Mambo ya Ulaya bhana. Willow Smith ampongeza mamake kwa kuchepuka

Mambo ya Ulaya bhana. Willow Smith ampongeza mamake kwa kuchepuka

Hivi Willow ni mtoto wa kike au sijaelewa hapo
Mkuu hii wala isikuumize kichwa. Hii familia hata hao wakiume ni sawa na wa kike tu maana wanat!wa sana. Hivo wee chukulia wote ni wa kike including huyo baba yao.
 
HAPA Nani ni Nani Namjua mmoja tuu
will-smith-kids.jpg
 
kuna kipindi jada alikiri kuwa na tatizo la kupenda ngono kupita kiasi, will smith itakuwa kachoka kufanywa sex toy.
Kwamba mkewe nae alikuwa ni kicheche jamaa analipiza ama?
Wote wawili walishakuwa wahuni tu mbona, Will smith mpaka alizaa nje kabla ya kukutana na Jada, Jada nae alikuwa na kundi la wahuni kina Queen Latipha yule msagaji maarufu na bado ni marafiki
 
Mwanamke Sio wa kupenda sana ilo nime prove sehemu mbalimbali, Hawa viumbe ukisha fall tu ukawa unajiliza liza anakuona Boya na kuanza kihangika na wanao msumbua, Viumbe hawa ni wa ajabu sana tuwapende tu kwa kiasi
 
Mwanamke Sio wa kupenda sana ilo nime prove sehemu mbalimbali, Hawa viumbe ukisha fall tu ukawa unajiliza liza anakuona Boya na kuanza kihangika na wanao msumbua, Viumbe hawa ni wa ajabu sana tuwapende tu kwa kiasi
Hakika mkuu
 
Hata mm hilo naliona ukimp nafasi sn inakuwa shida ni boraa vingine ufiche hisia asikujue uzaif wako
 
Huyo dogo mwenyewe alishasema monogamy hafagilii
 
Jada ni aina ya mwanamke anaependa thug life, thug love and all stuffs like that, sasa kakutana na Will Mzee wa kupenda sana kazi kujiliza liza tu, nahisi anammiss sana 2pac huko alipo, haya mambo ya "Entanglement" Will ndio wa kulaumiwa, mwanamke sio kumjali sana na kumpenda kama Mungu, Itoshe tu kusema ni ufala kumuonesha mwanamke kuwa huwezi ishi bila yeye, narudia tena ni ufala wa kiwango cha lami.


Let's meet at the top, cheers 🍻
Na Mimi nakazia hapo.ni ufala.
 
Back
Top Bottom