God
 
Hiyo kali man hadi kutupa mifupa ya kuku ni hela.Pia hat kutema mate nay ni hela tu inahitajika?Duh!Loliondo hakufai.
 
Jamani wandugu zangu watanzania kwa ujumla naombeni tusitoboane macho kwa vidole kwa sababu ya kubishana kwa kitu tusichojua na siyo lazima kuchangia kama hujui unachokisema kwa kifupi ni hivi kwa mkristo halisi ana mwongozo wa Roho Mtakatifu na maandiko matakatifu ambayo ni Biblia kama babu yuko tofauti na hayo yote basi hatufai cc wakristo na tusimsakame kwa sababu katumia mizizi kwani karoti viazi ni nini? Si ni mizizi pia! Au kwa sababu hiyo wanatumia wazungu? Suala la mizizi na matunda liko ki biblia pia lakini tatizo na point ya mchangiaji hapo juu ametoa hoja kulingana na maandiko swali la msingi ni kujiuliza je babu yuko kwenye msatari wowote wa Neno la Mungu au kamari ya kuponyesha watu ambayo hata waganga wanaweza kuifanya tuwe wakweli na tuache ushabiki
 
good point,

Glory to God
 
IS there the biblical “only stranger in Jerusalem” in this country, who has not heard of Loliondo? For this is where everybody but every body from near and far, is travelling to, to get the magic one-cupful of a potion consisting of water boiled with the bark of the ‘mugariga’ tree, which cures the most stubborn of the ailments that affect mankind.

The media has tried its best to tell us all that is going on in the area. The Sunday Custodian (March 23) for example carried 8 articles on the subject. The Sunday Good Citizen (13 March) carried 4 articles; and so on. This submission is based on these two papers.

In brief, there is a retired pastor in Semunge village in Loliondo, Ngorongoro District, who has become famous for administering a prepared liquid from a cup, as a result of which, many people claim to have been cured of diabetes, high blood pressure, cancer, HIV/AIDS and what have you. Who is this person?

The papers have differed on his name. The Sunday Good Citizen has at least three versions: Ambikilile Mwasapile, Ambilikile Mwasapile, and Ambukile Mwasapile. Not to be outdone, the Sunday Custodian has four versions: Ambilikile Mwasapile, Ambilikile Mwasapila, Ambilikile Masapila, and Ambalikile Masapila.

My own gut feeling is that the old pastor (the papers differ on how old he is – his age ranging from 70 to 76) is called Ambilikile Mwasapila. Can an authority on Nyakyusa names please come up with the correct version? There were also differences on the name of the plant from which the retired pastor is deriving his magic cure.

An octogenarian (81) BP sufferer is reported to have said: “I am okay after drinking ‘muragira’”. (Sunday Custodian, p.5). So it is “muragira”. But read on: “Seventy six year old Mwasapila administers a herbal concoction from an indigenous tree called ‘mugagira’, which has divine powers to treat diseases that include asthma, diabetes, ‘blood pressure’, cancer and HIV/Aids”.

Is it “muragira” or “mugagira”? Could Mr Ebbo, the well-known Maasai artist please help? What is the correct version? My feeling is that both “muragira” and “mugagira” are not Maasai words. They sound like they come from the country of the “mura” in Mara Region. Now is it the tree that has divine powers? Had that been the case, there would have been no need for the thousands and thousands of people to flock to Semunge.

The divine powers seem, to be in the hands of the pastor, who must administer the potion himself, if the patient is to get cured. And by the way, blood pressure is not a disease (I hope doctors agree). It is a condition within the blood circulatory system. Normal blood pressure is given as 120 for the high and 80 for the low bit (120/80) (there are medical terms for these two sides of blood pressure: high and low).

High or low blood pressure are conditions of the pressure in the blood circulatory system being over or below the 120/80 and these are the problem, not the blood pressure itself. Indeed, if doctors detect no blood pressure in a patient, they get worried indeed. In Kiswahili however, we reckon “pressure” is a disease.

