Mtoto mwenzako akija unaona kama atamaliza na wewe hautashiba vzuri, ila hii bana haikua nzuri๐ Full kujifunza uchoyo
Umesahau deki za majeneza [emoji23][emoji23].. au hukuwahi tumia zile rewind
Mimi kutamka shikamo hadi leo mzito, huwa nasema shiamo.Jamaa hana mambo ya kishamba, ila sista kujifanya mtu wa maadili sana. Jamaa salamu yake ni aisee EXT vipi? Nikijibu freshi imetosha. Mi kwangu sioni kama ni ishu sana.
Habari yako dada/kaka imetosha hio! Mambo ya shkamoo huwa na kwepa.
Sisi kipindi hicho kijijini hakuna umeme, mshua kanunua tv na jenereta, kuangalia tv ni jumamosi na jumapili tu, kipindi hicho TvT kuna sijui ITV kulikuwa na ile tamthilia ya Taswira ya kina kanumba na ray.
Sisi kipindi hicho kijijini hakuna umeme, mshua kanunua tv na jenereta, kuangalia tv ni jumamosi na jumapili tu, kipindi hicho TvT kuna sijui ITV kulikuwa na ile tamthilia ya Taswira ya kina kanumba na ray.
Hahahaa wakati inaingizwa chumbani unaweza toa machozi. Kipindi cha mitihani TV ilikua hailali sebleni, after taarifa ya habari meza inasukumwa tu kuelekea chumbani.Hukumbuki zile meza za matairi.. watoto mkizidi utundu inanunuliwa, muda ukiisha na tv inaingizwa chumbani kwao ๐
Nimetumia yaani [emoji23][emoji23]
nimekimbuka zile cassette za redio
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie pia ukichanganya na bass boosted linalounguruma toka katika koromeo hata hio K haisikiki kabisa.๐คฃ๐คฃ๐คฃMimi kutamka shikamo hadi leo mzito, huwa nasema shiamo.
Kuna watu wanapenda shikamo kama inaongeza CD4 vile...
Hahahaa wakati inaingizwa chumbani unaweza toa machozi. Kipindi cha mitihani TV ilikua hailali sebleni, after taarifa ya habari meza inasukumwa tu kuelekea chumbani.
Mimi pia sipendi kusalimia shikamoo pia kuna watu wanahisi shikamoo ni kitu kikubwa mno .Mimi kutamka shikamo hadi leo mzito, huwa nasema shiamo.
Kuna watu wanapenda shikamo kama inaongeza CD4 vile...
Enzi za ujima, sahivi kuna TV mpaka chooni na still sio big deal!Hahahaa wakati inaingizwa chumbani unaweza toa machozi. Kipindi cha mitihani TV ilikua hailali sebleni, after taarifa ya habari meza inasukumwa tu kuelekea chumbani.
Sasa hivi unaona madogo under 5 wanaingia youtube wenyewe kuangalia katuni, haijui hustle katika hizi mambo kabisa.๐๐๐ daah huu uzi umenirudisha home.. michezo ya kaole ya ITV au ua jekundu TVT na tiketi ya kuangalia uwe umeoga la sivyo.. bafuni
Ni jana tu wife kanifanyia huu ukatili mkuuHapo penye wali na maharage pamenigusa sana
Yani mambo ya mijini sometimes naona kama yamekua primitive sana, unakuta mtu kapika pilau vizuri halafu maharage yamekosekana unakuta kaweka kachumbali peke yake
Hahaha sijui zimepotelea wapi ,[emoji23][emoji23][emoji23]
Ikizingua watu wanaizungushia na pen za bic .. maisha haya
Yaan mtu huna time nayoEnzi za ujima, sahivi kuna TV mpaka chooni na still sio big deal!
Mimi shkamoo kawaida sana kutoa ila sio kwa watu ambao unaanza kujiuliza niamkie au nisiamkieMimi kutamka shikamo hadi leo mzito, huwa nasema shiamo.
Kuna watu wanapenda shikamo kama inaongeza CD4 vile...
Yaan mtu huna time nayoEnzi za ujima, sahivi kuna TV mpaka chooni na still sio big deal!
Kuna siku mama mmoja jirani alileta kesi nyumbani kuwa simsalimii shikamoo, akawakuta washua nao wasela. Nadhani alijutia maamuzi yake.Mimi pia sipendi kusalimia shikamoo pia kuna watu wanahisi shikamoo ni kitu kikubwa mno .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi unaona madogo under 5 wanaingia youtube wenyewe kuangalia katuni, haijui hustle katika hizi mambo kabisa.
Wakatili mno, hapo anaisukuma huku anajua kabisa anakukomoa๐๐.Wazazi walikuwa ni wakatili ๐๐๐..
Hapo unaanza kufikiria vingi, mawazo kibao yaani wenzio wakianza kusimulia kesho weww utachangia nini