Mambo ya Ulaya bhana. Willow Smith ampongeza mamake kwa kuchepuka

Mambo ya Ulaya bhana. Willow Smith ampongeza mamake kwa kuchepuka

Kuna mwalimu alinidanganya,alikuwa anasema Marekani sio Ulaya.
Mimi mwenyewe nimeenda Duka la vitabu shule ya msingi nimenunua kitabu cha Maarifa ya Jamii cha darasa la nne na review nitakuja na mrejesho
 
Jada ni aina ya mwanamke anaependa thug life, thug love and all stuffs like that, sasa kakutana na Will Mzee wa kupenda sana kazi kujiliza liza tu, nahisi anammiss sana 2pac huko alipo, haya mambo ya "Entanglement" Will ndio wa kulaumiwa, mwanamke sio kumjali sana na kumpenda kama Mungu, Itoshe tu kusema ni ufala kumuonesha mwanamke kuwa huwezi ishi bila yeye, narudia tena ni ufala wa kiwango cha lami.

Let's meet at the top, cheers [emoji482]
NA NI ufala sanaa
 
Huu ndio ukweli wenyewe,wanawake wanapenda sana watu wasiowajali wahuni wahuni,maplay boy yani kwa kifupi pasua kichwa.

Ukimwonesha tu kama umeoza kwake atakupelekesha,yaani hata kosa akifanya yy bado msamaha utaomba ww.
sio kweli
 
jamaa alishamfukuzia dem akiwa na 2pac akashindwa kumng'oa ,sasa pac alipofariki ndo kampata ndo alikokosea
Jamaa alimpenda mpenzi wa mtu, katika maisha usipende kuoa au kumpenda mpenzi wa mtu kama mtu akupendi hakupendi tu hata ukizaa nae
 
Aiseee familia yao yote yaajabu sio yakuumiza kichwa huyo mtoto wake will smith ni shoga, huyo wakike willow anacharcter za usagaji yani balaa tupu
 
Inasikitisha sana...

Na wao kwa nini mambo yao mpaka wakaambiane kwenye media...

Cc: mahondaw
 
Jada ni aina ya mwanamke anaependa thug life, thug love and all stuffs like that, sasa kakutana na Will Mzee wa kupenda sana kazi kujiliza liza tu, nahisi anammiss sana 2pac huko alipo, haya mambo ya "Entanglement" Will ndio wa kulaumiwa, mwanamke sio kumjali sana na kumpenda kama Mungu, Itoshe tu kusema ni ufala kumuonesha mwanamke kuwa huwezi ishi bila yeye, narudia tena ni ufala wa kiwango cha lami.

Let's meet at the top, cheers 🍻
kweli kabisa mwana
 
Back
Top Bottom