Mtu wa Mungu
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 444
- 19
Ama kweli kuishi kwingi ni kuona mengi!!!!! Kwa serikali inayoendesha shughuli zake kwa misingi ya sheria, kanuni na taratibu, haya ambayo serikali hii inafanya ni vituko vya karne nyingi !!!; lakini kwa serikali hii ya mkwere inayoongozwa na kulindwa na majini ya sheikh yahya, huu ndiyo mwendo!!!!!!
Kwa taifa la serikali inayoongozwa na viongozi mazuzu kama hii ya CCM, taifa limemwacha Mungu wa kweli na kuchagua njia ya kwenda kuangamiza raia masikini kwa kukosa maarifa; hakuna hata hata kiongozi mmoja anayeweza kuokoa taifa hili?????
Hivi kwa tiba ya kweli hawa maelfu ambao wamekwisha bugia vikombe mbona hatuambiwi idadi ya uthibitisho wa kihospitali ambao uponyaji umefanyika hadi sasa???; badala yake tunayosikia wakati wote ni taarifa za wanaokufa baada ya kunyweshwa vikombe vya "babu", na lukuki ya matajiri na masikini wanaomiminika kila siku kwenda Loliondo!!!!; taifa zima limefumuka kwenda Loliondo!!!!! Vyombo vyote vya habari, habari pekee ni zile za kupigia debe "babu" Loliondo!!!!!!!!!
Oh Tanzania!!!! taifa la watu waliomkana Mungu wa kweli na kukumbatia miungu migeni!! OLE WENU!!!!!, akina kikwete, mtatoa hesabu, mwenye watu hawa atakaposhuka kwa makali ya upanga!!!!!!!!!!!