Kizazi cha ma Mwinyi sindio kinapotea taratibu tuko na kizazi cha watu ambao hawajali mambo yasio na faida katika maisha yao.Mbona siku hizi hawaitikii !!!..
ukimuamkia utaskia mambo vipi au shwari
Hiyo ya kupima joto sijui nani aliwaambukiza [emoji23][emoji23].Baba alikuaga na tabia akimaliza kuangalia vipindi vyake sa 3 usiku anazima anaenda kulala, anatuambia tukasome dining. Baada ya kama nusu saa anarudi kugusa TV kwa nyuma kama mliwasha hua inakua na jotojoto[emoji23][emoji23]
Ila wazazi walikua wanajipa mateso bila chuki
Haha zamani si kulikuwa hamna vingamuzi kwa hiyo ni itv , tvt na star tvHujakutana na mkoloni. Huwa wana allergy na ngozi nyeupe.. home ni kuangalia majeneza ya kinigeria au movie za mzee majuto
Tena unasahau kama LUKU imeisha...ππSasa ukute kwa jirani upo, huo mshtuko wake wa moyo unaoupata. Unaanza kuwaza kama kwako kuna shot
Usipotemea mama yako atavimba ziwa...ππIvi hii usaidia nini?
121.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeeKipindi ndio wameoana tu, hahah tuliishia kugombana vibaya mno mpaka sasa ananijua mdg wake Nati![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daah nmekumbuka mbali sana, pembeni ya TV kulikua na shelf ya vitabu ndo ilikua pona yetu. Tukiskia tu mlango unafunguliwa, tunabanana kwenye kochi kila mtu kashika kitabu chake busy maana ilibidi kukariri sauti ya mlango wakeππHiyo ya kupima joto sijui nani aliwaambukiza [emoji23][emoji23].
Sisi tulikuwa tunaamka af mnaeka sauti ya chinii ya tv, mkisikia mtu anakuja, mnazima sasa hapo kila mtu atafute chimbo lake la kujificha. Ila mimi nilikuwa mdogo so chini ya meza za kizamani, vitambaa virefu hata hauonekani [emoji23][emoji23]
Jamaa hana mambo ya kishamba, ila sista kujifanya mtu wa maadili sana. Jamaa salamu yake ni aisee EXT vipi? Nikijibu freshi imetosha. Mi kwangu sioni kama ni ishu sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee
Kama anakuzidi miaka mingi inabidi umpe shkamoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha maisha ya zamani yalikuwa rahaDaah nmekumbuka mbali sana, pembeni ya TV kulikua na shelf ya vitabu ndo ilikua pona yetu. Tukiskia tu mlango unafunguliwa, tunabanana kwenye kochi kila mtu kashika kitabu chake busy maana ilibidi kukariri sauti ya mlango wake[emoji23][emoji23]
Hyo kupima joto ilikua inanichekesha sana
Kweli kabisa, na hapo kubadili mboga hadi weekend.
Ila hii tabia ipogo hadi leo, haiwezi ishaTena unasahau kama LUKU imeisha...ππ
Kizazi cha ma Mwinyi sindio kinapotea taratibu tuko na kizazi cha watu ambao hawajali mambo yasio na faida katika maisha yao.
Mtoto mwenzako akija unaona kama atamaliza na wewe hautashiba vzuri, ila hii bana haikua nzuriπ Full kujifunza uchoyoππππ siku ya pilau lazma muoge mchana mpendeze.siku hiyo urafiki wa kutembeleana hutaki pia
Basi dadako ndio alitaka kucomplicate MamboJamaa hana mambo ya kishamba, ila sista kujifanya mtu wa maadili sana. Jamaa salamu yake ni aisee EXT vipi? Nikijibu freshi imetosha. Mi kwangu sioni kama ni ishu sana.
Habari yako dada/kaka imetosha hio! Mambo ya shkamoo huwa na kwepa.
Daah nmekumbuka mbali sana, pembeni ya TV kulikua na shelf ya vitabu ndo ilikua pona yetu. Tukiskia tu mlango unafunguliwa, tunabanana kwenye kochi kila mtu kashika kitabu chake busy maana ilibidi kukariri sauti ya mlango wakeππ
Hyo kupima joto ilikua inanichekesha sana
Eeh kisela tu yani halafu freshi.Baadhi dadako ndio alitaka kucomplicate Mambo
Halafu kwa wanaume hizi shkamoo shkamoo naona sio nyingi,mnasalimiana kisela tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha zamani si kulikuwa hamna vingamuzi kwa hiyo ni itv , tvt na star tv
mpaka muone hizo za kinigeria mara moja moja .
Sent using Jamii Forums mobile app
True1.wanaume atafua nguo zote ila za mwisho ni jeans
2.maji ya mwisho iuigea kufulia chupi (wanawake)
3.Asbuhi lazma unye kwanza ndo uoge
4.kupiga mswaki asbuhi tu.
5.ukiosha vyombo za mwisho sfuria
Sent using [Samsung galaxy s10]
Sisi kipindi hicho kijijini hakuna umeme, mshua kanunua tv na jenereta, kuangalia tv ni jumamosi na jumapili tu, kipindi hicho TvT kuna sijui ITV kulikuwa na ile tamthilia ya Taswira ya kina kanumba na ray.Haha zamani si kulikuwa hamna vingamuzi kwa hiyo ni itv , tvt na star tv
mpaka muone hizo za kinigeria mara moja moja .
Sent using Jamii Forums mobile app