Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

Ama kweli kuishi kwingi ni kuona mengi!!!!! Kwa serikali inayoendesha shughuli zake kwa misingi ya sheria, kanuni na taratibu, haya ambayo serikali hii inafanya ni vituko vya karne nyingi !!!; lakini kwa serikali hii ya mkwere inayoongozwa na kulindwa na majini ya sheikh yahya, huu ndiyo mwendo!!!!!!
Kwa taifa la serikali inayoongozwa na viongozi mazuzu kama hii ya CCM, taifa limemwacha Mungu wa kweli na kuchagua njia ya kwenda kuangamiza raia masikini kwa kukosa maarifa; hakuna hata hata kiongozi mmoja anayeweza kuokoa taifa hili?????
Hivi kwa tiba ya kweli hawa maelfu ambao wamekwisha bugia vikombe mbona hatuambiwi idadi ya uthibitisho wa kihospitali ambao uponyaji umefanyika hadi sasa???; badala yake tunayosikia wakati wote ni taarifa za wanaokufa baada ya kunyweshwa vikombe vya "babu", na lukuki ya matajiri na masikini wanaomiminika kila siku kwenda Loliondo!!!!; taifa zima limefumuka kwenda Loliondo!!!!! Vyombo vyote vya habari, habari pekee ni zile za kupigia debe "babu" Loliondo!!!!!!!!!
Oh Tanzania!!!! taifa la watu waliomkana Mungu wa kweli na kukumbatia miungu migeni!! OLE WENU!!!!!, akina kikwete, mtatoa hesabu, mwenye watu hawa atakaposhuka kwa makali ya upanga!!!!!!!!!!!
 
Kwa hili Kubenea ametumia hesabu za kutazamia, maana amechukua mauzo kuwa sawa sawa na mapato; kwa taarifa yake, mapato hufikiwa kwa kuchukua mauzo ukatoa gharama husika. Nina hakika hata kazini kwake ndivyo inavyofanyika.
 
Uislamu upo wazi hauna löngolongo umekamilika na walishasema BABU "NO". Tatizo ukiristo haujakamilika ndo maana babu kajitokeza kila mtu anaongea lwake leo kakobe, kesho pengo mara upako hakuna dira kabisa.
Kwa taarifa yako mkuu kule bhargashia za akina Omy Mahita,shungi na hijab ndo zimepamba kijiji
 
Sasa hapo kubenea anataka majangili yatoke porini kwenda kumvamia babu, sababu ka hesabu ya kubenea toka babu ameanza sasa hivi ni milionea!!!:juggle:
 
Uislamu upo wazi hauna löngolongo umekamilika na walishasema BABU "NO". Tatizo ukiristo haujakamilika ndo maana babu kajitokeza kila mtu anaongea lwake leo kakobe, kesho pengo mara upako hakuna dira kabisa.

Omar Mahita kabadili dini lini, nilimwona na vijukuu vyake kwa babu.
 
Nillioona na mimi, nikapiga hesabu za fasta fasta ni kama watu kibao wanatibiwa kwa siku, sijui kama ni kweli
 
acha unafiki wewe uskute we mwenyewqe ushaenda huko.....................
 
I think you guys are wrong and not sure which world are you belong to!!! The Babu in Loliondo is not doing any business and for that case there are no grounds which could be used to tax him. What he is collecting ni sadaka kama sadaka ya makanisani au misikitini which is also not taxed? By the way which tax were u guys proposing??? VAT, PAYE, Excise, Import, Withholding, Stamp duty, Skilled levy, Corporate?????

JE MAKANISA NA MISIKITI WANALIPA KODI?
 
kwa siku ana uwezo wa kuhudumia gari mia 8 au elfu 1. kila gari lina wagonjwa 7, hapo ni nje ya wanaokuja kwa mguu. hesabu yaweza fika lkn hapa tunazungumzia kazi ya kanisa (imani). sasa kubenea atueleze serikali huchukua kodi kiasi gani toka makanisani.
 
hiyo ni sadaka . Wengine hawatoi hata sent na wanapata kikombe. Kubenea anaendeleza udini kama kawa . Babu ni maskini hadi kesho .
 
kubenea labda anataka na msikiti upate share! Mbona alizokusanya shariff hazikupigiwa hesabu
 

Pole sana nakuonea huruma naona unaropoka tu au umekunywa mnazi badala ya chai?
 
