Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

Mtikila amechoka hana sera kama Mbatia hawa ni watu wakudandia treni kwa mbele ili wapate umaarufu
 
Wengi miongoni mwetu hatuna takwimu sahihi za kuthibitisha ni wangapi kati ya walioenda Loliondo kupata kikombe cha Babu wamepona ukweli wa kupona.

Kwa upande mwingine naungana na mchangiaji mmoja ya kwamba huduma ya Babu ni mpaka uende loliondo,je wasio na uwezo na ingali ni wagonjwa tusemeje? Vilevile Babu alisema wagonjwa mahututi wasiende kwani kwake si hospitali ya rufaa! Kwa ujumla huduma ya Babu pamoja na kukubalika na Idadi kubwa ya watu,ukweli unabaki palepale Daktari wa kweli awezaye kumwondolea mwanadamu maradhi ya aina yoyote ni Mungu pekee.

Hizi nyinginezo ni sababu tu!
 
HUyu si yule aliyevuta mshiko kw Rostam halafu akajifanya kupinga ufisadi, hana lolote huyo mchungaji wa nini huyooooo?
 
WanaJF niko safarini kwenda loliondo kwa babu. Kwa mshituko mkubwa napokea dondoo za gazeti la nipashe la kesho kupitia itv ya kuwa babu amesitisha huduma kwa muda. Kwa wenye undani wa hii maneno mnisaidie maana presha inapanda na inashukaaaa.

Babu kama kawaida.Binafsi nimepata tarifa kwamba Chelsea baada ya ushindi mnono against man-city wanatinga loliondo next week kuimarisha nguvu.
 
kweli wajinga ndiyo waliwao
na wajinga ndio wapotezwao,wacha babu atengeneze noti azisanye za majuha,naskia anapata mpk ten milion for one days,akishachenj dola atayeyeka kiaina akafaidi mahelayake.
 
Mtikila anaweza kuwa hana la sana kwa mengi - lakini katika hili la sasa kuna kitu
 
mnaompinga babu hamuelewi hali halisi na natumai ni baadhi ya "FFU"Fisadi family unit.Hivyo mnawaza uwizi tu!,maana mmekuli humo,kusomea huko,na mnaota kufia humo. ole wenu
 
mnaompinga babu hamuelewi hali halisi na natumai ni baadhi ya "FFU"Fisadi family unit.Hivyo mnawaza uwizi tu!,maana mmekuli humo,kusomea huko,na mnaota kufia humo. ole wenu

sasa instead ya name calling,ungetuambia basi hiyo hali halishi ambayo hatuijui,nawe mwenzetu umebahatika kuijua
 
kwa kweli kama ingewezekana kutoa thanks zaidi ya moja, mie ningekupa zaidi ya mia for this very useful posts.

kuna watu wansema hawajaridhika na maandiko tunayotoa hapa kutilia aina ya UKRISTO wa babu na mashabiki wake, tatizo ni kuwa hata hayo mafungu machache ya biblia tunayonuKuu hapa hawayaelewi vizuri kwa sababu ya uvivu wa kutafakari. kweli hali ilivyo inahitaji neema ya Mungu, vinginevyo wale wanaoelekea upotevuni ndio wengi zaidi!

nimebarikiwa sana na msimamo wako mpendwa.

tuko pamoja sana

Glory to God

Tuko pamoja dada Judith. Hebu cheki hii website uone wakati tuliopo. Mengi yatatokea.

Kenya Times Report: Maitreya, Akatsa & Bonnke

Mungu akubariki
 
halafu mtu anashangaa kwanini ccm inashinda kwa kishindo kila uchaguzi

Mfano wa babu umenifanya kuamini CCM hatutakuja kuwatoa madarakani, tunapelekwa na upepo unaovuma. Halafu uliona style yao walianza kiongozi mmoja baada ya mwingine, kila mmoja anapewa coverage, siku zinazidi kwenda tu, tunasahau Dowans, mabomu, tumehamishiwa Loliondo.

CCM sina hamu nao!!
 
Mtikila akikuzibia njia ya Loliondo mwambie 'nipishe' halafu akikataa, mwambie maneno haya 'Rostam huyo anakuja' atatoka nduki kisha kapate kikombe chako.
 
Mchungaji mtikila amesema anashangazwa na jinsi watu mbalimbali pamoja na viongozi wa serikali wanavyobabaika na tiba ya babu.'serikali inadiriki kutaka kuboresha miundo mbinu eti kisa dawa ya kishirikina ya mchungaji mwasapile anayetambuliwa na askofu laizer tu', alisema mtikila.Mtikila alisema serikali na viongozi wake inabidi wawe makini na wasiendekeze mambo ya kishirikina kwa kumtukuza mchungaji mwasapile.

.
Mtikila,kwa nini una ghadhabu? Na kwa nini uso wako umekunjamana? Kama ukitenda vyema hutapata kibali? Usipotenda vyema dhambi ipo inakuotea, mlangoni, nayo inakutamani wewe, lakini yapasa uishinde.
.
 
Ndugu yangu yupo loliondo sasa hivi,amefika huko toka ijumaa jioni.Amesema mbele yake kuna magari 1200,yapo kwenye Que ya babu.
most of the vehicles ni STK,SU na DFPs,sasa jiulize magari ya mashirika na taasisi mengi yapo in DAR,pia kwa magari hayo elfu 1 plus,most likely walioenda huko wanatokea DAR and miji mikubwa.
kuhusu bei ya petroli watz tumeshazoea kupanda kwa gharama za maisha kila kukicha,so hata petroli ikifikia elfu3 kwa lita bado tutafanya adjustment kimaisha ili tuendelee kutumia magari yetu.kwani bila gari uwezi kufika kazini ontime.
 
Back
Top Bottom