Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

Ningekuwa mimi babu naanza na watz wenzangu hao gabachori baadae!!
halafu nilidhani mie tu nina matatizo nilipoona hizi picha naanza kufarijika kuwa sipo peke angu!!

mhhh hapo kwenye red huo ni ubaguzi....tuache u-racist ikiwa hatupendi ubaguzi...
 
Habari Za wandugu wa JF,
Nimeamini kuwa kilichosemwa na BIBLIA hakitabadilika hata kama ni kwanini.

1.WATU HAWA WANAMACHO LAKINI HAWAONI, WANAMASIKIO LAKINI HAWASIKII.
2. WENGI WATAKUJA KWA JINA LA MUNGU.

Tusibabaishwe na mganga wa Loliondo ukweli hakuna Mungu wa namna hiyo yeye angetumia tu jina la Mganga wa kienyeji sio Mungu unajua ni kwanini?
a. Dawa ya Mungu hainaga masharti, hata ukipewa sio masharti kama ya Loliondo eti hakuna mtu mwingine kukupa dawa hiyo ukanywa zaidi ya yeye peke yake swali: Watumishi wa Mungu Loliondo ni yeye peke yake? kama wengine wapo kwanini wasisaidiane? si kumpa tu mtu maji anakunywa??
b. Kwanini mti huo kama umefunuliwa na Mungu ukitumiwa na wengine usiponye?? Maana yake Mungu ameanza lini kutufundisha ubinafsi na uchoyo?

Nikomee hapa nitarudi! View attachment 24640

Kwanza Usirudi, umetumwa na Kakobe nini? mmeona mtakosa watoa sadaka? maana wakipona wote ni soo, makanisa yenu yatabakia tupu.

mbona na wewe hujiulizi kwa nini unaenda kanisani au msikitini ili kusujudu? kwani wewe hujui mungu yupo popote?
 
Umeshauoga nenda nao!
khe khe khe khe hehhheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.... hii huwa haijibiwi ati' wanakufahamu ndio watakuelewa ulivyo

nashkuru mungu, nishakunywa dawa.... pole sana kwa kuleta crap ambayo imekukali vibaya mwenyewe

kama ungekua inaipenda nchi na unapenda watanzania, basi ungekuja na mbinu kadha wa kadha za kuboresha maisha na kupiga vita umaskini

Mkuu umechemsha ningekua wewe nisingerudi tu!!!
 
Yupo mtu wangu wa karibu aliyeenda huko kwa babu, akirudi nitaweka hapa kama amepona ama la. Ila tiba kama tiba si wote itakaowaponya ila huenda asilimia kubwa wakapona. Inategemea na imani yako. Maana hata Yesu aliwaambia nenda imani yako imekuponya.
 
Kama hamuamini si mkae kimya.
Acheni wanaoamini waende.
Udini tu unawasumbua.
 
Yaani wewe ina maana hujui maana ya Breaking News?

Alimaanisha breaking shuzi, maana lilimbana sasa ameshatoa ushuzi wake basi mwacheni, ukiona kwenye kamusi kuna neno mapunguani basi ujue wapo kweli, ndio maana hilo neno lipo.
 
Usipingane na maneno ya MUNGU,katika kitabu cha ufunuo wa Yohana mengi yamesemwa kwa mifano ya haya yanayotokea Loliondo yalishasemwa toka enzi hizo.

Tukirudi nyuma zaidi hata Musa alikuwa mbishi lakini mungu alimuamuru kufanya hivyo kuwaondoa watu wake utumwani Misri.

Tuangalie historia hata ugonjwa wa Tauni ulivyoingia duniani haukuwa na tiba ila kwa miujiza mungu alitoa dawa watu wakapona hata kabla ya kugunguliwa tiba kamili ya kibinadamu.

Hata Yesu alisema kuwa ili upate uponyaji lazima uwe na imani na imani bila matendo ni kazi bure.
Niulize swali,we una ukimwi babu anakupa dawa unapona unarudia kule kule ulikopatia ugonjwa unajaribu tena unategemea nini? na ni kwanini asikueleze ukweli kuwa usirudie tena(masharti) kwani kupona kwako ni kwa imani(muujiza) na matendo yako ndiyo yatakayokufanya uendelee kuwepo?.