Is the pastor’s potion curing anything? Yes, according to the Sunday Custodian: “Prominent leaders ‘testfy’” (p.1). In an article titled “This is a golden chance” an MP is quoted as saying: “I can tell you that the treatment is real, it works and I feel fine”. The MP, however declined to specify the ‘heath’ problems, that necessitated her to travel to Loliondo” (p. 3).

Actually you “testify” (not “testfy”), and in order to sound convincing you can reveal the “health” (not “heath”) problems that made it necessary for you to travel to Loliondo. It is said that people are travelling to the area “by cars and helicopters”.

No. They travel “by car”, “by helicopter” even if these are many (you go somewhere on foot though you have two feet) The Custodian tells us a bit more about the healing pastor: “he never even remotely wished or hoped to become ‘either a preacher nor’ a traditional healer”.

Surely we all must know that it is: “either …. or”, or “neither …. nor”. It cannot be “either …. nor” or vice versa. In this case, the healer-pastor never wished to become “either a preacher or a healer”. But today, according to the Sunday Custodian (p.3) he is being hailed as a “messier”. There is no noun “messier” in English.

Chances are, the writer had “messiah” in mind. A messiah is someone who people believe will solve their problems. Meet you next week! You are right! In Loliondo of course. Where else?
 
Nimefuatilia kwa muda mrefu juu ya "tiba-miujiza" inayotolewa na Babu wa loliondo.Kwa wengi wanaomuunga mkono ni sabab "wanajihisi?" wameponywa na dawa hiyo kimuujiza,na wanaompinga n kutokana na asili/chanzo cha dawa hiyo.
Dawa ya babu ikipimwa kwa vigezo vya kibiblia inapwaya ndio maana wa kina kakobe,pengo,mwingra wanapinga dawa hiyo.Kwa wakristo kigezo cha muujiza wowote kutokea(kuonekana) uwe wa kupona au la si kigezo pekee/cha muhimu kujua nguv za miujiza asili yake ni Yesu,kwa kuwa hata shetan,nabii wa uongo ana ishara tena kubwa ambazo zinaweza kuwadanganya hata wateule(wakristo wa kweli)-soma Matayo 24:24, ufunuo 13:13
Biblia imeturuhus kupima nguv (roho) zinazofanya kaz kwa watu kama Babu-1 yoh 4:1,3.
Babu alijinadi kuwa ametumwa na Mungu(Yesu) na kibiblia muujiza,uponyaji,vinafanyika kwa mamlaka ya Jina la Yesu- Matendo ya mitume 3:6,filip 2:9.
Kutumia vitu ktk uponyaj kibiblia sio lazima, bali n sharti vifanywe ktk jina la Yesu maana ndilo lenye mamlaka.
HIVYO MUUJIZA WOWOTE WAWEZA KUTOKEA KWA JINA LA YESU BILA YA KUTUMIA MAJI-matendo 3:6.
Je Babu kama kweli ametumwa na Yesu anaweza kutumia jina la Yesu pekee(pasipo maji) na watu wakpata uzima?
Muujiza wa Yesu ni kwaajili ya kuwaonya watu,kuwafungua,na kuwafundisha wasitende dhambi tena-wamgeukie Yesu sio warudi makwao kama wametoka 'theatre' bila kutubu-Yohana 5:14
Tena,muujiza wa Mungu ni lazma umtukuze Yesu na sio Babu wa loliondo-matendo 3:9 ,luka 5:26,13:13
Muujiza wa Muungu hauuzwi hata kwa shiling 1-kwani mmepewa bure toen bure-kwanin babu auze?
Babu anatakiw kujib hoja kibiblia kama kweli yeye katumwa na Yesu kweli-2petro 3:15 Tuwen macho hiz n cku za mwisho.
 
