Navuta picha ya mbuziJitaidi ukiwa unakula au unatafuna kitu mdomoni ufunge mdomo ili kuzuia sauti ya kukera kwa wengine unaokula nao utafunapo huku unafungua mdomo.
Nakumbuka bwana yesu alinifundisha hili.(7) Ukienda kwenye sherehe, hata kama wewe ni ndugu za karibu, usikae sehemu za VIP bila kukaribishwa. Ni aibu sana kuambiwa uondoke kwenye seat za
Ushauri wako hauna maana yoyote kwa mashoga (wanaoliwa nyuma) kwa sababu hawana uwezo wa kubana kund*14. Ukienda ugenini au popote pale ukishikwa na ushuzi unaoshindwa kuuzuia hakikisha unabana matako ili usitoke na mlio mkali pia jitahidi kufungua vioo ili ushuzi uende na kubakie na hewa safi
😅😁😆Wapi BRAZA CHOGO, wapi Mshangazi leo dada je!Ukishikwa tako ukiwa kwenye foleni usipige kelele muache anaekushika tako hata akikupiga kidole tulia usifanye fujo
It's a long story my dear friend.Kwamba ukipewa taarifa gani
Hahahahaa Mkuu, upo kama Raja Casablanca. Unapiga Simba na Yanga nje ndani.Kuhusu kula sinaga home wala away,pote ni show show
Hahahaaa, mkuu, kuna watu wanaacha sana miswaki katika public toilets and bathrooms.Napata nguvu wapi kuacha mswaki kule hata liwepo tenga la mswaki hukuti mswaki wangu 🙂
Ni vema zaidi mkuu wangu.Lakini mimi nasema usiwe Nae kabisa!
Ni jambo jema sana hakika.
Wanaacha hadi shevaPia, usiache mswaki wako katika choo au bafu linalotumiwa na watu wengi
Mkuu, Sheva ina afadhali kidogo lakini sio mswaki. Mswaaki?? Hapana aisee.Wanaacha hadi sheva
Kuna watu suala la usafi na usalama wa afya zao ni zero kabisa.Mkuu, Sheva afadhali kidogo lakini sio mswaki. Mswaki?? Hapana aisee.
Ee kakaHahahahaa Mkuu, upo kama Raja Casablanca. Unapiga Simba na Yanga nje ndani.
Hii kweli kabisa.Jitaidi ukiwa unakula au unatafuna kitu mdomoni ufunge mdomo ili kuzuia sauti ya kukera kwa wengine unaokula nao utafunapo huku unafungua mdomo.
Kunani tena jameni!
Hakika(1) Ukipiga mihayo (yawning), chafya au kukohoa, funika mdomo na pua kwa mikono yote miwili.
(2) Usiteme mate, kutapika, kupenga kamasi, wenzako wakiwa wanakula.
(3) Ukienda nyumbani kwa mtu, hususan rafiki, usitangaze madhaifu utakayoyaona. Mfano: Watoto wao wanashindia nguo zilizochanika.
(4) Rafiki yako unayeheshimiana naye, usiwe na namba ya simu ya mkewe ili kuepuka kutembea naye.
(5) Ukiacha kazi ofisini, usiwatukane former employers wako kwa maana katika maisha kuna leo na kesho.
(6) Ni vema ukapakua chakula kidogo kisha ukaongeza kuliko kupakua kingi alafu ukashindwa kukimaliza.
(7) Ukienda kwenye sherehe, hata kama wewe ni ndugu za karibu, usikae sehemu za VIP bila kukaribishwa. Ni aibu sana kuambiwa uondoke kwenye seat za VIP uende kwa wageni wa kawaida.
(8) Ukigundua spouse wa rafiki yako ana uhusiano wa nje ya ndoa, mfuate na mkanye ila usimwambie mumewe/mkewe.
(9) Mtu akikusaidia mara moja, usimgeuzi kitega uchumi cha kumuomba mara kwa mara. Kumbuka yeye pia ana majukumu yake binafsi.
(10) Ukiongea kwenye simu na mtu wa mbali sio vizuri kusema "fulani (Alex) nipo naye hapa ongea naye pia. Kama huyo Alex hajakuomba kuongea na mhusika basi kaa kimya.
(11) Ukipata mshahara mwisho wa mwezi, wape kidogo mfanya usafi pamoja na mpika chai hapo ofisini kwenu. Hao ndio informers na wanajua mengi ya hapo ofisini kwenu.
(12) Usiache kwenda likizo ya mapumziko kwa kuambiwa eti "tutakufidia kwa fedha hizo siku 28 za mapumziko". Afya yako ya akili ni kitu cha msingi sana.
(13) Ukienda ugenini kisha ukaachwa peke yako sebuleni, usishike chochote kama mwenyeji wako hayupo (ameenda kunununulia soda kwa mfano). Hata kama ni gazeti umelikuta hapo, subiri akirudi ndio umuombe.
ONGEZEA NA WEWE NDUGU YANGU......
Endelea kudhulumuHakuna kitu kama hicho watu wanaodhulumu Kila siku na hakuna ktu kinawapata tena ndio matajiri makubwa kwenye miji mikubwa