Wacha kutoa maneno ya kashfa we RADIO PRODUCER,Mungu hapendi na chunga sana kama huna imani usikanyage Loliondo haurudi,

HII NI MIUJIZA YA MUNGU KWA WANADAMU KUWA LILILOMSHINDA MWANADAMU MUNGU ANALIWEZA
 
Wewe kinachokuuma ni nini? Watu wanapona kwa nguvu ya Mungu aliyeamua kumtumia kiumbe wake huyu. Au wewe Mwanga nini? Hebu acha hizo. Halafu huu upuuzi wako unakuwaje Breaking News?!! Hakina Tanzania hii ina mijitu ya ajabu sana.

Nawewe imekuuma nini hata kulalamika kiasi hicho?? muone
 
Na hao wenye Ukimwi wasije kupewa kikombe cha dawa wakadhani weshapoa wakaambukiza wenzao. Watu wawe na tahadhari. Linaweza kugeuka janga hili tukajuta

mh! Inachosha kwa kwel! Npo ar, kn wa2 km wa4 hv majiran zng walienda loliondo kwa ttzo la sukar, wamepta dawa hakn alyepona, wamerudia dawa zao za sukar. Celew inakuaje hapo.
 
Yupo mtu wangu wa karibu aliyeenda huko kwa babu, akirudi nitaweka hapa kama amepona ama la. Ila tiba kama tiba si wote itakaowaponya ila huenda asilimia kubwa wakapona. Inategemea na imani yako. Maana hata Yesu aliwaambia nenda imani yako imekuponya.

Sasa Mambo kama haya ndo ya kuyakataa, Mgonjwa Apone ndo tuone kwamba dawa inafanya Kazi!. Kama Dawa inafanya kazi haijalishi mgonjwa anaiamini au haiamini Kazi yake ni kuponya Tu.!
 
Usipingane na maneno ya MUNGU,katika kitabu cha ufunuo wa Yohana mengi yamesemwa kwa mifano ya haya yanayotokea Loliondo yalishasemwa toka enzi hizo.

Tukirudi nyuma zaidi hata Musa alikuwa mbishi lakini mungu alimuamuru kufanya hivyo kuwaondoa watu wake utumwani Misri.

Tuangalie historia hata ugonjwa wa Tauni ulivyoingia duniani haukuwa na tiba ila kwa miujiza mungu alitoa dawa watu wakapona hata kabla ya kugunguliwa tiba kamili ya kibinadamu.

Hata Yesu alisema kuwa ili upate uponyaji lazima uwe na imani na imani bila matendo ni kazi bure.
Niulize swali,we una ukimwi babu anakupa dawa unapona unarudia kule kule ulikopatia ugonjwa unajaribu tena unategemea nini? na ni kwanini asikueleze ukweli kuwa usirudie tena(masharti) kwani kupona kwako ni kwa imani(muujiza) na matendo yako ndiyo yatakayokufanya uendelee kuwepo?.

Wacha kutoa maneno ya kashfa we RADIO PRODUCER,Mungu hapendi na chunga sana kama huna imani usikanyage Loliondo haurudi,

HII NI MIUJIZA YA MUNGU KWA WANADAMU KUWA LILILOMSHINDA MWANADAMU MUNGU ANALIWEZA

Hakuna aliyezungumzia suala la kurudi dhambini hiyo ni dhambi kabisaaa! Swali langu Mungu ameamua watu wengi waje wakiwa hoi halafu wasihudumiwe hadi waonane na huyohuyo Mchungaji?? kwani Mungu haoni wingi wa watu wanaohitaji msaada na uharaka wa msaada ?? upo sawa kabisa.gif
 
Alimaanisha breaking shuzi, maana lilimbana sasa ameshatoa ushuzi wake basi mwacheni, ukiona kwenye kamusi kuna neno mapunguani basi ujue wapo kweli, ndio maana hilo neno lipo.