Kipengere cha mmepewa bure toeni bure si chepesi kukitafsiri kama wengi wetu ambavyo tungependa iwe. Gharama za jambo lolote hata la kiimani lazima ziwepo. Nani anabeba gharama hizo? Ni kweli padri anatoa huduma bure? si kuna sadaka zetu ndio zinazotumika kumfikisha padri kwa waumini, au yule Punda aliyepandwa na Yesu alipokuwa akiingia Yerusalem alikuwa analishwa na nani? Sasa gharama za kubeba kuni za kuchemshia dawa kwa babu anatoa nani?

Biblia inasema, tutawatambua kwa matendo yao. Subirini kidogo, ukweli utajulikana siku si nyingi. Tunaweza tukachuma dhambi bure. Hatuwezi kumsaidia Mungu kujitetea, Mungu anajitetea mwenyewe.
 
Ukweli ni kwamba unajua kuwa dawa ya Babu wa Loliondo Inatibu kwa anae amini mimi nikiwa Mmoja wao (usiulize nilikuwa naumwa nini) ila amini nimepona, ushuhuda zaidi unao kwa sababu kwa mujibu wa post yako umefuatilia kila hatua, Madhara ya wale wanaokwenda kwa kutegemea Miungu wengine umeyasikia ikiwa ni pamoja na yule mzee wa General Tyre aliyezikwa Juzi.
Je unataka wenye shida wasiende kwa babu na waendelee kuteseka au una dhamira gani zaidi?

Hata Hivyo siku nyingine ubishe Hodi sawa?
Rep Power : 0
 
Salaam Malila!

Nimependa maoni yako hapo juu, kila kinachotokea Duniani na kumhusisha mwanadam siku zote lazima kiwe na pande mbili, KUKUBALIKA na KUPINGWA hiyo ndiyo asili ya mwanadam tangu zama za kale na hata enzi hizo katika masimulizi ya kidini kwamba hata walipokua Adam na Hawa wao peke yao palitokea mitazamo tofauti ya kuchagua kizuri na kibaya. Mungu hajashindwa kuzuia tusikutane na vitu vibaya ila ameviacha tukabiliane navyo wenyewe na hasa kwa vile vibaya na inapotokea tunashindwa kwa uwezo wetu wenyewe wa kibinadam ndipo anatupa fursa ya kuomba msaada toka kwake kwa imani na mara zote tunashinda na ndilo lengo kuu la Mungu kujidhihilisha mbele yetu pale tunapokwama anaweza kutusaidia na kisha tumtukuze na kumheshimu kwamba yeye ndiye Muumba na muweza wa vyote.