Kubenea kachemka, tatizo habari zake zingine huwa hazifanyii utafiti wa kutosha! A little home work would have made him come up with a very nice and constructive article, but this was just another crap from him.
 

Mkuu lete ushahidi tumechoka kusikia hizo Bla bla zenu, onyesha vyeti kabla hujanywa dawa ya babu na baada ya kunywa..........ili tuamini

kumbuka ya kuwa kwa imani ya dini zote ni baadhi ya Manabii pekee ambao walibahatika kuwasiliana/kuzungumza na Mungu tena wengine kwa kusikia sauti tu, na baada ya hapo vitabu vitakatifu vinasema hakuna manabii watakaokuja tena na mwanadamu atakaezungumza na Mungu siku ya hukumu pekee, ila ofa aliyoitoa Mungu ni kuwa Mwanadamu anaweza kumuomba Mungu na Mungu kumjibu kupitia mafanikio ya maombi yake............

ukiona Mwanadamu anakueleza ameongea/kuotesha/ametokewa na mungu juwa 100% shetani yupo kazini na wengi watanaswa na mtego huo.........

Narudia tena na tena.."ukiwa na shida ya kupitiliza au furaha ya kupitiliza ni vizuri unapofanya maamuzi kabla ya kufanya hayo maamuzi ukayatafakari mara kadhaa"..........kwani kuna wengi walifanya Maamuzi bila kutafakari na matokeo yake wakajutia na kujilaumu.....................

KUMBUKA MWANADAMU ALIKUWA KIUMBE CHA MWISHO KUUMBWA, VIUMBE VINGINE VIKISHUHUDIA............
 
Kwataarifa yako mmoja ya waliolalamika kwa sauti ya chinichini alikuwa ni mh mrema na s mwema
 
Ndugu zangu ninaushahidi wa dhati kabisa juu ya hali wanayopitia watu wenye hizi shida za magonjwa haya yanayotibiwa na babu wa Loliondo, binafsi niliwahi kuwa na mjomba wangu aliekuwa akisumbuliwa na UKIMWI na mwisho alifariki dunia. Taabu na mateso aliyokuwa anayapata hayasimuliki, niungane mojakwa moja na ndugu aliesema kuwa ni vigumu kwa mtu ambae haelewi shida na mahangaiko anayoyapata mgonjwa wa haya magonjwa. Napendekeza wale wanaoamini kuwa Mungu anaponya watu wake kupitia dawa alomuelekeza babu waachwe na imani yao na ikibidi wawapeleke wagonjwa huko Loliondo kwenda kutibiwa, na wale wasioamini juu ya muujiza huo watumie uhuru wa kutoa maoni yao kama haki yao ya msingi, na si kubeza na kushutumu. Nani kakwambia shilingi mia tano anayotoza babu kwa kila mgonjwa ni gharama eti anapaswa kutibu bure? huu ni ujuaha uliopitliza, nimuulize tena yule anaendika posts ama kuchangia mada mbalimali humu JF inamgharimu kiasi gani kwa muda anaokaa internet, kwenye simu ya kiganjani au hata kama ni mtandao wa chuo, kwa vyovyote vile kuna gharama ameingia. Sasa inakuwaje tunalalama kwa shilingi mia tano tena kwa maradhi ambayo matibabu yake ni ghali mno. Nimalizie kwa kusema kuwa wapo walioenda kwa babu wakapokea uponyaji na wapo pia ambao hawakupokea hivyo wale wanaodhani kuwa babu ni msanii na wawatafute wale waliotibiwa kwa kikombe cha babu na wawahoji, na niwashauri wale ndugu zangu ambao walikwenda Loliondo na bado hawajapona wazame katika tafakari juu ya imani yao. Naomba kuwasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…