Msolopagazi
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 663
- 153
Mtikila amechoka hana sera kama Mbatia hawa ni watu wakudandia treni kwa mbele ili wapate umaarufu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WanaJF niko safarini kwenda loliondo kwa babu. Kwa mshituko mkubwa napokea dondoo za gazeti la nipashe la kesho kupitia itv ya kuwa babu amesitisha huduma kwa muda. Kwa wenye undani wa hii maneno mnisaidie maana presha inapanda na inashukaaaa.
na wajinga ndio wapotezwao,wacha babu atengeneze noti azisanye za majuha,naskia anapata mpk ten milion for one days,akishachenj dola atayeyeka kiaina akafaidi mahelayake.kweli wajinga ndiyo waliwao
kweli wajinga ndiyo waliwao
Babu kama kawaida.Binafsi nimepata tarifa kwamba Chelsea baada ya ushindi mnono against man-city wanatinga loliondo next week kuimarisha nguvu.
I also think you have a point.
mnaompinga babu hamuelewi hali halisi na natumai ni baadhi ya "FFU"Fisadi family unit.Hivyo mnawaza uwizi tu!,maana mmekuli humo,kusomea huko,na mnaota kufia humo. ole wenu
kwa kweli kama ingewezekana kutoa thanks zaidi ya moja, mie ningekupa zaidi ya mia for this very useful posts.
kuna watu wansema hawajaridhika na maandiko tunayotoa hapa kutilia aina ya UKRISTO wa babu na mashabiki wake, tatizo ni kuwa hata hayo mafungu machache ya biblia tunayonuKuu hapa hawayaelewi vizuri kwa sababu ya uvivu wa kutafakari. kweli hali ilivyo inahitaji neema ya Mungu, vinginevyo wale wanaoelekea upotevuni ndio wengi zaidi!
nimebarikiwa sana na msimamo wako mpendwa.
tuko pamoja sana
Glory to God
I also think you have a point.
halafu mtu anashangaa kwanini ccm inashinda kwa kishindo kila uchaguzi
Tofauti na ukristo uislam una-reinforce statements zake kwa jambia.
Mchungaji mtikila amesema anashangazwa na jinsi watu mbalimbali pamoja na viongozi wa serikali wanavyobabaika na tiba ya babu.'serikali inadiriki kutaka kuboresha miundo mbinu eti kisa dawa ya kishirikina ya mchungaji mwasapile anayetambuliwa na askofu laizer tu', alisema mtikila.Mtikila alisema serikali na viongozi wake inabidi wawe makini na wasiendekeze mambo ya kishirikina kwa kumtukuza mchungaji mwasapile.