Ninachokiona mimi ni kwamba watu sasa wanajaribu kumchagulia Mungu namna ya kutusaidia katika matatizo yetu. Huo ni mtazamo wa wanaopinga kuhusiana na tiba ya babu, lakini pia wanaomuunga mkono nao wana cha kusema "sauti ya wengi ni ya Mungu" sasa ukiangalia umati unaoelekea loliondo na umati wa unaopinga utapata jibu wepi wapewe. Lakini tukirudi nyuma katika imani, ujio wa Yesu sio watu wote waliufaham, na hata alipokua akiponya alidhihakiwa na kubezwa na hakuishia hapo tu mpaka wakamsulubisha msalabani. Sasa ikiwa mwana wa Mungu alipata kasheshe kubwa namna hiyo, hii ya kumpinga babu mbona naona ni cha mtoto, Maaskofu na Wachungaji wanao mpinga babu hawana tofauti na wale Mafarisayo waliomtega Yesu hekaluni kuhusu mambo ya Kaisari na Mungu. Mie naamin Mungu amekua akishughulikia matatizo ya mtu mmoja mmoja kwa namna anavyomuomba lakini pia amekua akisaidia taifa au mataifa na hata dunia katika jambo linalojitokeza kusumbua likakosa msaada au utatuzi wa kibinadam. Ujio wa Yesu ulikuja kutoa majibu ya uwepo wa Mungu kwa wale waliokua na imani, na wakapewa nguvu ya kusonga mbele, lakini pia alikuja kuiondoa dhambi ya milele ambayo kwa ubinadam wetu tusingeweza kujisafisha. Sasa ujio wa babu pia ni suluhu ya hili tatizo tulilokua nalo la magonjwa sugu ambayo baadhi ya wanadam wenzetu waligeuza miradi ingawa mpaka leo halijapata ufumbuzi. Babu angekua anawang'ang'ania wagonjwa wakishapona wabaki loliondo nadhani tayali machafuko yangekua makubwa kwamba ananyang'anya waumini wetu, Babu si mhubili kwamba ukienda kutibiwa anaanza kukufundisha jinsi ya kusali kwa kufuata masharti ya KKT. Babu hachagui dini kwenye kutibu, pata dawa nenda zako ukaendelee na kanisa lako au dhehebu lako na imani yako kwa maana wale wanoenda kwa Babu na wanafanikiwa na imani kabisa wanakua wanamuomba huyohuyo Mungu awaongoze wafike salama na wapate huo uponyaji, siamini kwa wagonjwa waotaabika na kukata tamaa ya kupona kuwa hwamuombi Mungu na Mungu amekaa kimya hawajibu. Kwa imani wanaoenda na kufika loliondo kwa imani ya Mungu na kumuomba Mungu wakipata kikombe hicho kwa imani yake huyo Babu yetu aliyetumwa na Mungu wapone, basi mambo yote yanafanyika kwa huyohuyo Mungu mmoja kwanini wasipone bwanaaaa........acheni watu wakapone kwa imani zao kwa Mungu wao bwanaaaaa.........

HITIMISHO.

Kwakua tiba ya kwa Babu ni hiari ya mtu na inaponya kwa imani ya mgonjwa mwenye kuamini basi tuache kama ilivyo wanaomini waende na wale wasioamini wasiende, hamna mtu aliyelazimishwa kwenda huko sasa kelele zinatoka wapi? Walio tumia kikombe cha babu na hawakupona basi waichunguze imani yao kwa babu na waache kupiga kelele kuwakatisha tamaa wale wanao amini.

Kama tiba ya Babu si sahihi, basi Mungu atatupa majibu kwa maana Babu anasema amepewa na huyohuyo Mungu.
 
Kipengere cha mmepewa bure toeni bure si chepesi kukitafsiri kama wengi wetu ambavyo tungependa iwe. Gharama za jambo lolote hata la kiimani lazima ziwepo. Nani anabeba gharama hizo? Ni kweli padri anatoa huduma bure? si kuna sadaka zetu ndio zinazotumika kumfikisha padri kwa waumini, au yule Punda aliyepandwa na Yesu alipokuwa akiingia Yerusalem alikuwa analishwa na nani? Sasa gharama za kubeba kuni za kuchemshia dawa kwa babu anatoa nani?

Biblia inasema, tutawatambua kwa matendo yao. Subirini kidogo, ukweli utajulikana siku si nyingi. Tunaweza tukachuma dhambi bure. Hatuwezi kumsaidia Mungu kujitetea, Mungu anajitetea mwenyewe.

