Mambo ya Msingi Sana katika maisha

Mambo ya Msingi Sana katika maisha

Ukienda stationary kutoa photocopy au kazi yoyote ile, kisha mhusika akatoka nje kwenye kufanya jambo lolote kama vile kutafuta chenchi, basi na wewe Toka ukae nje. Usibaki mule mule ndani kwa maana kuna kitu kinaweza kupotea kisha wakasema kuwa ni wewe ndiye uliyekichukua.
 
Yule dada inawezekana sio mhusika. Inawezekana kuna watu walifanya vile ili yeye aonekane ndio kafanya.

Mkuu, vp kama Babu seya angepigwq risasi punde baada ya Magufuli kumuachia. Hauoni kama watu wangesema kuwa "CCM wamemtoa ili wamuue" kumbe ni wabaya wa Magufuli na CCM ndio waliofanya vile ile kuweza kuwachafua.
Dah hayo mambo hayana mwenyewe lakini mzee baba mnyonge ukidhulumu Hana cha kukufanya pesa unamzidi, nguvu, watu wakubwa unao, uchawi na unamdhulumu eneo na akizingua🤣unaua tu kwan bei gani hivi unakumbuka Michele ya plastic kilichomkuta mkemia aliye Pima hizo tani za Michele aliuliwa chapu sana kupunguza kihelehele
 
Karma is real my dear brother. Trust me.
 
Back
Top Bottom