Nashindwa nikupime kwa nini? sijui kipima joto, sijui nikupeleke loliondo ukamaliziwe! utajiju.gif
 
Habari Za wandugu wa JF,
Nimeamini kuwa kilichosemwa na BIBLIA hakitabadilika hata kama ni kwanini.

1.WATU HAWA WANAMACHO LAKINI HAWAONI, WANAMASIKIO LAKINI HAWASIKII.
2. WENGI WATAKUJA KWA JINA LA MUNGU.

Tusibabaishwe na mganga wa Loliondo ukweli hakuna Mungu wa namna hiyo yeye angetumia tu jina la Mganga wa kienyeji sio Mungu unajua ni kwanini?
a. Dawa ya Mungu hainaga masharti, hata ukipewa sio masharti kama ya Loliondo eti hakuna mtu mwingine kukupa dawa hiyo ukanywa zaidi ya yeye peke yake swali: Watumishi wa Mungu Loliondo ni yeye peke yake? kama wengine wapo kwanini wasisaidiane? si kumpa tu mtu maji anakunywa??
b. Kwanini mti huo kama umefunuliwa na Mungu ukitumiwa na wengine usiponye?? Maana yake Mungu ameanza lini kutufundisha ubinafsi na uchoyo?

Nikomee hapa nitarudi! View attachment 24640

Yesu alipowaponya aliwaambia...enenda kwa amani..usitende dhambi tena, au kajionyeshe kwa makuhani.
Huoni haya yalikuwa masharti?
 
ndugu watu wanye matatizo wapo wengi sana, alafu watu wanabeza eti haiwezekani, hivi kuna kitu kinachomshinda YESU....?? matokeo yake hadi maustaadhi watu wangu wameenda kwa imani watapona na wamerudi kuwashuhudia wenzao, ukienda huko hadi helkopta za matajiri wa kiarabu zinaenda....Kama unamatatizo nenda acha ubishi usio na maana by the way yeye mchungaji a.k.a babu hana anachopungukiwa, hakutangaza magazetini wala redioni ila watu wenyewe wamekua wakiwashudia ndugu zao.....

to god b the GLORY

Tuorodheshee majina ya ma Ustadh walioenda huko ili tujiridhishe kama ni maustadh kweli kwani ukishawaorodhesha tutawatafuta watueleze ushiriki wao kama ni kweli,ama juu ya kuwa hakuna linaloshindikana kwa YESU kama utapenda tunakushauri uje huku Chawata uthibishe ukweli huo kwani ni miaka sasa tunaishi na ulemavu bila Mwinjilisti yeyote kuja kwetu kutuombea ili tupone,hivyo hata wewe kama kuna mwinjilisti yeyote unaemwamini anajua kuombea vilema tukapona nielekeze au niambie nikufuate wapi unipeleke na BAJAJ ili nipone.
 
Yesu alipowaponya aliwaambia...enenda kwa amani..usitende dhambi tena, au kajionyeshe kwa makuhani.
Huoni haya yalikuwa masharti?

Sasa wewe unapenda watu wafe wamesubiria dawa?? wapi dawa ya Yesu ilisubiriwa!? alipoona ni wengi aliwatibu kwa ushirikiano na upendo ndio maana hata wanafunzi wake walilazimika kwenda maeneo mengine kuponya wakati Yesu anafanya kazi hiyo kwingine! Je, Loliondo anasaidiana na nani?
 
khe khe khe khe hehhheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.... hii huwa haijibiwi ati' wanakufahamu ndio watakuelewa ulivyo

nashkuru mungu, nishakunywa dawa.... pole sana kwa kuleta crap ambayo imekukali vibaya mwenyewe

kama ungekua inaipenda nchi na unapenda watanzania, basi ungekuja na mbinu kadha wa kadha za kuboresha maisha na kupiga vita umaskini

Mkuu umechemsha ningekua wewe nisingerudi tu!!!

Najua walio wa giza hupenda giza walio wa nuru hupenda Nuru ndio maana ukimhauri aliyegizani ukamumulikia atakwambia unanichoma baki hukohuko!
 
Back
Top Bottom