Si jukumu letu kuhukum bali wajibu wetu kupima(kujaribu) mambo yote kwa neno-jins Yesu aliagiza,ili kutofautisha kat ya Mtumish wa Mungu na asiye wa Yesu na ili kushika lile lililo jema(la Mungu)-1thesalonike 5:21,1yoh 4:1,
Kama Biblia(neno-ambalo ni MUNGU-yohana 1:1, limeturuhusu kupima watumish wake,mwanadam ni nan hata apinge?
Kuna tofaut kati ya kuuza(kutoa pesa ili kupata dawa(neema-ya Mungu) na wajibu(agizo) wa kutoa kanisan-malaki 3:10
Mfano:-neema ya Ukomboz ktk damu ya Yesu ni bure kwa kila anayeamin na sio kila anayenunua.
Kutoa kanisan japo kuwa n agizo kunategemea msukumo wa ndan ya moyo(dhamiri),wajibu na sio lazma,kupangiwa kiwango-luka 21:3-4, na hata siku moja Wanao mtegemea Yesu) hawawez kuacha,kulazimishwa kutoa sabb wanajua Chanzo cha walivyo navyo(mali) uzima wao chanzo ni Mungu- kumb sura 28 na 29.Pia Hazina yao ilipo ndipo na Mioyo yao itakapo kuwa.
Hatahivyo mtumish wa kweli wa Mungu hapimwi kwa jambo moja bali kwa "matunda yake-mengi.Ndio maana imeandikwa 'Jaribun mambo yote' sio machache.Niliyotaja hapo ni machache tu yapo mengne zaid yafanyayo miujiza ya Watumish ionekane imetokana na Yesu.
Babu aibuke na kujibu hoja(chanzo cha miujiza) kama alivyo ibuka kutoa "Ufunuo"
 
aliye mgonjwa hana muda wa kusubiri babu ajibu hoja, ataenda tu kupata CUP... nyie wote wazima!
 
Lets wait and see! Naamini kuwa magonjwa ni kazi ya ibilisi (shetani na roho zake kadhaa) siamini pia kuwa shetani atafurahia kuwa watu aliowateka kwa maana ya magonjwa wanaponyoka kwake kwa maana ya kuponywa. Hivyo ni wazi kabisa atafight back kama tunavyoona tena kwa kuwatumia viongozi wa dini ambao nao pia wana utata mkubwa ktk kazi zao (kama ni mfuatiliaji wa hizi circles utakuwa unafahamu kitu).

Sijaribu kumtetea Babu kwa namna yeyote hile, ila ninashangaa jinsi nguvu zinazotumika kumpinga Babu wa Loliondo zingetumika kuwapinga manabii wa uongo ingekuwaje au hata kukemea uovu ktk jamii yetu? au hakuna manabii wa uongo hapa TZ na uovu mwingine mwingi tu? Je wanaomyooshea kidole babu kwa hayo anayofanya (sijui niseme mmefunuliwa na roho) ndio mmeona kuwa ndio machukuzo kwa Mungu?
 
Si jukumu letu kuhukum bali wajibu wetu kupima(kujaribu) mambo yote kwa neno-jins Yesu aliagiza,ili kutofautisha kat ya Mtumish wa Mungu na asiye wa Yesu na ili kushika lile lililo jema(la Mungu)-1thesalonike 5:21,1yoh 4:1,
Kama Biblia(neno-ambalo ni MUNGU-yohana 1:1, limeturuhusu kupima watumish wake,mwanadam ni nan hata apinge?
Kuna tofaut kati ya kuuza(kutoa pesa ili kupata dawa(neema-ya Mungu) na wajibu(agizo) wa kutoa kanisan-malaki 3:10
Mfano:-neema ya Ukomboz ktk damu ya Yesu ni bure kwa kila anayeamin na sio kila anayenunua.
Kutoa kanisan japo kuwa n agizo kunategemea msukumo wa ndan ya moyo(dhamiri),wajibu na sio lazma,kupangiwa kiwango-luka 21:3-4, na hata siku moja Wanao mtegemea Yesu) hawawez kuacha,kulazimishwa kutoa sabb wanajua Chanzo cha walivyo navyo(mali) uzima wao chanzo ni Mungu- kumb sura 28 na 29.Pia Hazina yao ilipo ndipo na Mioyo yao itakapo kuwa.
Hatahivyo mtumish wa kweli wa Mungu hapimwi kwa jambo moja bali kwa "matunda yake-mengi.Ndio maana imeandikwa 'Jaribun mambo yote' sio machache.Niliyotaja hapo ni machache tu yapo mengne zaid yafanyayo miujiza ya Watumish ionekane imetokana na Yesu.
Babu aibuke na kujibu hoja(chanzo cha miujiza) kama alivyo ibuka kutoa "Ufunuo"

Naamini tuko pamoja, lakini mimi nasema hivi, kama huduma ya babu yatoka kwake tutaiona kwa sababu itadumu na kinyume chake ni sahihi, mimi na wewe tuwajibike kumwomba Mungu zaidi ili kama kuna mkono wa shetani idhihirike mapema kabla watu wa Mungu hawajaangamia.

