Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,332
Sijui huwa mnatuonaje lakini, eti wanawake hawapendi wanaume wanaowajali sanaWill smith kosa alilofanya Ni kumpenda sana mke wake. Wanawake hawapendi wanaume wanaowajali sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui huwa mnatuonaje lakini, eti wanawake hawapendi wanaume wanaowajali sanaWill smith kosa alilofanya Ni kumpenda sana mke wake. Wanawake hawapendi wanaume wanaowajali sana.
jamaa alishamfukuzia dem akiwa na 2pac akashindwa kumng'oa ,sasa pac alipofariki ndo kampata ndo alikokosea
Mnatuona wapumbavu sana mmetuweka kwenye chupa mmetudhibiti sisi tunaowajaliSijui huwa mnatuonaje lakini, eti wanawake hawapendi wanaume wanaowajali sana
Pole sana, huyo aliekuweka kwenye chupa Mungu anamuonaMnatuona wapumbavu sana mmetuweka kwenye chupa mmetudhibiti sisi tunaowajali
Huu ndio ukweli wenyewe,wanawake wanapenda sana watu wasiowajali wahuni wahuni,maplay boy yani kwa kifupi pasua kichwa.Sijui huwa mnatuonaje lakini, eti wanawake hawapendi wanaume wanaowajali sana
Real talkSiyo yeye tu mkuu hili janga la “bila wewe mimi siyo kitu” linawaumiza sana wanaume wengi.
Huko nyumbani naishi na mke nachojua mimi namjali na kumuheshimu kwa nafasi yake kwa yale aliyonifanyia ila ukiniuliza kama nampenda kwa kiwango gani hilo sijui wala sijawahi kuzingatia mie naangalia heshima tu.
jamaa ashachepuka km mara 500,000 hivi sema haongeiDuuuh , dawa hapo Jamaa anatafuta madem Kama watatu hivi anachepuka nao, kisha na yeye anaenda kwenye kudhihirisha kwenye tv,
Dawa ya moto ni moto tu
Will smith kosa alilofanya Ni kumpenda sana mke wake. Wanawake hawapendi wanaume wanaowajali sana.
Ulaya vs America duuh.Willow Smith ambaye ni mtoto wa kike wa star wa filamu Marekani Will Smith (52) amempongeza mama yake mzazi Jada Pinkett (49) kwa kumwambia ukweli baba yake mbele ya TV Show yao ya " Red Table Talk" kama alichepuka na mwanaume mwingine ambaye ni mwanamuziki August Alsina (28).
Kweli kwenye miti hakuna wajenzi....kuna kipindi jada alikiri kuwa na tatizo la kupenda ngono kupita kiasi, will smith itakuwa kachoka kufanywa sex toy.
[emoji3][emoji3]ni kufumua marinda mpaka anazimiaKweli kwenye miti hakuna wajenzi....
huyo Jada angekuta na kina sie....
angekuwa anakula dose kama ya mseto
kutwa mara tatu...
Yeah true, mkipendwa sana mwanaume ajiandae kuwa kichaaSijui huwa mnatuonaje lakini, eti wanawake hawapendi wanaume wanaowajali sana
Aisee..Duuuh , dawa hapo Jamaa anatafuta madem Kama watatu hivi anachepuka nao, kisha na yeye anaenda kwenye kudhihirisha kwenye tv,
Dawa ya moto ni moto tu
Umeandika vya maana.dawa ni kunyamaza tu mtu asijue msimamo wako ,hiyo huwa inatesa sana ukianza revenge inaonyesha una stress na umeumia sana
yeah ukianza revenge mwingine anaona umeumia lakini ukimpotezea hadi yeye mwenyewe anajiona amechemkaUmeandika vya maana.