YoungCorporate
JF-Expert Member
- Apr 30, 2010
- 391
- 114
Ningekuwa mimi babu naanza na watz wenzangu hao gabachori baadae!!
halafu nilidhani mie tu nina matatizo nilipoona hizi picha naanza kufarijika kuwa sipo peke angu!!
Habari Za wandugu wa JF,
Nimeamini kuwa kilichosemwa na BIBLIA hakitabadilika hata kama ni kwanini.
1.WATU HAWA WANAMACHO LAKINI HAWAONI, WANAMASIKIO LAKINI HAWASIKII.
2. WENGI WATAKUJA KWA JINA LA MUNGU.
Tusibabaishwe na mganga wa Loliondo ukweli hakuna Mungu wa namna hiyo yeye angetumia tu jina la Mganga wa kienyeji sio Mungu unajua ni kwanini?
a. Dawa ya Mungu hainaga masharti, hata ukipewa sio masharti kama ya Loliondo eti hakuna mtu mwingine kukupa dawa hiyo ukanywa zaidi ya yeye peke yake swali: Watumishi wa Mungu Loliondo ni yeye peke yake? kama wengine wapo kwanini wasisaidiane? si kumpa tu mtu maji anakunywa??
b. Kwanini mti huo kama umefunuliwa na Mungu ukitumiwa na wengine usiponye?? Maana yake Mungu ameanza lini kutufundisha ubinafsi na uchoyo?
Nikomee hapa nitarudi! View attachment 24640
khe khe khe khe hehhheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.... hii huwa haijibiwi ati' wanakufahamu ndio watakuelewa ulivyoUmeshauoga nenda nao!
Yaani wewe ina maana hujui maana ya Breaking News?
Wewe kinachokuuma ni nini? Watu wanapona kwa nguvu ya Mungu aliyeamua kumtumia kiumbe wake huyu. Au wewe Mwanga nini? Hebu acha hizo. Halafu huu upuuzi wako unakuwaje Breaking News?!! Hakina Tanzania hii ina mijitu ya ajabu sana.
mh! Inachosha kwa kwel! Npo ar, kn wa2 km wa4 hv majiran zng walienda loliondo kwa ttzo la sukar, wamepta dawa hakn alyepona, wamerudia dawa zao za sukar. Celew inakuaje hapo.
Yupo mtu wangu wa karibu aliyeenda huko kwa babu, akirudi nitaweka hapa kama amepona ama la. Ila tiba kama tiba si wote itakaowaponya ila huenda asilimia kubwa wakapona. Inategemea na imani yako. Maana hata Yesu aliwaambia nenda imani yako imekuponya.
Usipingane na maneno ya MUNGU,katika kitabu cha ufunuo wa Yohana mengi yamesemwa kwa mifano ya haya yanayotokea Loliondo yalishasemwa toka enzi hizo.
Tukirudi nyuma zaidi hata Musa alikuwa mbishi lakini mungu alimuamuru kufanya hivyo kuwaondoa watu wake utumwani Misri.
Tuangalie historia hata ugonjwa wa Tauni ulivyoingia duniani haukuwa na tiba ila kwa miujiza mungu alitoa dawa watu wakapona hata kabla ya kugunguliwa tiba kamili ya kibinadamu.
Hata Yesu alisema kuwa ili upate uponyaji lazima uwe na imani na imani bila matendo ni kazi bure.
Niulize swali,we una ukimwi babu anakupa dawa unapona unarudia kule kule ulikopatia ugonjwa unajaribu tena unategemea nini? na ni kwanini asikueleze ukweli kuwa usirudie tena(masharti) kwani kupona kwako ni kwa imani(muujiza) na matendo yako ndiyo yatakayokufanya uendelee kuwepo?.
Wacha kutoa maneno ya kashfa we RADIO PRODUCER,Mungu hapendi na chunga sana kama huna imani usikanyage Loliondo haurudi,
HII NI MIUJIZA YA MUNGU KWA WANADAMU KUWA LILILOMSHINDA MWANADAMU MUNGU ANALIWEZA
Habari Za wandugu wa JF,
Nimeamini kuwa kilichosemwa na BIBLIA hakitabadilika hata kama ni kwanini.
1.WATU HAWA WANAMACHO LAKINI HAWAONI, WANAMASIKIO LAKINI HAWASIKII.
2. WENGI WATAKUJA KWA JINA LA MUNGU.
Tusibabaishwe na mganga wa Loliondo ukweli hakuna Mungu wa namna hiyo yeye angetumia tu jina la Mganga wa kienyeji sio Mungu unajua ni kwanini?
a. Dawa ya Mungu hainaga masharti, hata ukipewa sio masharti kama ya Loliondo eti hakuna mtu mwingine kukupa dawa hiyo ukanywa zaidi ya yeye peke yake swali: Watumishi wa Mungu Loliondo ni yeye peke yake? kama wengine wapo kwanini wasisaidiane? si kumpa tu mtu maji anakunywa??
b. Kwanini mti huo kama umefunuliwa na Mungu ukitumiwa na wengine usiponye?? Maana yake Mungu ameanza lini kutufundisha ubinafsi na uchoyo?
Nikomee hapa nitarudi! View attachment 24640
ndugu watu wanye matatizo wapo wengi sana, alafu watu wanabeza eti haiwezekani, hivi kuna kitu kinachomshinda YESU....?? matokeo yake hadi maustaadhi watu wangu wameenda kwa imani watapona na wamerudi kuwashuhudia wenzao, ukienda huko hadi helkopta za matajiri wa kiarabu zinaenda....Kama unamatatizo nenda acha ubishi usio na maana by the way yeye mchungaji a.k.a babu hana anachopungukiwa, hakutangaza magazetini wala redioni ila watu wenyewe wamekua wakiwashudia ndugu zao.....
to god b the GLORY
Yesu alipowaponya aliwaambia...enenda kwa amani..usitende dhambi tena, au kajionyeshe kwa makuhani.
Huoni haya yalikuwa masharti?
khe khe khe khe hehhheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.... hii huwa haijibiwi ati' wanakufahamu ndio watakuelewa ulivyo
nashkuru mungu, nishakunywa dawa.... pole sana kwa kuleta crap ambayo imekukali vibaya mwenyewe
kama ungekua inaipenda nchi na unapenda watanzania, basi ungekuja na mbinu kadha wa kadha za kuboresha maisha na kupiga vita umaskini
Mkuu umechemsha ningekua wewe nisingerudi tu!!!