Yesu Kristo alilipa gharama kubwa kutuweka sisi huru na akasema, kwa matendo yao mtawatambua. Babu hana sababu ya kujieleza kwa sababu hajatoa tangazo la huduma yake, kilichotokea ni wale walio saidiwa na kupata nafuu ndio walio waita ndugu zao kwenda huko. Vile visenti vinavyotolewa ndio vinatumika kununua vikombe, sabuni za kuoshea vikombe/masinia, kuchimbia vyoo pale kwa babu,na dharula vingine. Halafu yeye akikupa kikombe chake anakuwa amemaliza kazi hakwambii uende kanisani kwake wala wapi.
 
Ndugu Zangu,
Poleni sana na shughuli za kila siku pia hongereni sana kwa kujaribu kutafakari juu ya jambo hili jipya nasi!

Wapendwa naamini ktk nafsi zenu ni wema sana. Kutokana na huo wema Mmediliki kuitana Wajinga, Wapumbavu n.k ili kuhakikisha mnafikia muafaka lakini wasi wasi wangu ni kutofikia muafaka kama matarajio yalivyo.

Wana {jf} si kwamba hamjui muongeacho ila tafakari yangu ni juu ya uhakika kwa pande zote mbili kumbuka hapa ni bila jazba wala ushindani;

Je, ni kweli Kanisani ni zaidi ya Loliondo?

Je, Loliondo ni zaidi ya Kanisani?

Au hakuna mwenye uhakika, kweli kumbuka hata bwana Yesu alipata wapinzani vile vile.

Pia hakuna imani kuwa Mwenyezi Mungu bado yupo na ulimwengu au lah.

Wala si hakika kuwa Mungu aliacha Ulimwengu tangu zama za Adam na Eva.

Au zama za kristo, Au zama za Mohamad {S.A..W}

Jf group: kumbuka hao Manabii wa wili mpaka hii leo hawajapata kuaminika kabisa na Walimwengu.

Jf group: kumbuka hata sasa wewe mwenyewe umezaliwa na ukawa upande flani eidha wa Yesu Kristo au Nabii Mohamad {S.A.W}

Maswali yangu ni kama ifuatavyo;
i) Je, Yesu kristo ni kweli alitumwa na Mungu kutuokoa?

ii ) Je, Nabii Mohamad pia ni Mjumbe wa Mwenyezi Mungu?

iii) Je, hawa wote ni wajumbe wa Mwenyezi Mungu kama ni kweli kwa nini tuna gawanyika?

iv) Kama si kweli kwa nini tuna Waamini na kila Mtu na wake?

v) Je, Mzee, wa Tanzania Loliondo amekuja kwa Imani gani, anatibu Watu gani Waislaam, Wakrito, Wapagani, Wanawake, Wanaume, Masikini, Matajiri, Weupe, Weusi, Vilema, Wazima, au Kwa Watu wote jinsia zote?

vi) Je, ni nani anahakika kuwa Mzee, hayupo pamoja na Mungu au yupo pamoja na Mungu zaidi yake Mwenyewe?

Ndugu zangu mimi ninafikiri si vyema kutamka dini au tabaka na kwa sababu hiyo sioni kama kuna sababu ya kuzungumzia kinyume swala tusilolijua haya huo ndiyo Mchango wangu kwa sasa na Shukuru sana kwa kusoma maoni yangu na kuyaelewa.

Mc!
 
It is a fact that there is a proven correlation between poverty and beliefs in the supernatural.
 
Back
Top Bottom